serikali

  1. ndege JOHN

    Serikali ya Bangladesh yaingilia kati uchinjaji wa ng'ombe 'anayefanana na Trump'

    Kuchinjwa kwa fahali aliyekuwa akisemekana kufanana na kupewa jina la utani “Donald Trump” kutokana na nywele zake kusimama. Fahali huyo, ambaye alikuwa anatarajiwa kuchinjwa wakati wa Eid, amechukuliwa na serikali ya Bangladesh ambayo imesema imechukua jukumu la kumtunza. Siku moja kabla ya Eid...
  2. Hance Mtanashati

    Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

    Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo. Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
  3. S

    DOKEZO Serikali itaanza lini utekelezaji mpango wa mabasi maalum ya wanafunzi? Wanaathirika na gharama baada ya mafuta kupanda bei

    Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni changamoto ya usafiri kwa wanafunzi, hasa baada ya kuongezeka kwa nauli za daladala na vyombo vingine...
  4. Mwanamwana

    PostGE2025 Oktoba 29 Serikali ilitumia busara, Majeshi yalitaka kugonganishwa

    Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa. Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
  5. J

    KERO Apps za mikopo mitandaoni, serikali ipo wapi?

    Habari za kazi ndugu zangu. Kuna kampuni mbalimbali zinazodai kutoa mikopo kupitia apps (applications), lakini matokeo yake zimekuwa zikilalamikiwa kwa kudhalilisha watu, kutoa vitisho, na kutoza riba kubwa kupita kiasi kwenye mikopo wanayotoa. Sina uhakika kama kampuni hizi zote zimesajiliwa...
  6. PureView zeiss

    Section No 5 kwenye muswada wa Maseneta wa Marekani ni msiba mzito kwa CCM na Serikali yake

    Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM... Ebu soma hapa utapata jibu MAREKANI...
  7. Q

    CCM na Serikali anzeni kujiandaa kwa vikwazo

    Badala ya kuendelea kupambana na ukweli uliowazi, bora mngeanza kujipanga mtaishi vipi ndani ya vikwazo kama mgonjwa wa ukimwi anavyoishi na virusi. Kama kuna MwanaCCM ana watoto au ndugu wanasoma USA anza kutafuta shule mapema lkn sio EU, kama ulikuwa unaenda vacation US au nchi za EU sahau...
  8. R

    Rais Samia akemwa Nepotism katika ajira za serikali

    Msikilize
  9. Hance Mtanashati

    Nimeshangazwa sana na serikali kutompa ushirikiano Terence Crawford na badala yake wakampa Ferdinand.

    Jamaa Terence Crawford ni bondia bora zaidi kwa kipindi hiki akiwa na mafanikio tele kwenye mchezo wa boxing na ni bondia anayetazamwa sana kwa kifupi ni bondia mwenye heshima tele kwenye mchezo wa boxing hivyo ana nguvu kubwa sana ya ushawishi. Jamaa yupo peace sana kwanza alileta taarifa ya...
  10. T

    Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
  11. Idugunde

    CHADEMA ianze kuanda viongozi watakaounda serikali maana njia ni nyeupe kuchukua dola kwa njia ya box la kura

    CHADEMA ianze kuandaa mkakati wa kuandaa viongozi ambao watakuja kuwatikia wananchi wa Tanganyika na kulinda rasilimali za Watanganyika. Vita vya namna yoyote ile huwa vinapiganwa in the field not on desk. Kwenye field sasa hivi Chadema ni chama cha ukombozi na wananchi wanataka kikae...
  12. Yoda

    Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  13. Roving Journalist

    Responded Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  14. GenuineMan

    Serikali itolee ufafanuzi suala la Fedha za Kujikimu kwa Watumishi Wapya

    Ifike mahali viongozi waseme kitu maana kila siku tunaona vijana wanalalamika hawajalipwa pesa. Leo hamshauri hii, kesho huku. Inaonekana ni halmashauri nyingi hawajalipwa. Wengine wanadai toka mwaka jana. Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable Wafikishie viongozi au toeni maelezo kama mnayo...
  15. Q

    Serikali ya Kenya kuwafidia waathirika wa maandamano ya Gen Z ya Juni 2024

    Wakati serikali ya Kenya ikiwafidia Gen Z, serikali ya Tanzania inaandaa mashtaka kwa Gen Z wa Tanzania walioshiriki maandamano ya Oktoba 29. Hii ndiyo tofati ya serikali zinazojali maisha ya uhai wake. ======================== Serikali ya Kenya imetenga shilingi bilioni mbili za Kenya kama...
  16. Waufukweni

    Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  17. Best home tutor

    Serikali ipige marufuku watu wanaojifanya wasemaji wa serikali

    Habari za hasubuhi. Tanzania kuna changamoto ya watu ambao hawana nyazifa ya usemaji lakini wao wanahisi kwa sababu wanatetea chama cha mapinduzi au serikali basi wako tayri kusema lolote wanalojisikia na kusemea jambo lolote. Ikitokea mtu akadaiwa kutekwa unakuta kwenye media wanatolea...
  18. Yoda

    Rio asilaumiwe sana kuja Tanzania kwa mgongo wa serikali

    Ukifuatilia utagundua ni nadra au haiwezekani wadau na mastaa wa michezo hasa wa mpira wa miguu kujitenga na utawala au watawala wowote wale hata wawe madikteta katili kiasi gani. Sijajua sababu ya jambo hili ni nini ila kwa kiasi kikubwa mpira wa miguu una mafungamano makubwa sana na watawala...
  19. Waufukweni

    Shabiby: Nitagombea Urais 2030, nitaleta Sheria ya kunyonga Watu kupambana na Rushwa

    "Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri. Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
  20. Dr Adam Francis

    Sio afya kwa serikali, Jeshi letu la Polisi linapotiliwa mashaka

    Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu. Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
Back
Top Bottom