serikali

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kuna Mbunge nimemsikia mjengoni akiomba Serikali iajiri wanaojitolea. Hii haikubaliki

    Mnaenda kututengenezea mazingira gani? binafsi mimi niseme ni baba wa mtoto mmoja, pia ninatunza familia wazazi wangu wananitegemea mimi, kipindi nimemaliza chuo niliamua kujitolea lakini hali ikawa mbaya nilikuwa napewa elfu 30 kwa mwezi, familia yangu ile na wazazi niwape majukumu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali mkiweka siasa Ngorongoro hamtapata suluhisho

    Nawashauri Serikali wakiweka Siasa kwenye swala hili la Ngorongoro hii mbuga baada ya miaka itakuwa tatizo. Kuwahamisha wamassai kule ni lazima kama wana nia njema. Waziri mkuu ameweka siasa zaidi. Tunaongelea watu pekee wakati tatizo kubwa ni mifugo karibu 1M. Waandishi wa habari wametenda haki...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali imebariki gharama hizi za matibabu?

    Ni kweli kuwa serikali imekuwa ikiongeza bajeti ya afya mwaka hadi mwaka. Ni kweli kuwa kutokana na serikali kuongeza bajeti ya afya, sasa tumeshuhudia Kila Wilaya imejengwa Hospitali ya Wilaya. Si tu kujenga hospital ya Wilaya, sasa nguvu kubwa imeelekezwa kwenye kujenga vituo vya afya katika...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa serikali wa kuwekeza

    SOVEREIGN WEALTH FUND Kwajina lengine huitwa social wealth fund. Huu ni mfuko wa serikali ambao husaidia kuepuka athari zinazo sababishwa na nchi kuwa na rasilimali kama mafuta, gas, madini nk Inshort, huu ni mfuko ambao husaidia kutunza pesa ambazo zinatokana na faida ya nchi kuwa na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Taasisi gani inatoa mikopo isiyo na Riba kwa wafanyakazi wa Serikali?

    Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali? Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama hali ndio hii huko Ngorongoro, basi Serikali ijitafakari upya kwani tunaweza pata hata laana kama Taifa

    Inaumiza, inasikitisha unless sio kweli. Jionee:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mlioko Muhimbili Hospital tafadhali tupeni updates za mara kwa mara kwani tayari huku Mitaani Uchuro kwa Mgonjwa wa Serikali imeshaanza

    Halafu mnaoingia Kumuona Mgonjwa wa Serikali tafadhali mkiwa mnatoka acheni Kulia kwani mnatutisha wengine wenye Mioyo myepesi. Kwani nasikia hata wale mlioenda St. Thomas tarehe 14 Oktoba, mwaka 1999 na wale mlioenda kwa Mzena tarehe 17 Machi, 2021 mlifanya hivi hivi na baadae Majonzi yakaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
  12. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na katiba ya JMT imempa Rais madaraka ya kuisimamia, kuiendeleza na kulipa fidia panapohitajika...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu Tanzania tukawa na utaratibu kiongozi wa Serikali achaguliwe na Bunge

    Kiongozi wa nchi yetu anapokuwa ni Rais anakuwa na mamlaka makubwa sana. Yeye hawajibiki popote na kwa yoyote. Kwanini tusiwe na utaratibu kama wa Uingereza, India, South Africa, Canada. Tuwe na Rais au Waziri Mkuu amabaye atakuwa kiongozi wa taifa letu, ila atakaewajibika chini ya Bunge...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

    Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. Muda mwingine hata...
  16. JamiiForums Tanzania Angola yadai kurejesha zaidi ya Dola Bilioni 11 zilizoibwa Serikalini

    Waziri wa Sheria Nchini humo, Francisco Queiroz amesema ndani ya miaka mitatu iliyopita Serikali imerejesha Mali na Fedha zinazofikia Dola za Marekani Bilioni 11.5 zilizoibiwa kutoka Serikalini na kufichwa katika Mataifa mbalimbali yakiwemo Uswisi, Uingereza na Singapore. Baada ya kuingia...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake, Serikali isitese watu bila sababu

    Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya. Mathalani, leo mawakili wa Serikali wanasema eti shahidi hawezi kuendelea na kuhojiwa kwa sababu ameshauriwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zanzibar yatangaza bei ya Sukari kwa Kilo kuwa Tsh. 2,000

    SERIKALI ya Zanzibar imetoa bei elekezi ya sukari baada ya kuwapo kwa viashiria vya baadhi ya wafanyabishara kutaka kupandisha bei ya bidhaa hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Zanzibar jana, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaban, alibainisha kuwa kilo moja ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…