serikali

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mali yamteua Msemaji wa Serikali kuwa Kaimu Waziri Mkuu

    Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na masuala ya Kiafya. Mapema mwezi huu, jarida la Jeune Afrique la nchini Ufaransa liliripoti kuwa...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe kodi ya kichwa haraka, Watanzania wanapenda ujanjaujanja

    Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania. Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi. Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Hii nchi ina mambo ya aibu sana mawaziri wote wapo kimya utadhani wamemsusia mama Samia nchi mambo ya hovyo hovyo ambayo hata mwananchi wa chini kabisa anaona. Makarani wameanza kazi jana hawana kifaa hata kimoja, zaid ya tablet ambazo na zenyewe naambiwa ni tia maji tia maji. Tablet zinazo...
  4. Ilighena

    JamiiForums Tanzania Serikali ina kila sababu ya kujitafakari ni wapi imekosea

    Habari za asubuhi wanajamvi, kuna jambo najiuliza sana. Hivi kweli Tanzania tumefikia hatua ya kuhamasishwa kwa matamasha, vitisho ndio tukahesabiwe? Nini mbaya? Tumekosea wapi? Je, viongozi wetu wamekosa mwelekeo?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri! Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida! Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia! Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

    Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
  7. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mnaambiwa: Msijichanganye kwenye makato mengine ya watoa huduma yaani benki/kampuni ya simu na VAT. Tozo ya serikali inajitegemea

    Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/- Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali rahishisheni kodi

    Huyu kasema ukweli mtupu
  9. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina 'suffocate', tuzo zitazidi kuongezeka maradufu.

    suffocate - hali ya kuteseka Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele. Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka. Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Kumekuwa na upotoshaji kuhusu tozo, Wizara ya Fedha itatoa ufafanuzi tozo zilizopunguzwa

    Kupitia ukurasa Rasmi wa mtandao wa Twitter, Msemaji Mkuu wa Serikali umetoa taarifa ifuatayo kuhusu upotoshaji unaoendelea kuhusiana na Tozo mbali mbali TAARIFA Kuna upotoshaji mkubwa kuhusu tozo za miamala ya kielektroniki iliyoanza katika mwaka huu wa fedha (2022/23). Serikali imepunguza...
  11. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Matumizi makubwa ya serikali ndio chanzo cha hizi kodi na tozo za uonevu

    Hakika hii Tanzania sasa imekuwa balaa. Serikali imekosa ubunifu kabisa wa vyanzo vya mapato. Haiwezekani kitu kimoja kilipiwe kodi au tozo mbili. Hivi karibuni Serikali imekuja na tozo ambayo mweka fedha benki anakatwa kila anapotoa fedha ktk akaunti yake na benki nayo wakati huo huo inakata...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je yawezekana hali ya kifedha ya Serikali ni Mbaya? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa?

    Hello comrade nasawalimu Kwa upendo naomba tuwaze hili Kwa pamoja, je yawezekana Serikali hali yake kifedha si njema kukidhi majukumu yake? Kwanini Tozo za ziada na kwanini iwe Sasa? Je kuna mahali Kodi stahiki haikusanywi Kwa usahihi? Shida vyanzo? Budgetary long-term approaches za kikodi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali kuendelea kununua magari ya kifahari 'V8' huku ikitegemea kukusanya tozo ni kukosa uwajibikaji

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza hili liko wazi ni kukosa uwajibikaji kwa wananchi. Kama hali imekuwa ngumu hadi kulazimika kuwakamua wananchi tozo hii ingeonekana pia kwa serikali kubana matumizi yasiyo na tija ikiwemo hii ya maafisa kutumia magari ya anasa ambayo yanatakiwa kugharamiwa na...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane na suala la afya ya akili kwa Watanzania kabla ya kufanya mambo mengine makubwa.

    Hamjambo humu ndani? Tatizo la upungufu wa akili miongoni mwa wanajamii ya Kitanzania limekuwa kubwa sana. Vijana kwa wazee. Serikali iboreshe lishe kwa jamii hali ngumu. Nguvu kazi hasa vijana wana ukosefu wa akili na wengine wana upungufu wa akili kichwani. Vijana wa nchi hii wasomi kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tozo zinalemaza serikali kubuni miradi mipya

    Habari za muda huu Wana Jamvi, Kutokana na Hali hii inayo endelea ambapo Kila kunapo kuchwa serikali yetu inakuja na TOZO mpya za Kila kitu hii inapelekea serikali kuji sahau na kumuumiza mwananchi. Kwa Sasa siyo Tena makato ya simu Hadi tulipo kimbilia benk Hali ni hiyo hiyo Serikali...
  16. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

    Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya 6. Wanapohamia Msomera wanaenda kuwa maisha bora na kupata...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Karibuni tupunguze ukubwa wa Serikali

    Habari wandugu. Kwa sasa na maisha na uchumi wa dunia ni mgumu sana. Kila mtu anatakiwa kujibana. Hivyo na Serikali nayo inatakiwa kujibana. Ili kupunguza matumizi, inahitajika ukubwa wa serikali nao upungue. Leta maoni juu ya namna ya kupunguza ukubwa wa serikali. Mimi maoni yangu. 1. Cheo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilosa: Serikali yakabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa kwa Wananchi

    RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO. Na Mwandishi wetu... Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
  19. 2019

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali inapunguza tozo za miamala wakati tumeshazizoea?☹️☹️

    Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza? Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa...
  20. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
Back
Top Bottom