serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kupeleka kituo cha afya Chato

    Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya. My take: Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya kulilia simu

    Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu nikiomba kimoyomoyo umeme urudi. Akili yangu ikachangamka na nikawatazama baba na mama waliopo mbele...
  4. JamiiForums Tanzania SERIKALI : pesa za malipo ya makarani mngelipa direct kutoka hazina , hizi mlizo peleka halmashauri kuna halimashauri hazijawalipa makarani hadi sasa.

    Hiii nchi na serikali kuu mnaziamini bado halimashauri hizi kwenye maswala ya fedha lakini bado zina misingi ya hovyo tangu kuumbwa kwake, wamejaa mchwa na wezi huko. Mnahabari Hadi sasa kuna halmashauri hazijawalipa makarani wao zaidi ya kulipwa pesa ya awali ya siku 5 tu za semina na bado...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni tozo kwenye vifaa vya upako

    SERIKALI WEKENI TOZO KWENYE VIFAA VYA UPAKO Napenda kuishauri serikali kupitia mamlaka ya mapato tanzania kuweka tozo kwenye biashara ya vifaa vya upako inayofanyika kwenye makanisa baadhi ya kilokole,siku za karibuni kumezuka biashara yenye kuingiza mabilioni ya pesa inayofanywa na baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wanachi walio wengi Tanzania wamekubaliana na Serikali kukata tozo - TWAWEZA

  7. JamiiForums Tanzania Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Serikali kuja na kodi ya kichwa baada ya kuhitimisha zoezi la Sensa?

    Kama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa. Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine ziletwe haraka. Sasa hii kodi inapaswa iwe kwa madaraja. Ashukuriwe Mungu sensa imekuwa mgongo wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu?

    Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu. Serikali hii hii ya tozo? Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili ianze kusaidia watu? Serikali hii hii ya walamba asali? Beberu anasema - "too good to be true."...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ilifikiria vizuri kuhusu msaada wa Vishikwambi?

    Hivi majuzi Serikali ilipatiwa msaada wa vishkwambi kwaajili ya zoezi la sensa kutoka korea ambapo balozi wa Korea nchini Tanzania alivikabizi Kwa waziri mkuu na tayari vimeanza kufanyia kazi iliyokusudiwa swali langu ni je 1. Idara za Usalama wa Taifa nchini ilijiridhisha vizuri kupokea...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Serikali kuongeza vituo 2000 zaidi vya WiFi ya bure nchini humo

    Serikali inaongeza vituo 2,000 zaidi vya Wi-Fi ya bure kote nchini katika hatua ambayo inatajwa kuongeza ufikiaji wa huduma ya intaneti katika maeneo ya pembezoni mwa nchi, ikiwemo wakati wa dharura kwa watakaohitaji huduma za Serikali kama vile usajili wa Vitambulisho vya Taifa Hadi sasa...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI DStv wapandisha gharama za vifurushi kwenye king'amuzi kutokana na tozo za Serikali

    Imeripotiwa tozo za Serikali kwenye ving'amuzi itaanza rasmi Septemba 1 kwa DStv kutangaza gharama mpya ya vifurushi.
  13. JamiiForums Tanzania Makarani wa sensa kuoneokana kutoonekana kwenye kaya ni matokeo ya mawasiliano yasiyo kamilifu kutoka kwa serikali

    Sielewi ni nani alitufanya tuamini kuwa sensa ni zoezi la siku moja ( 23.08.2022) mpaka ikafanywa kuwa siku ya mapumziko.
  14. JamiiForums Tanzania Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi. Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

    Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au! Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza. Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali iunde tume kuchunguza tuhuma za mauaji yanayodaiwa kufanywa na askari wa hifadhi ya pori tengefu la Selous. Hali ni mbaya

    Selous hifadhi ya pori tengefu au pori la akiba kwasasa ndilo pori linalotegemewa sana na TAWA. Kama kawaida ya binadamu hakosi alternative pale anapozidiwa njaa au shida. Vijana wanaingia kwenye hifadhi mbalimbali kutafuta chochote kitu ili wapate kujinasua aidha kwenye njaa au wajinasue...
  17. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Serikali ilipie Gharama za internet na TV Siku ya Sensa 2022

    Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani. Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha. Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mwigulu Nchemba mnafurahi kuumiza watu na wafanyakazi kwa tozo?

    Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia Sana. Angalieni...
  19. JamiiForums Tanzania Kama uliwahi soma kitabu cha 'Animal Farm' unaweza fananisha matukio karibia yote na mambo yanayofanywa na hii Serikali Yetu

    Habari wana JF, sipendi ongelea sana sana mambo ya siasa, lakini kadri siku zinavyokwenda na mwelekeo wa maisha yetu in general unavyozidi kuyumbishwa, nazidi kujenga parallels na plot nzima ya moja ya vitabu vyangu pendwa, 'Animal Farm' kilichoandikwa na George Orwell. Yaani ni kama uongozi...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…