serikali

  1. Serikali yawatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto)

    Mtendaji mkuu wakala wa maabara ya veterinali Tanzania TVLA Dk. Stella Bitanyi amewatoa hofu walaji wa kitoweo cha nguruwe (kitimoto) ambacho kwa siku za hivi karibuni kuliibuka hofu kwa walaji kuhisi kuwa nyama ya mnyama huyo ina wadudu wenye madhara kwa binadamu. Dk. Stella Bitanyi Amesema...
  2. T

    Nani aliiunganisha CWT na Serikali? Badala ya kutetea Walimu kinawakandamiza, ukitaka kuanzisha cha kupigania Walimu unashughulikiwa mpaka ukome

    Kwa mtazamo wangu naona kuna tatizo kubwa kati ya waalimu cwt na serikali. Ninachoelewa mimi ni kwamba cwt ni chama cha waalimu Tanzania, yaani chama cha kutetea maslahi waalimu. Cwt haifanyi hiyo kazi kabisa. Wapowapo tu. Waalimu wa nchi hii wanaonewa na kunyonywa na kudharauliwa na kila...
  3. Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi

    Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita kuifungua mikoa ya Pembezoni Kiuchumi. Mikoa ya pembezoni ina geography nzuri ya kibiashara, fursa nzuri ya kuvutia uwekezaji hasa hasa Kwa Viwanda vya Kilimo (agricultural industry) Kwa sababu Wananchi wa Maeneo haya wanafanya manunuzi ya bidhaa muhimu na...
  4. N

    Fao la kujitoa na kauli za Serikali kuhusu kujiari - je, vinaendana?

    Watanzania wenzangu na viongozi wa Nchi hii, hebu tufanye tafakari ya kina juu ya sheria ya mifuko ya jamii na kauli za viongozi Wetu juu ya ajira nchini. Nitoe nadharia ili kila mmoja Wetu asome atumie kama base ya tafakuri. ''Mwezi uliopita kuna taasisi moja hapa nchini ilipunguza...
  5. Walimu wamelipokea tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini, LAKINI wanataka Katiba mpya Ili apatikane kiongozi atakayetatua Matatizo yao sugu

    Wakuu Tamko la SERIKALI kuhusu utoro kazini KWA walimu wamelipokea,LAKINI changamoto ZAO ni nyingi Sana na serikali imeshindwa kuzitatua,wanadai Katiba mpya Ili achaguliwe kiongozi atakae tatua Matatizo yao,huyu aliepo ameshindwa kabisa! Wanajua urejeo wa Kairuki Tamisemi ni kuspin maslahi yao...
  6. W

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  7. Wananchi wa kata ya Loya, Uyui waishukuru Serikali kwa Fedha za vyumba tisa vya madarasa

    Mchakato wa kujenga vyumba tisa vya madarasa BADO unaendelea !Hii ni BAADA ya vile sita kukamilika na kufikisha vyumba 15 vya madarasa, lakini shule hiyo BADO haina vyumba viwili vya maabara vya kemia na biolojia, pia haina jengo la ofisi la utawala, ukumbi wa mikutano na mabweni ya kutosha...
  8. Serikali iikataze Yanga kutumia alama ya Mwenge, inaudhalilisha

    Serikali ni lazima iikaripie Yanga na kuilazimisha kuondoa alama ya Mwenge kwenye logo ya club hiyo. Ni aibu, tunasema Mwenge umulike mpaka nje ya mipaka yetu, lakini Yanga wamekuwa wakienda ugenini na kuwaomba wageni wauzime kwa dharau na aibu. Yanga ni club inayogongwa kimasihara kila...
  9. Kila Rais toka CCM humuachia mwingine Serikali mbovu?

    Mbali ya kwamba ni tabia ya wana CCM kuwatukuza viongozi wa chama chao au wale wanaoongoza Serikali kutokea kwenye chama hicho, lakini imekuwa ni kawaida ya Marais ama wasaidizi/wapambe wao toka chama hicho, kuongea maneno kuashiria kwamba Rais aliyetangulia amemuachia mzigo mzito wa kurekebisha...
  10. Serikali kuja na kifurushi cha gesi ya kupikia cha Sh 500 au 1,000 ili Mtanzania anunue gesi badala ya mkaa na kuni

    Katika kuhamasisha matumizi ya gesi ya kupikia, serikali yetu itakuja na utaratibu wa kumruhusu mteja kuinunua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Kwa sasa wengi wanashindwa kumudu kutokana na gharama kubwa zilizopo, hivyo mchakato wa kuzipunguza unaelekea mwishoni ili kulifanyia...
  11. J

    Chadema yaitaka Serikali kueleza imejipangaje kukabiliana na baa la njaa na bei kali za vyakula

    Hii ndio Chadema Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria...
  12. Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

    Serikali inaweza kukubana ukawa bize kulitumikia taifa na kutusahau wana humu JF. Tuendelee kuwakumbuka na kuwaita malejendari kadhaa ambao waliwika katika majukwaa mbalimbali kipindi fulani. Naanza na hawa Makamanda; GuDume General Galadudu britanicca Malaria Sugu Baba Swalehe Kidukulilo Sky...
  13. Prof. James Mdoe: Serikali itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini

    Serikali imesema itafanya jitihada za uhamasishaji wa usomaji wa vitabu nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe wakati akifunga tamasha la 31 la vitabu lililomalizika leo katika viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam...
  14. C

    Kwanini Serikali iko kimya kuhusu utapeli wa Kalynda?

    Inasikitisha sana kuwa serikali yetu iko kimya sana kuhusu hii ishu. Nini kifanyike ili wananchi wa Tanzania wasikumbane na madhila ya namna kama hii? Elimu itolewe kuhusu utapeli wa mitandaoni.
  15. Ninachokiona sasa hivi kwenye account ya Facebook ya Queen Darleen inasikitisha sana, Serikali imuwajibishe

    Huyu msanii wetu amepost kwenye facebook story, video za ajabu sana. Lengo lake nini? Anajiuza? Au ametumwa kutumahasisha tufanye visivyo sawa?
  16. Rais Museveni asaini sheria ya mitandao, ukiikera Serikali jela miaka 5 na faini Tsh. Milioni 6

    Rais Yoweri Museveni amesaini Sheria ya Matumizi ya Mitandao yenye vifungu vya kuwabana watumiaji mitandao endapo watachapisha au kusambaza habari zinazoikera Serikali au watu binafsi. Sheria inatamka kuwa “Mtu yeyote anayetumia mitandao ya kijamii kuchapisha au kusambaza habari zilizopigwa...
  17. Serikali yaagizwa kulipa Tsh. Bil 21.8 baada ya kupandisha bei elekezi ya Pamba

    Fedha hizo ni hasara iliyotokana na kushuka kwa bei ya kilo ya Pamba kwenye soko dunia mwaka 2019 kisha Serikali ikatangaza bei ibaki Tsh. 1,200 kutoka Tsh. 900 na kwamba Serikali itafidia hasara yote. Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imesema Serikali iwajibike kulipa deni...
  18. Waziri wa Fedha wa Uingereza, Kwasi Kwarteng ajiuzulu

    Breaking News: Waziri wa fedha wa Uingereza Kwasi Kwarteng amejiuzulu. Serikali ya Uingereza chini ya waziri mkuu Liz Truss na waziri wake wa fedha bwana Kwasi Kwateng ipo matatani kwa kushindwa kusimamia uzuri suala la uchumi. Taarifa mbalimbali zasema serikali hiyo imezidisha kiwango cha...
  19. Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, imefanikiwa kuendesha mashauri ya madai na usuluhishi 6,043 kwa kipindi cha miaka 4

    OWMS YAENDESHA MASHAURI 6,043 YA MADAI NA USULUHISHI ❖ OWMS Yaiwakilisha Serikali Kwenye Mashauri ya Madai na Usuluhushi ❖ Yamaliza Migogoro na Wawekezaji, Wafanyabiashara kwa Njia ya Majadiliano Na Mwandishi Wetu, OWMS, Dodoma Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OWMS) imeendelea kuiwasilisha...
  20. Serikali iangalie walimu wanaosimamia somo la Utafiti (Research) OPEN University, kuna mmoja ipo siku kitamkuta kitu

    Wanaosoma au waliohitimu Open University of Tanzania (OUT) pale makao makuu Kinondoni hasa Mass Communication na wale wa Journalism, wawe makini, kuna mwalimu ambaye jina lake la kwanza na la pili yanaanza na Yusuph M, nasisitiza wawe makini na huyo jamaa. Umri wake bado mdogo lakini ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…