serikali

  1. JamiiForums Tanzania Rais alitangaza tarehe 7, Desemba kwamba ataifumua serikali, mpaka leo kimya

    Ni karibu miezi mitatu sasa toka Rais atoe like tangazo, je hii haionyeshi vacillation, kwamba Rais anashindwa kufanya maamuzi,au anashindwa kufanya maamuzi magumu? Historia ya Cabinet reshuffle Tanzania haijaonyesha bado kwamba kufanya Cabinet reshuffle ni jambo gumu. Kwa hiyo rai yangu mimi...
  2. JamiiForums Tanzania Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita ilibeba kichwa cha habari Je Wajua, Mhimili wa Mahakama Usipotenda Haki Unaweza Kushitakiwa?. Pongezi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jengo la Serikali jipya linaloelekea kutelekezwa

    Kuna ujenzi wa jengo la Serikali linanohusiana na kuhifadhi chakula kwa njia ya mionzi ulikuwa unaendelea pembezoni mwa barabara inayoelekea Mpigi Magoe kutokea Mbezi. Hili jengo lilikuwa linajengwa na Wachina na walifikia hatua ya kufitisha madirisha. Lakini naona si chini ya miezi minne kila...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi humu ndani bado kuna wanaopinga kukosolewa kwa Serikali ya Awamu ya Tano?

    Jamani hakuna asiyejua kuwa Awami yatano ijapo na iliyoyafanya mazuri kwa wananchi, yote mazuri yanafutwa kwa mabaya waliyooyafanya kwa hao hao wananchi. Tulipoteza ndugu zetu, tulipoteza mali zetu, tulipoteza Uhuru wa kuongea. Pia tulipoteza uhaki wa uraia wetu, baada ya kuminywa demokrasia...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

    Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake: Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali. Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze nguvu nyingi kwenye sekta ya Sanaa na Michezo

    Ni wazi kabisa tena bila upinzani hii sector pendwa sana wananchi wa Tanzania ipo haja ya serikali sasa kuwa serious na hii sekta na kuitazama kwa macho mawili. Ni sector inayoweza kuingiza trillion za pesa kwa serikali kama tutadhamiria kweli. Uwejezaji mkubwa kwenye michezo kama ya mpira wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: Vunjo tunaanza upya. Katika awamu ya 5 kulikuwa hakuna ushirikiano na Serikali. Mrema na Mbatia hakuwaleta maendeleo Vunjo

    ..ni mahojiano na Dar24. Dkt. Kimei ametoa tuhuma nzito dhidi ya Augustino Mrema, na James Mbatia, ambao ni watangulizi wake. Lakini ktk kutoa tuhuma hizo Dkt. Kimei pia ameituhumu Serikali ya awamu ya 5 kwa kulitenga kimaendeleo jimbo la Vunjo. Nadhani Dkt. Kimei ana mushkeli kidogo ktk...
  8. JamiiForums Tanzania Tanga ni kama haina serikali kabisa, matapeli wa viwanja wanafanya wanavyotaka kwa kujitapa kuwa hakuna wa kuwatia nguvuni

    Nina andika kwa masikitiko makubwa huu mji wa tanga umekuwa wa hovyo mno .As if if hakuna serikali inayofanya kazi zake kwa weledi. Hii mata ya changani kuna huyu mwenyekiti anaitwa masumbuko sijui aliwezeje kukalia kiti cha kuwa mwenyekiti. Yan hana weledi alafu ni tapeli na nusu wao pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali imezuia mchele kuuzwa nje? Huyu analeta huyu anauza

    Kuna mwana JamiiForums amesikia habari ya serikali kuzuia mchele kuuzwa nje au wote tumesikia kuruhusu uletwe kutoka nje tu. Serikali haujazuia mchele kuuzwa nje mpaka sasa hivi inamaa kubwa kuwa hawa walioleta mchele kutoka nje wanaweza pia wakauza huko nje baada ya kuuleta hapa Tanzania ikawa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

    Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  12. JamiiForums Tanzania Je, mikataba inayosaini Serikali inapitia bungeni?

    Habari za saa members wote. Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. SWALI: 1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ? i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ? ii,Je, sheria za nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa Halmashauri ya Mji Masasi ni tatizo, Mkurugenzi huyu anawaonea watu

    Mimi nina jambo natamani kuchangia lijulikane kwa umma, imekuwa ni kawaida sana kwa Watumishi wa Serikali hasa katika Halmashauri ya Mji Masasi kuwahudumia Wananchi hovyo na kwa uonevu. Inapotokea mwananchi akaenda kwa Mkurugenzi wengine wanatushiwa hadi kuwekwa ndani ilimradi tu Mkuu awalinde...
  15. JamiiForums Tanzania Muhimbili: Familia yaomba Serikali iisamehe deni la Tsh 10m ili wapate mwili wa ndugu yao mochwari. Profesa Janabi atoa utaratibu wa kuchukua mwili

    Familia ya Marehemu Swalehe Mshale (74) wa Mbagala Majimatitu A Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam, imeiomba Serikali kuwafutia deni la milioni 10 wanalodaiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambalo limefanya wasiruhusiwe kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari. Mzee Swalehe alifariki katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze matumizi

    Viongozi wa juu wa kitaifa wanahitaji mahitaji maalumu kila waendapo na yanahusisha gharama. Misafara yao na wasaidizi wao. Ikiwa hilo halitoshi wenyeji nao wana misafara yao kila panapokuwa na tukio linalohusisha kiongozi mkuu. Hivi kweli ni sawa. Waziri mkuu kuandaliwa rasmi shughuli ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu kama Serikali ya CCM ikifika mpaka 2,500 tutegemee kila kitu kitakuwa na majina ya watawala na viongozi

    Kinacho wagombanisha viongozi wa CCM ndani ya serikali kila mtu kutaka jina lake liwe kwenye miradi ili kuonekana bora. Sishanagi mwengine njia ya kwenda Singida kajiandika kwenye mawe labda sababu mda wa kupata jina la mradi ujafika. Kupeana majina kwenye miradi leo ndio chanzo cha kuonekana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Serikali ambazo hazipokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni

    Ofisi na taasisi nyingi za serikali hawapokei simu pamoja na kuweka namba za simu mtandaoni. BRELA Baraza la Wataalamu wa Maabara
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vikiwemo Wimpy Kid ili kulinda mila, desturi na tamaduni za Kitanzania

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda leo February 13, 2023 kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 59 cha sheria ya Elimu Sura 353 amepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vya ziada katika Shule za umma na binafsi nchini. Vitabu vya 16 vilivyopigwa marufuku vimekutwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…