serikali

  1. JamiiForums Tanzania Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha vikali Stendi ya Chato kutelekezwa

    Na Daniel Limbe Chato SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na kubaki magofu. Uvumi huo ambao umezua taharuki kwa baadhi ya wananchi,umelenga kudhoofisha...
  3. JamiiForums Tanzania Nani aliagiza na waliohusika kumshambulia Tundu Lisu? Serikali itoe kauli au ifunge jalada

    Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani. TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi serikali haisikii changamoto za walimu kwenye sekta hiyo?

    Changamoto ni nyingi lakini hiyo ya mishahara midogo haisikiki? Ni wimbo wa miaka mingi sana. Baada ya sera ya elimu bure wazazi hata kununua uniform ni kazi. Kuwalipia watoto chakula imekuwa ngumu. Serikali inashindwaje kuwapa walimu usafiri,waachane na Mambo ya bodaboda kila wkt (kama vipi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 imechangia kuongeza Trilioni 7.2 kwenye mfuko mkuu wa serikali kwa miaka 6

    Mabadiliko ya sheria za uchimbaji madini ya mwaka 2017 imechangia kuingiza Trilioni 7.2 kwa miaka 6 kwenye mfuko mkuu wa serikali ambazo zisingepatikana kama hakungekua na mabadiliko ya sheria hiyo. Hii ni sawa na wastani wa Trilioni 1.2 kwa mwaka inatotokana na mabadiliko ya hiyo sheria kwenye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania DC Mstaafu Simon Odunga akosoa vikali jinsi Kumbukumbu ya Hayati Magufuli ilivyofanyika

    Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Simon Odunga amekosoa kitendo shughuli ya kumbukumbu ya kifo cha Hayati JPM Serikali kutuma mwakilishi kwenye tukio hilo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Waziri Bashungwa Mkuu huyo wa Wilaya Mstaafu amesema nanukuu "Suala la JPM halikuwa na hadhi ya kutuma mwakilishi...
  7. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Geita, Kiongozi pekee wa Serikali aliyekuwepo kwenye ibada ya Kumuombea Magufuli leo Kanisani

    Habari ya kumbukizi ya miaka miwili ya Hayati Magufuli. Familia ya hayati Magufuli ikiongozwa na Mama Janet ilihudhuria ibada hiyo. Nipo Chato hapa toka jana, kwenye ibada ya kumuombea hayati Magufuli iliyofanyika katika Kanisa Katoliki hapa Mlimani, Kiongozi wa Juu wa Serikali aliyehudhuria ni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

    Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini! Wamefanya mgomo wa chini chini! Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya hulipa mshahara tarehe ngapi?

    Wakuu. Kuna biashara nataka kuitangaza Kenya. Kama mjuavyo, biashara huchangamka watu wanapopata mshahara, hasa serikali inapotoa mshahara. Naomba kujua Kenya wanapokea mshahara tarehe ngapi? Nimegoogle nimeambulia patupu. MK254 Natanguliza shukrani.
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ingilieni kati, huu mfumo wa elimu utasababisha watoto waanze kuichukia shule

    Nimerudi nyumbani kutoka mahali ninapofanyia shughuli zangu, nimekutana na kitu kinanipa mawazo sana. Mwanangu wa kwanza (4yrs old) alikuwa anapenda shule sana, mwaka jana alikuwa anasoma shule si mbali sana na hapa, walikuwa wanatoka saa 6 mchana, sasa mwaka huu nikaona nimtafutie nursery bora...
  11. JamiiForums Tanzania Mke wa mtu sumu hasa huyo mtu akiwa kibopa wa Serikali, najuta

    Mke wa mtu ni sumu, tena ile sumu inayoua pole pole mwilini. Ama hakika najuta sana, nikiendelea kutongoza mke wa mtu au kuishi na mke wa mtu mniite mbwa nimekaa pale. Wakuu ama kweli yalionikuta jana siwezi kuyasahau maisha yangu yote hivi inakuaje manjemba watatu wote wanakuja guest na mafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kushusha bei ya gesi kama uzalishaji umeme utakuwa mkubwa

    Serikali imesema iwapo mipango ya kuongeza uzalishaji umeme itakwenda kama inavyokusudiwa itasaidia kupunguza gharama za matumizi ya gesi kwa wananchi wa kipato cha kati na chini. Hayo yameelezwa leo Machi 15 na Naibu Waziri wa Uwekezaji, Biashara na Viwanda, Exaud Kigahe kwa niaba ya Waziri wa...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
  14. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali unganisheni BRELA, TIC, EPZA, TANTRADE kwa maendeleo ya Taifa

    Salaam Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na wenye viwanda sambamba na kuvutia uwekezaji. Tatizo Kwa maoni yangu ni wingi wa taasisi zinazofanya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA

    Kutokana na miradi ya ujenzi ya barabara na madaraja kuwa na viwango vya chini sana vya ubora, Serikali ielekeze jicho kali Wizara ya Ujenzi, TANROAD na TARURA. Miradi hiyo inajengwa chini ya viwango kutokana na wale walioaminiwa na serikali (wakaguzi wa miradi hiyo) kula njama kwa kupewa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Maoni ya wadau wa JamiiForums juu ya kusitishwa kwa Bima ya TOTO AFYA KADI

    Mnamo Machi 13, 2023 NHIF ilitoa taarifa rasmi kutangaza kusitisha Huduma ya Toto Afya Kadi ili kupisha Maboresho ya huduma hiyo na kuwataka Wazazi kusajili Watoto kama Wategemezi kupitia Vifurushi vingine vya Bima ya Afya au Shule wanazosoma, soma: NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "Toto Afya...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie wakazi wa Kigogo, fedha wanazotaka kutulipa kupisha mradi haziendani na nyumba zetu

    Habari, poleni na majukumu ya kazi wana JF na ahsanteni kwa habari nzuri na kutupasha Watanzania na wasio Watanzania. Nimekuja kwenu tunaomba mtupazie sauti sisi ni wakazi wa Kigogo Mbuyuni, Dar es Salaam, toka upande wa Bonde la Msimbazi. Huku kwetu kuna Mradi wa Bonde la Mto Msimbazi kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kusema tu kuna watu waliiba pesa za plea bargaining na kuzificha China haitoshi. Serikali ina mkono mrefu. Iwakamate wahusika na kuzirejesha nchini

    Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye alishafariki. Tukaanza kusoma kwenye magazeti kuwa alificha pesa nyiki huko Uingereza. Na baadae tuliskia...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie namna ya kuwasaidia vijana moja kwa moja. Athari za baadaye ni kubwa zaidi

    Hali ya maisha imewachanganya vijana wengi, mazingira na hali sio rafiki kwa biashara, Ajira na zenyewe hakuna. Vijana wamesoma na sasa wameishia mitaani, nguvu ya wazazi nayo imeishia hapo, serikali nayo imeishia hapo, kwanini kijana asichanganyikiwe. Ongezeko la watoto wa mtaani nao ni zao...
  20. JamiiForums Tanzania HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

    Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya. Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…