serikali

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toxic Peanut Butter Alert: “Sumu Kwenye Mkate?” Serikali Yatoa Amri ya Dharura

    Wakenya mko rada? The Ministry of Health imechukua hatua kali baada ya kubaini baadhi ya peanut butter brands zina aflatoxin levels hatari sana way above the safe limit ya 15ppb. Brands zilizoathirika ni Nutie, Kismat, Pannaj na Muleka. Imagine, Nutie batch moja ilipatikana na 934ppb hii ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imekisahau Kijiji cha Olchoronyori - Wilaya Simanjiro, huku hakuna Vodacom, Yas wala Airtel

    Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo. 1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au Airtel maana huku tunatumia TTCL unaotegemea jua tu na kukatika mara kwa mara na kusababisha ukosefu wa...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Email za Serikali (Wizara) hazijibiwi

    Ulishawahi kutuma email kwenye hizi email address zilizopo kwenye website za Wizara ukajibiwa?
  6. U

    JamiiForums Tanzania Msaliti wa ndani na mhafidhina anayeungwa mkono na Marekani ameshaidhinishwa anasubiri kukabidhiwa madaraka kuongoza serikali

    Wadau hizo ni tetesi kwa mujibu wa vyanzo kadhaa tuvute subira tuone hatima. Mhusika ni mhafidhina mkubwa aliyeamua kubadili gia angani baada ya kuona fursa Mchakato umesalia mdogo kabla ya hitimisho ambalo ni kumkabidhi serikali.
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inaleta Ushindani kwa wazalishaji wa Ndani wa Avocado Oil dhidi ya madalali kutoka Kenya

    Tanzania mpaka sasahv kupitia mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera kuna jumla ya Viwanda 12 vya kuchakata mafuta ya Parachichi Ila serikali kupitia wizara ya kilimo na COPRA wameshindwa kuvilinda hivi viwanda na kuamua kuruhusu export ya second grade avocado kwenda Kenya kwa ajili ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali hatujali misiba yenu ya viongozi Mafisadi Watanzania wanataka haki na uhuru

    Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali inamtua Mama wa Kijijini ndoo kichwani, DAWASA inamtwisha ndoo upya mama wa Mjini

    Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye jitihada ya kumtua ndoo mama wa Vijijini, lakini DAWASA WANAMTWISHA NDOO upya mama aliyetuliwa years...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakabidhi msaada wa chakula kwa Msumbiji

    TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ichunguze na kuchukua hatua wanachofanyiwa Wazawa katika Kampuni za ujenzi/barabara/majengo n.k

    Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na changamoto zifuatazo: 1. Kufanyishwa kazi nje ya muda uliopangwa kisheria bila kulipwa malipo ya muda...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

    Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa. Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku kutumia CCTV Camera bila usajili. Je, ni kuwalinda wasiojulikana?

    Habari za muda huu wana-JF, Kuna taarifa muhimu sana kutoka Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ambayo kila mwenye biashara, ofisi, au anayetumia CCTV nyumbani kwake anapaswa kuijua mapema ili kuepuka faini na mkono wa sheria. Kwa ufupi, kulingana na sheria ya sasa, ni kosa kisheria...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo

    Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya 1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo. 2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria 3. Huwezi kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inaboresha miundombinu ili Mtoto wa Kitanzania apate haki yake ya msingi ya elimu bora - Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inaendelea kusimamia uboreshwaji wa miundombinu ya elimu nchini, ili kuhakikisha kila mtoto wa Kitanzania anapata haki yake ya msingi ya elimu bora katika mazingira...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Serikali iingilie kati, Wanafunzi wa Rubafu Secondary School wanapewa adhabu kali sana

    Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu. Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School. Mkuu wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imesema tuongezwe mishahara lakini Fanikiwa Microfinance inatuongezea 'target ya kufikisha'

    Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani. Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze mishaara kufikia laki 6, walipoambiwa hivyo wakatupandishia target kufikia milioni 20 kwa mwezi ili...
  18. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Tunashauri Serikali itoe muda wa mpito wa mwaka kutolipa kodi ya mapato ya biashara mpya

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi ripoti hiyo
  19. JamiiForums Tanzania Mchango wa magufuli kwa serikali msije kusema shetani wala wachawi,Naona wengi wanakipata

    Ukweli ni kwamba mtu mwenye malengo ya pesa ya kusema kwa kwa kwinywa chake leo ni marehemu na kupa pole. Hii pesa 2030 ya watanzania kuna watu naona ndoto zao sio utani ,maana wengine wanajionesha wazi wazi na wazi. kuna nyimbo ya solo inaitwa shangazi kaja
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

    Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional. Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…