serikali

  1. L

    JamiiForums Tanzania Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Ma-cartel wamejimilikisha uchumi wa nchi yetu, kampuni moja ina ubia na watu walioko serikalini ilipewa tenda kuagiza mafuta na kusimamia bei

    Akizungumza na Vyombo vy habari leo Aprili 6, 2026 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokraisa na Maendeleo (CHADEMA), John Heche amesema kuna ma- caretel (Kundi la wafanyabiashara) ambao wanajimilikisha uchumi wa Tanzania, akidai kuna taarifa wanazofuatilia kuwepo kwa kampuni moja yenye ukaribu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  4. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

    Donald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza. Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu. Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Jackson Kiswaga: Watanzania mkubali Serikali imeongeza bei za Mafuta kidogo. Punguzeni mambo ya Mitandao, hayana maana

    Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Gidel Kiswaga akizungumza leo Aprili 2, 2026 kwenye Bunge la 13 Mkutano wa 3 kikao cha 3 Dodoma, ameeleza kuwa kulingana na hali ya kukosekana kwa mafuta duniana kufuatia mgoggoro unaondelea mashariki ya kati inabidi watanzania wakubali bei ya mafuta...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha kuchoka kwa Serikali yetu ni kushindwa kupambana na janga la mafuta

    Dharura ya mafuta imeivua nguo serikali yetu. Yaani mbwembwe zote zile na maelezo mengi wananchi tunapigwa kwenye mafuta Inauma sana. Na kwa kuwa waliambiwa name to shame nadhani ndo imeisha ila Nina uhakika kwenye jambo hili kuna watu wamepiga na watapiga sana hela za walalahoi. Halafu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  8. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Kujivua Uanachama kwa Katibu wa Kanda na Mkoa wa Tanga: CCM na Serikali Yake Wanaogopa Mabadiliko!

    Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko Nawakumbusha ndugu zangu wa Chadema: hawa si wa kwanza, wala hawatakuwa wa mwisho. Na hii si habari mbaya tu –...
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa serikali yetu haishauriki kwa kiasi hiki, au Fr. Kitima unafanya siasa?

    Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu kwasababu mbalimbali tumejikuta ni wakristo wa madhehebu mengine. Mbali na malezi ya kiroho kwa wakristo...
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

    Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya. https://x.com/i/status/2037994015094714505 My Take Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali kuhuisha sheria ya Utumishi wa Umma, sura ya 298. Wale waliokuwa wanalipwa mishahara binafsi wajiandae

    Wakuu habari, Kwa taarifa za chini chini, Serikali inaenda kuhuisha sheria hizo kupitia Ofisi ya waziri Mkuu... Kumbuka sheria hasa ya mishahara binafsi inaenda kufanyiwa marekebisho; kuanzia mwezi wa saba watu watapunguziwa mishahara yao.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni hili la makampuni ya simu

    Hasa hasa YasTanzania #YasTanzania hawa jamaa kila ukinunua umeme mara nyingi utakutana na changamoto ya kukosa token na ukiwapigia simu unajibiwa kirahisi tu kwamba jihidumie au subiri masaa 24 ya kazi yaani siku tatu, Na ukijihudumia unakutana na majibu kwamba hakuna muamala umefanyika, kwa...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta Imepandaje wakati Serikali ilisema kuna akiba hadi Julai 2026

    Waati Serikali ya Tanzania ikitaja vita vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran kuwa ndiyo chanzo cha ongezeko la bei za mafuta kuanzia Aprili 1, 2026, utata umegubika suala hilo kutokana na kauli za viongozi wa Serikali waliowahakikishia Watanzania kuwa kuna mafuta ya kutosha...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninaishauri serikali iondoe VAT na ushuru (excise duty) kwenye petrol na dizeli kwa miezi miwili

    Hali imeshakuwa mbaya kwa sababu ya vita inayoendelea. Haina ubishi kuwa bei zimepanda huko duniani. Ila mimi nimeona serikali ichukue hatua ya dharura kwa kuondoa VAT na Excise duty kwenye mafuta yanayoingia nchini hata kwa miezi miwili ili kuingiza mafuta ya kutosha kwa wakati huu ambao...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Sammy Awami: Vyombo vya kusimamia Serikali vikikosa nguvu, kikundi kidogo cha Watu kitafanya maamuzi kwa maslahi yake chenyewe

    Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute mara moja tozo za mafuta ili kupunguza bei za mafuta ya petrol na disel

    Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali hiyo itaongezeka nafikiri tutanunua lita moja ya petroli kwa tshs 10000 ndani ya miezi 2 mbele...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toxic Peanut Butter Alert: “Sumu Kwenye Mkate?” Serikali Yatoa Amri ya Dharura

    Wakenya mko rada? The Ministry of Health imechukua hatua kali baada ya kubaini baadhi ya peanut butter brands zina aflatoxin levels hatari sana way above the safe limit ya 15ppb. Brands zilizoathirika ni Nutie, Kismat, Pannaj na Muleka. Imagine, Nutie batch moja ilipatikana na 934ppb hii ni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: Deni la Serikali ni Tsh. Trilioni 110, ndani ya mwaka limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 12

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imekisahau Kijiji cha Olchoronyori - Wilaya Simanjiro, huku hakuna Vodacom, Yas wala Airtel

    Mimi ni mdau kutoka Kijiji cha Olchoronyori Wilaya Simanjiro, Serikali imepasahau tunaomba itembelee huku ione changamoto zilizopo. 1. Tunaomba kujengewa mnara wa Mtandao wa Vodacom, TIGO au Airtel maana huku tunatumia TTCL unaotegemea jua tu na kukatika mara kwa mara na kusababisha ukosefu wa...
Back
Top Bottom