Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Silaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Silaa ametumika tu ili pengine watu wakisikia jina Slaa wafikiri ni yule yule Balozi Dr. Slaa.
Headline za magazeti pamoja na zile...
Bado naendelea kujiuliza, Wanasheria wetu walilala au shinikizo la Rais lilikuwa kubwa kiasi hawakutana hata kufanya kazi kwa makini?
Nimepitia ule mkataba wa IGA kati yetu Tanzania na Serikali ya Dubai (kama wanavyodai) kiukweli sijaona sehemu yeyote Serikali ya Dubai hakuna mahala imesaini...
Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo:
"Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana."
Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri!
Tumesikia wakitishiwa watu kuuwawa. Uthibitisho kuwa wahuni huupiga mwingi hadi nje ya CCM.
Tunaporumbana nao kuhusu...
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa.
"Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za unyanyasaji; vijana wetu wanakabiliwa na ponografia. Katika nchi za Kiislamu, ponografia imezuiwa. Niambie ni...
Friends and Enemies,
Katika kile kinachoonekana kuwa ni vita dhidi ya rasimali za nchi kama wenyewe wanavyosema, ameibuka Askofu Mstaafu Stephen Munga ambaye ni Askofu Mkuu Mstaafu dayosisi ya kaskazini mashariki.
''Yupo Mfalme wa Wafalme, tuwe makini na kauli zetu, kama umesahau Jana ukumbuke...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa.
"Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa nafasi ya mwisho kwa Serikali kabla ya kutoa uamuzi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande na wenzake watano.
Hatua hiyo inatokana kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 38/2022...
Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...
Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu;
Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX.
Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO
Imeandikwa na: MwlRCT
1: UTANGULIZI
Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na serikali. Sauti za wananchi ni maoni, mapendekezo na malalamiko ya watu wanaoathiriwa na sera na mipango ya...
Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu..
1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au
2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili.
Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru
Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!!
Swali langu :
Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
Wakati mwingine nahisi kukasirika! Hivi ni kweli viongozi wetu wanachukizwa na umaskini uliopo nchini?
Angalia posho wanazolipana! Zinaendana na hali ya kiuchumi ya nchi?
Angalia magari ya anasa wanayoyanunua kwa ajili ya matumizi ya watumishi wa Serikali! Wangeyanunuua kama wangetakiwa...
SERIKALI imesema kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), itaajiri maofisa 800 wenye taaluma mbalimbali kwa lengo la kwenda kudhibiti upotevu wa fedha za umma hasa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini hapa, Msemaji Mkuu wa...
Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba akizungumza leo Jumatatu Julai 10, 2023 kwenye Uzinduzi wa Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, Jijini Dar es Salaam amesema:
Huduma za cryptocurrency hazipo kwenye uratibu mzuri na tumekuwa tukitoa tahadhari kwa watu wanaotumia uwekezaji...
Kenya mpaka Leo 10-July Sheria mpya ya Fedha ipo pending licha ya bunge kupitisha, lakini watu walioona sio sawa wameenda mahakamani, sisi tunakwama wapi?
Wanasheria wengi wanaukosoa Mkataba wa DP World lakini cha ajabu mbona hawaendi mahakamani?
Kifupi mkataba unaonekana umekaa kiutapeli...
Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho.
Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao.
Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
NAIBU WAZIRI MHE. KATAMBI - SERIKALI ITAENDELEA KULINDA MASLAHI YA VIJANA
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda...
Kungelikuwa na serikali tatu, taabu yote hii isingelitokea. Kwa haya sasa serikali tatu ni LAZIMA.
1. Zanzibar wawe na vyao,
2. Tanganyika tue na vyetu na
3. vya Muungano viainishwe!
Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Agosti 2023.
Zuio hilo linahusu kufanya mkutano katika Mji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.