Mpira ni pesa, kutunza uwanja wa mpira na miundombinu yake ni ghali sana, lakini hata gharama za kuendesha timu na kuandaa mechi ni kubwa sana. Mpira wetu umekuwa sana, unakusanya wachezaji wakubwa wa nchi mbalimbali. Kutokana na ukweli huu hata Watanzania wanaotaka kwenda kuangalia mpira...