Uwazi unamaanisha uaminifu, maadili na uwajibikaji ambao serikali na mashirika ya umma wanapaswa kuwa nao ili kuwafanya raia kujua taratibu na shughuli ambazo uwekezaji wa kiuchumi unafanyika. uwazi na upatikanaji wa habari kwa umma Inahusisha kufanya maamuzi ya serikali mfano teuzi, sera na...
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile Tanganyika huenda akaangukia pua.
Watu wengi waliokuwa wanamuona Rais Samia kama rais bora wa mfano, kwa...
Nashangaa Feleshi bado Yuko katika nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, aondoke, ameshindwa kuishauri serikali kuhusu mkataba wa Bandari.
Mama Samia, Anza na huyo, fukuza.
Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
---
Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema
Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
---
Winshear...
Mpira ni pesa, kutunza uwanja wa mpira na miundombinu yake ni ghali sana, lakini hata gharama za kuendesha timu na kuandaa mechi ni kubwa sana. Mpira wetu umekuwa sana, unakusanya wachezaji wakubwa wa nchi mbalimbali. Kutokana na ukweli huu hata Watanzania wanaotaka kwenda kuangalia mpira...
Friends and Enemies.
Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe.
Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa...
Vitengo vyetu vya usalama vifanye kazi kwa weledi msije shtuka wakati mmesha chelewa.
Shule nyingi zinafundisha watoto kupigana ngumi, Karate na kutumia silaha za jadi na baadhi wanatoa hata maelekezo ya silaha za moto huenda.
Sasa wanajiandaa na nini? Na maandalizi yao wapo very secret na...
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo
Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali
Ikumbukwe mjadala uliopo unatakiwa kujibiwa na serikali tuu bila kujali ni nani kauanzisha na ni wa...
CHADEMA na wanaharakati wengine wamekuwa wanadai kupotea kwa watu kadhaa. Miongoni mwao wapo wanasheria akiwemo Lissu. Kinachoshangaza ni kuwa wakati sheria zetu zinaruhusu habeas corpus(KILATIN) kwa kiingereza “show me the body.”kuilazimisha serikali itoe maelezo kama upo ushahidi wa kuihusisha...
Kagera iko mbele kiufaulu, kielimu lakini kimaendeleo kama imetengwa na serikali
Shida ni nini!? serikali ,watu wenyewe wa kagera, ukanda, ubinafsi au laana?
Getty ImagesCopyright: Getty Images
Serikali ya Afrika Kusini imetuma maombi rasmi kwa mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin iwapo atawasili nchini humo.
Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini, Democratic Alliance, kinasema kuwa haya ni makubaliano ya matakwa...
Constantine J. Samali Mauki
Utangulizi
Nikiwa mtoto, nilijua watu wanaosafiri kwa ndege ni watalii (kwa maana ya wazungu), matajiri, na viongozi wakubwa wa Serikali. Nilipokuwa mkubwa na mpaka sasa, naona mtizamo wangu bado ni uleule niliokuwa nao nikiwa mtoto, kwamba usafiri wa ndege ni wa...
Kuna trend ya kusambaza bidhaa nyingi kwenye mfumo wa takrima nchi nzima. Katika mdororo wa uchumi kama uliopo duniani kwa sasa ni vigumu nchi maskini kama Tanzania kupata fedha za kufanya haya yanayofanywa leo.
Pesa hizi za kuprint kanga na vitenge zinatoka wapi? Hizi pikipiki zinatoka chini...
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hayo kwenye hafla fupi iliyofanyika Hoteli ya Johari Rotana na kuwakutanisha Wadau pamoja...
Mimi sioni sababu ya kila mkataba wa kimaendeleo au ubinafsiahaji kuuweka hadharani ,ninani anavujisha hii mikataba ? Sisi tuna watu wa hovyo wanaotafuta umaalufu kwa Kila kitu ..tusirudie kuleta taharuki ,kama hii dp world mngemaliza kimya kimya hakukuwa na sababu ya kuweka wazi ,hata sisi...
Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?
Mwandishi: MwlRCT
1. Utangulizi:
Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
Serikali ni aibu sana kuwatumia wanasiasa kujibu hoja za kisheria wasizoweza. Hii ni kwa sababu tokea mjadala wa Bandari ya DSM umeibuka, hoja za watanzania wote ni namna mkataba ulivyo. Kuna vifungo vya mkataba vinatatiza maslahi mapana ya Taifa letu Tanzania.
Ni vyema mujibu hoja kitaalum...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.