serikali

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  2. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haioni kabisa umuhimu wa kuwatazama watumishi wa chini kama wauguzi, madaktari, polisi na waalimu?

    Kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa gharama za maisha sasa mathalani lita moja ya mafuta ya kula 2015 iliuzwa kati ya tsh 1500 hadi 2200. Leo inauzwa 5500 hadi 6500. Hali hii ni kwa kila bidhaa sokoni si Unga, Michele, sabuni, nishati ya kupikia, nguo n.k bei hazikamatiki sokoni! Serikali kwa...
  3. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Serikali isisubiri vifo zaidi kufanyia upanuzi wa barabara ya Kilwa kuanzia Mbagala

    Hii njia sasa imeshakuwa kero kwa wananchi. Haipiti siku bila kutokea ajali eneo la mzinga darajani mpaka kongowe. Wiki iliyopita lori lilifeli breki na kusomba wapita njia na kuwaingiza mtoni. Zaidi ya watu 5 walifariki hapo hapo. Wiki iliyopita nyuma yake lori liliangukia bajaji na wakapotea...
  4. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatamani Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa kufanyika kwa njia ya mtanado (Smart Vote Card)

    Tanzania Tuitakayo-Dira: Tunatamani uchaguzi mkuu na serikali za mitaa kufanyika kwa njia mtandao (smart votecard) Nini kifanyike kufikia njia ya usajili wa wapiga kura kwa njia ya mtandao, nirahisi sana Kanuni za uchaguzi chini ya tume ya taifa ya uchaguzi tanzania zinamtaka mwananchi/mpiga...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ituambie ukweli kama eneo la viwanda vya Urafiki wamemuuzia au kumpa mwekezaji. Haiingii akilini kwamba wameuza kwa NHC

    Kuna watu tuna nusa kama mbwa. Nishanusa kitu, huu ni mchezo wa kitoto umefanywa na wenye vyeo. Haiingii akilini aiseee. Uue kiwanda uzalishe nyumba. Kihesabu hapo ni sawa na 10-90 jibu linakuwa ni big NEGATIVE.
  6. Hofajr16

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushauri kwa Serikali, Wazazi, vijana kuhusu kupunguza tatizo la ajira

    Suala la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania limekuwa sio stori tena ni suala ambalo linaonekana ni kama changamoto sana kutokana na sababu mbalimbali, lakini andiko langu nitagusia sana katika ujifunzaji wa lugha za kigeni hususani lugha ya kichina katika kupanua soko la ajira kwa vijana...
  7. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Serikali yenyewe imekishindwa hiki kisiki cha Mpingo, unadhani nani ataweza?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ikiwa Serikali yenyewe imekishindwa hiki kisiki cha Mpingo kiitwacho "Watumishi wa Umma" unadhani ni nani ataweza? Wananchi wamekuwa wakipiga kelele sana kila mahali ya kwamba, watumishi wa Serikali na wale wote walioko kwenye ofisi za Umma wasiwe...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi...
  9. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka serikali kununua bidhaa kutoka viwanda vya ndani

    MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye vowanda vya hapa nchini. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia kwenye bajeti ya wizara ya viwanda na...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utagharimu jumla ya Tsh. Bilioni 31 hadi kukamilika

    Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa Mkandarasi Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchimbaji mchanga mto msimbazi unazidi kuleta athari kubwa kwa wananchi. Je, kwanini serikali inatoa vibali vya uchimbaji mchanga mto msimbazi?

    Ili hali makazi ya wananchi yanazidi kupotea? Kaya nyingi kwa sasa zimekosa makazi. Kabla ya uchimbaji mchanga hakukuwa na madhara yoyote.
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ianzishe shule za msingi za kata nchini ili kuwa na nguvu kazi tosherezi ya walimu

    Serikali imekuwa ikiboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari hapa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na ujenzi wa shule mpya za msingi na sekondari katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Pamoja na jitihada hizo bado kumekuwa na changamoto kubwa katika utoaji wa vifaa tosherezi na ugawaji...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Picha za Viongozi wa Serikali kutawala kwenye mabango ya Warsha za Wadau ni takwa Kisheria au ni kujipendekeza na kujikomba kwa Serikali?

    Wakuu mpo salama? Twende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu, haya mabango mawili ni shughuli mbili tofauti ambapo serikali ilialikwa na wadau kushiriki kwenye shughulii hizi. Hii ya kwanza ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Vyombo wa Habari Duniani na ya pili ilikuwa ni kuadhmisha Siku ya Kimataifa ya...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanganyika itarudi? Tutaendelea kufunika kombe hadi lini?

    Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"! Wazee wetu walioushuhudia muungano Kila kukicha wanatangulia na wao wameona Kuna tatizo kuu la huo muungano wenyewe kwetu Sasa na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na wengine tunaadhibiwa lini na Serikali ipi / zipi duniani?

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran, Mohammad Kazem Movahhed Azad, ameagiza watu wote wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii, aliyekuwa Rais wa nchi nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ya helikopta, wachukuliwe hatua kali. . Azad ametoa wito huo baada ya baadhi ya watu kuanza...
  17. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara

    Inapofika msimu wa kuandikisha watoto serikali inazisitiza wakaandikishwe,lakini wakishaanza shule ufuatiliaji wake unapunguwa hali inayopelekea watoto kuzurula mtaani.Wazazi walaumiwe na serikali ilaumiwe watoto wadogo wanashinda stendi kufanya biashara ni aibu tunatengeneza taifa gani?Tazama...
  18. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushauri kwa Serikali juu ya kuongeza na kuboresha huduma za Ofisi za NIDA

    chanzo ni; yotube Hata sasa kwa Nchi ya Tanzania , Huduma ya upatikanaji wa namba za nida au vitambulisho vya nida bado imekuwa changamoto na mfumo huo kusumbua. Ofisi inayohusika na namba za nida utaikuta ipo wilayani tu au mkoani tu , yaani ofisi hizi za nida zinapatikana katika halmashauri...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali inawatafuta nini walimu kwenye ujenzi? Sasa huu mfumo wa manunuzi wa NeST imekuaje mmewahusisha?

    Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu. Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Ajira kwa watumushi wa Serikali ubadilishwe ili kuleta matumaini kwa Watanzania waliopo shuleni

    Kwanza kabisa muasisi wa taifa letu hayati Mwalimu JK Nyerere alisema kila mtanzania anapaswa kupambana na adui watatu ambao ni: 1. Ujinga 2. Umasikini 3. Maradhi Tunashukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua tulipo fikia maana tumeweza kufaulu lakini sasa badala ya kupunguza maadui hapo basi...
Back
Top Bottom