serikali

  1. tamsana

    JamiiForums Tanzania Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Laiti Serikali ingejua yaliyo moyoni mwa nguli wa Riadha Filbert Bayi wasingemkumbatia. Huyu mwamba ndiye muuaji wa vipaji vya riadha Tanzania

    Hello! Moja kwa moja kwenye mada! Nikiwa O - level nimesoma na mwamba mmoja jamaa alikuwa anakimbia mita 100 kwa sekunde 13-15 tu. Ikumbukwe Bolt alikuwa anakimbilia kwa sekunde 9-10. Huyu wa sekunde 13-15 ni mtoto wa familia maskini, alikuwa mwanafunzi busy na masomo mbio anakimbia kwenye...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa kwanini mashirika ya serikali yanafail na binafsi yanafanikiwa

    Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na kiwango cha juu ni mkubwa kuliko wi-fi. Nililipia internet ya fiber ya tigo just 5 days ago, after a...
  4. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa. Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Dokezo la Kisera Kuhusu Changamoto ya Usafiri wa Pantoni Kati ya Magogoni na Kigamboni: Serikali ibinafsishe usafiri wa Pantoni

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa 1. Usuli “Kama una haraka tangulia lakini ujue nitakukuta feri,” ni msemo uliozoeleka kwa wakazi wa Kigamboni tangu uhuru wa Tanganyika hadi leo. Mtu anasafiri kutoka Kibada hadi Feri kwa dakika 15 lakini anasubiri pantoni kwa dakika 60. Dokezo hili...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  8. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

    Kwa anaejua, ili nianze kupata tender za serikali natakiwa nianzie wapi? Tafadhali sana Karibuni
  9. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajifunza Nini kwa Vijana wa Bangladesh Waliomchagua Muhammad Yunusi Mwenye Umri wa Miaka 84 kuongoza Serikali ya Mpito?

    Ndugu zangu Watanzania, Kule Bangladeshi siku chache zilizopita vijana wa Taifa hilo hususani wanafunzi waliongoza Maandamano makubwa ya kumuondoa Madarakani Sheikh Hasina ,ambaye yeye na serikali yake walikuwa wanatuhumiwa na kushutumiwa kwa masuala mbalimbali ikiwepo kukithiri kwa Vitendo vya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Serikali imeleta mtaala butu SHULENI Usiotekelezeka nashauri uondolewe mara moja

    Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa 1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi 2. Mtoto...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Agricom yaikabidhi Serikali Trekta 500, Power Tillers 800 na vifaa vingine vya Kilimo

    Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla hiyo imehudhuriwa na Rais wa Tanzania, Mheshimiwa Dokta Samia Suluhu Hassan, ambaye alishuhudia...
  12. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Mhimili mpya kusimamia serikali wazaliwa?

    Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa, hakuna ubishi kwamba, kuna mhimili mpya unaoitwa "WANAHARAKATI", ambao unaisimamia serikali na kuikosoa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kufanya tathimini ya urejeaji wa hiari wa Wakimbizi ifikpo Januari 2025

    Serikali imesema katika kuhakikisha kuwa Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa hapa nchini wanapata suluhisho la kudumu ifikapo Januari 2025 itafanya zoezi la mahojiano ili kutoa fursa ya kuwasikiliza Wakimbizi hao na kufanya maamuzi sahihi kuhusu hadhi zao kwa kuzingatia sheria za ndani, kikanda...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tusikubali miradi ya Ujenzi ifungwe, tuisaidie Serikali ila tusikope!

    Wakati Wana CCM wakielekeza akili zao na nguvu zao kushinda chaguzi "kwa kishindo" huku chini Hali sio nzuri kabisa. Na huku Wakandarasi wakimnunulia Rais ndege kwa ajili ya shughuli zake za kisiasa( naweza kurekebishwa hapa) Miradi ya ujenzi wa inasimama, SABABU Wakandarasi hawa hawajalipwa...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Pinda: Maadamu suala la Utekaji linasemwa, liwepo au lisiwepo lazima tuendelee kuwa Wakali hasa upande wa Serikali

    Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa imani za kishirikina zinazohusishwa na harakati za uchaguzi Amesema "Wakati naingia Uwaziri Mkuu...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali ina muongozo wa mipango miji wa kitaifa wa muda mrefu?

    Serikali inatakiwa iwe na muongozo mpango miji wa taifa zima wenye ramani wa miaka angalau 25 kuonyesha wapi itajenga barabara za lami, wapi itajenga reli, wapi itajenga mwendokasi, wapi itajenga vituo vya mabasi, wapi itajenga viwanja vya mpira, wapi itajenga stendi n.k Huo muongozo ndio...
  17. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Interview za Utumishi na barua kutoka Kwa serikali ya mtaa

    Hello, Naomba msaada Kwa wenye experience na interview, ntakuwa na interview next week, ila nimeambiwa kuwa lazima uwe na kitamburisho Kwa utambuzi. Nida namba ninayo ila sijapata kitamburisho, kadi ya mpiga kura ninayo ila walikosea jina. Badala ya kuandika JACKSON waliandika JACKSONI. hapa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ndugu mlipa Kodi shuhudia jinsi Magari ya Serikali yanavyoendeshwa kwa vurugu huko huko Barabarani

    Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaombwa kukipiga tafu kiwanda cha Mkulanzi

    Serikali imeombwa kukiongezea nguvu Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi ili uzalishaji wake ufike tani 75,000 kwa mwaka kutoka makadirio ya tani 50,000 za sasa. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mkulazi, Dk Hildelitha Msita wakati wa hafla ya uzinduzi wa kiwanda...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Tunaomba serikali ipige marufuku matamasha ya kidini

    Nimeona moja ya sababu ya kumwondoa Kiboko ya Wachawi ni wizi utapeli kumwona 500000 Nimeona pia mtudaiidie kuna dini zingine wanaanzisha matamasha tena kila mkoaaa na ule wenye hela nzuri wanaongeza viingilio Hapo hapo ukute wameshapokea mahela ya t-shirt soksi na majeans yao Haya matamasha...
Back
Top Bottom