serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hivi mnaonaje Serikali ikatumia Simba na Yanga kuwapa utajiri watanzania

    Yaani ipo hivi kwanini serikali isitumie ligi yetu ya mpira kutajirisha watanzania kwamba siku zicheze simba na yanga halafu zote zifungwe Kila mtu abeti mpunga wa kutosha hamuoni kama hapo tutakua tumepata utajiri watanzania yaani Kila mwaka mechi za mchongo ziwe 2 Kwa Kila timu unajua fikilia...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imesitisha nyongeza ya mishahara ya kila mwaka (annual incriment) na tucta ipo kimya tuu

    Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli, Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa .. Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo Yaani mwaka...
  3. W

    JamiiForums Tanzania KERO Mnaotoa Vyeti vya Serikali mnakwaza kukosea Herufi za Majina ya Watumiaji wa Nyaraka hovyo

    Mwanangu yuko katika hatua za kuomba nafasi chuoni mwaka huu, lakini anapata usumbufu mkubwa kubadilisha majina kwenye cheti chake cha kuzaliwa ili yaendane na yale yaliyo kwenye vyeti vya shule. Hii ni hatua muhimu ili aweze kuendelea na mchakato wa kuomba chuo. Vivyo hivyo, hata wakati wa...
  4. JamiiForums Tanzania Walimu wakenya wanaofundisha Tanzania wailaumu serikali ya Tanzania kwa kuwakosesha ajira

    Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania. Wanasema ; 👇👇👇👇👇 " Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni wafanyakazi wote wa serikali wamelipwa mishahara mwezi huu wa August?

    Nauliza swali hili kwa lengo la kujiridhisha kuhusiana na taarifa fulani ila kwa sasa naona sio busara kuzitaja ila majibu yatanisaidfia kupata walau picha halisi. Naomba tujuzane kama kuna watumishi ambao bado hawapata mishahara mpaka leo hii.
  6. JamiiForums Tanzania Mafanikio makubwa yaliyochochewa na serikali ya awamu ya sita yawa kero kwa wapinzani wa maendeleo nchini

    Ni dhahiri sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan anapendwa nchi nzima. kazi za mikono yake na mipango mikakati yake kupitia serikali sikivu ya CCM zawafurahisha sana na kuwanufaisha wananchi nchini kote Tanzania.. Wananchi hivi sasa maeneo mengi nchini wana pata huduma nyingi muhimu kwa uhakika na...
  7. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

    Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale ambapo utamaliza kifurushi hicho kabla ya mwezi kuisha. Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom...
  8. JamiiForums Tanzania Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mfumo wa kidigitali kupokea maoni ya watu kuhusu masuala mbalimbali yanayoihusu nchi yao

    Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi. Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji

    Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
  12. JamiiForums Tanzania Serikali huu ndio muda wa kuzibua na kujenga mitaro pamoja na kukarabati barabara mbovu, msisubiri mvua zifike muanze visingizio na maigizo

    Wakuu salam, Kila ikifika kipindi cha mvua ndio serikali huwa inashtuka kuanza kukarabati mitaro na njia na hapo ni baada ya kuwa mvua iliyoshinda siku mmoja imefanya mitaro ifurike na baadhi ya barabara kushindwa kufikika baada ya maji kujaa. Pia soma: KERO - Shukran DAWASA kurekebisha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ITUPIE JICHO WIZARA TATU:-KILIMO, MADINI NA NISHATI ROSTAM AZIZ YUMO.

    Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa Wamisai Ngorongoro, tumechelewa lakini tumpongeze Rais Samia. Tujifunze Canada na tusahihishe

    Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
  15. JamiiForums Tanzania Ngorongoro ni haki ya wamaasai, serikali msijitoe akili.

    Wamasai ni watu! Wamasai ni watanzania, wamasai ni waafrika na wamasai ni ndugu zetu! Nilipokuwa mdogo miaka ya 80 nilipata bahati kubwa ya kuzunguka na mzee haswa nyakati za likizo tukitembelea maeneo mbali, nilipata uzoefu wa kuona Maisha ya watanzania wenzangu, na hii ilinifanya kujifunza...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Serikali ya CCM kujifungulia kesi, kujitetea mahakamani na kujihukumu

    Hiki ndicho kilichotokea huko Arusha kwa serikali kupitia Wakili Peter Njau kujifungulia kesi ya kupinga amri ya Waziri kufuta vijiji Ngorongoro kwa kutumia jina la mtu Isaya Ole Posi ambaye amekanusha kuhusika na kufungua kesi hiyo na kujisikiliza mahakamani na kujiwekea zuio! Hakika Serikali...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Serikali ya Mama Samia inatumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Ngorongoro?

    Hii issue ya Wamasai kuhamishwa kutoka kwenye makazi yao ya asili imepamba moto kwenye hii awamu. Mkoloni mwenyewe hakuwahi hata kuattempt kufanya hivyo na serikali za awamu zilizopita pia hazikujaribu kuwaondoa. Cha kushangaza awamu hii wanajaribu kwa kila mbinu na hali kuhakikisha kuwa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ili uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa

    Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa: 1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwe na uwazi katika kuendesha mchakato wa uchaguzi kuanzia usajili wa wapiga kura, uteuzi...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ifikirieni Mbagala, ipeni hadhi ya wilaya(Manispaa)

    Wilaya ya Temeke imekuwa kubwa Sasa ni muda mwafaka itengwe kama ilivyo Kinondoni ilizaa Ubungo, Ilala ikazaa Kigamboni, Sasa kwanini Temeke isitoe Manispaa mpya ya Mbagala ambayo inaweza kuchukua baadhi ya maneno ya Mkuranga kama vile Mwandege, Kisewe na Vikindu Mbagala imepanuka Kwa kasi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ulijifunza nini katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014/2019? Unatarajia nini katika uchaguzi wa 2024?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura? Kama ndiyo/hapana kwanini? JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala utakaohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, utakaofanyika kupitia XSpaces, leo Agosti 22, 2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…