serikali

  1. L

    JamiiForums Tanzania Amos Makala apokelewa Wilayani Karatu, afanya mazungumzo na Viongozi wa CCM na serikali kutoka Ngorongoro

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu. Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
  2. chinatown

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali yetu ibadili maisha ya wananchi wake

    Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake. Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali na Polisi mnahamasisha wananchi kujichukulia sheria mkononi, msipodhibiti watu wasiyojulikana gharama yake itakuwa kubwa mbeleni

    Wakuu salam, Tumeshuhudia na bado tunaendelea kuona matukio mbalimbali ambayo yanahusisha watu kutekwa huku wahanga wakubwa wakiwa ni wale ambao wanakosoa au kupinga mambo fulani kwenye mamlaka mbalimbali za serikali, wachache wanapatikana na wengine bado inaendelea kuwa kitendawili. Mbaya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mamlaka za kimataifa haziwezi kuishinikiza serikali ya Tanzania kuwaachilia mateka au kuwapeleka mahakamani

    Nauliza kuna uwezekano huo? Wanasheria akina madeleka, Mwabukusi, is that possible? mbona wana uwezo wa kukamata ndege? au kwa vie these are civil engagements?
  5. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Muda umefika serikali kuingilia kati kufanya maamuzi magumu kuliko kuiachia TFF pekee

    Kuna ulazima wa serikali kuingilia kati hata kushauriana na TFF hasa suala hili la mpira. Ilikuokoa timu ya taifa, mimi kwa mtazamo wangu tungeanza na kupunguza wachezaji wa kigeni angalau hata saba 7. Kukaa bench ni hatari sana kwa mchezaji yeyote yule, ingawaje hapa watu watakuja kusema...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Katimba: Serikali Itaendelea Kutenga Fedha ya Kukarabati Barabara Korofi Nchini

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: SERIKALI ITAENDELEA KUTENGA FEDHA YA KUKARABATI BARABARA KOROFI NCHINI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Zainab Katimba amesema Serikali itaendelea kutenga fedha ya ukarabati wa barabara korofi nchini zilizoathiriwa na Mvua za El - Nino...
  7. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kaliua ni kama ngorongoro. Mauaji ya binadamu yanatokea na Serikali ipo kimya

    Haya ndiyo yanaoendelea Kaliua serikali ipo kimya haya yanafanya na TFS,TAWA na vyombo vingine vya dola ikiwemo JWTZ je hii ni sawa, Waziri wa maliasili ajiuzuru? Waziri wa ulinzi ajiuzuru? Waziri wa mambo ya ndani ajiuzulu?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wa Venezuela, walaani Bunge lao kutoisimamia serikali na kuitetea, kama chanzo cha uchumi kudorora

    Wakihojiwa juu ya hali ngumu ya maisha wananchi hao wametupia lawama serikali lakini zaidi wabunge wao kua tatizo. Wananchi hao Kwa nyakati tofauti wameonesha kukerwa na kuzorota Kwa maisha huku biashara nyingi zikifa kibudu. Mwanamama mmoja katika mahojiano hayo akiongea Kwa uchungu amesema...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali yashindwa kuchukua hatua dhidi ya wakopeshaji wa Mtandaoni? Utafiti: mmoja Kati ya Watu 200 wanaodhalilishwa hujiua

    Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa. Ndugu yangu amefadhaika sana baada ya kampuni moja ya mtandaoni kumsambazia jumbe za kumdhalilisha. Kweli...
  10. amshapopo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

    Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma. Fanyeni mpango kuhakikisha...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Pauline Gekul ahoji uwiano wa adhabu kwa wafanyabiashara kwenye muswada wa marekebisho ya Sheria ya ushindani 2024

    Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika. Muswada huo...
  12. Selwa

    JamiiForums Tanzania Tenda za serikali Miyeyusho, Takukuru mnatakiwa kuchunguza

    Juzi katika kikao kimoja hoteli kubwa nchini nikakutana na mfanyabiashara mkubwa, nikamwambia mwanangu mbona hauongezi wigo wa biashara yako, akanijibu Tanzania haina biashara halali na ukafanikiwa. Doh nikastuka., tajiri akaendelea kuniambia Yeye ana duka kubwa ana mikataba na kampuni private...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

    Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kuikataa Starlink Waziri na Serikali kwa ujumla iliona mbali

    Kiukweli nianze kwa kusema atukuzwe Mungu wa Mbinguni kwa kutupa neema ya siku ya leo. Moja kwa moja nikienda kwenye hoja napenda kuweka hoja mezani kama kichwa cha habari kinavyosema. Kwa elimu yangu najua sasa tupo katika uchumi huru, unaotoa nafasi ya ushindani kati ya makapuni. Asilimia 99%...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

  16. U

    JamiiForums Tanzania Wastani wa gharama za kuhamisha Mtumishi mmoja wa serikali ni Mil 25

    Serikali inawezekana inatumia pesa nyingi sana kuhamisha viongozi na watumishi waandamizi wa serikali, Fedha hizo zingeweza kuelekezwa mahala pengine ikiwemo upatikanaji wa huduma za kijamii. Wastani kuhamisha Kiongozi/ mtumishi mmoja ni kuanzia mil 25 Hadi 40, lakini tofauti na nchi nyingine...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila anayeonyesha Pesa zake mitandaoni serikali imtake aonyeshe na kodi aliyotoa

    Kama mtu amepata ujasiri wa kuonyesha maburungutu ya pesa mitandaoni, huku aonyeshi chanzo halali cha pesa hizo serikali isikalie hilo jambo kimya. Angalau watakwe kufanyiwa tax clearance wapewe doc ya kujipata na pesa mitandaoni. Hiyo itathibitisha ni pesa halali na huyo mtu anafaa kutumikq...
  18. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mbunge Festo Sanga: Serikali isitishe Usajili Laini za Simu kiholela Mitaani

    Serikali ya Tanzania imezungumzia suala la utapeli mitandaoni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea kudhibiti usajili wa laini za simu kwa umakini mkubwa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Septemba 2, 2024 na Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Technology inavyofichua Siri za vikao vya ndani vya serikali na vyama vya siasa; ogopa miwani, kalamu na saa

    Nchi za ulimwengu wa tatu ikiwemo Tanzania zina kile kinachoitwa vikao vya ndani. Vikao hivi ujadili mambo mengi ya kimkakati ndani ya misingi ya sheria na nje misingi ya sheria. Lakini katika vikao vyote kwa sasa binadamu wamebadilika sana. Wapo wanaoamini katika haki na wapo wanaoogopa...
  20. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
Back
Top Bottom