serikali

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mwanzo nilijua ukiwa tajiri basi umejiepusha na kero ndogo za serikali kumbe tabu iko palepale

    Unaweza kusema labda kwa vile mtu umepambana umetajirika basi utakuwa mbali na kero za serikali kumbe tabu iko palepale Unakimbia kero ya kupanda mwendokasi kwa kununua magari binafsi lakini unakutana na kero ya barabara mbovu, mashimo na foleni Unakimbia kero ya kupanga unaamua kujenga nyumba...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ijue tofauti ya maandamano na kutembea!

    Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Serikali isitishe mishahara kwa watumishi waliorudi masomoni ni upotevu wa pesa tena wengine wanahama fani kabisa

    Kuna hii tabia ya watumishi walioajiriwa na serikali kukaa kwenye ajira kwa miaka kadhaa halafu wanaandika barua kwenda masomoni kujiendeleza au wengine wanabadili fani kabisa ,kama alikuwa mwalimu anabadili fani kwenda fani nyingine ambayo kwake ataona inamfaa. Sasa ubaya wa hili jambo ni pale...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali mnaibiwa kwa watu hawa wakishirikiana na maafisa Utumishi( wale waliodanganya wako masomoni na wale wa likizo bila malipo)

    Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na haja ya serikali kutumia nguvu kubwa kupambana na Chadema?

    Haya maandamano ya tar 23 yatayofanywa na Chadema yatakuwa na impact kubwa kiasi cha kuogofya serikali?.
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  7. Blender

    JamiiForums Tanzania Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu

    Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya Serikali Usiwekwe Mfumo Wa Kuwalipa Wazazi Posho Za Malezi Ya Mtoto/ Watoto Wao? Hapo Nachoka Kabisa. Au...
  8. blackberryz30

    JamiiForums Tanzania Hivi bado tuna sababu ya kuwa na serikali hii katika taifa hili.

    Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Kisiasa ndîo huomba Kibali Kwa Polisi. Maandamano ya wananchi hayaombagi Kibali Kwa Polisi au serikali. Boss haombi Kibali Kwa mtumishi.

    MAANDAMANO YA KISIASA NDÎO HUOMBA KIBALI KWA POLISI. MAANDAMANO YA WANANCHI HAYAOMBAGI KIBALI KWA POLISI AU SERIKALI. BOSS HAOMBI KIBALI KWA MTUMISHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maandamano ya Kesho kutwa tarehe 23/09/2024 siô maandamano ya wananchi isipokuwa maandamano ya Kisiasa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Jenista Mhagama: Serikali Kuendelea Kuboresha Huduma za Afya Ruvuma

    Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mhe. Jenista Mhagama ameuhakikishia umma wa wanaruvuma kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya itaendele na uboreshaji wa huduma za Afya ikiwemo upatikanji wa vifaa, vifaa tiba pamoja na dawa. Waziri Mhagama amesema hayo Septemba 20, 2024 baada ya...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Pande mbili: Yaani Serikali na CHADEMA, vitafakari Kwa makini, athari zitazotokea, iwapo maandamano hayo yaliyoandaliwa na CHADEMA yatafanyika

    Hadi sasa inaelekea Kuna mvutano mkubwa Kati ya serikali na CHADEMA, kuhusu maandamano ya amani, yaliyopangwa na CHADEMA tarehe 23 mwezi huu, kama serikali itakuwa haijatoa taarifa yoyote kuhusu kifo Cha kiongozi wao Ali Kibao na haitaeleza walipo viongozi wao wa vijana, akina Deusdedit Soka na...
  12. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Msakila Kabende:- NAWEZA kuwa msuluhishi kati ya Serikali, Vyama vya Siasa na taasisi za kimataifa?

    Watanzania; Salaàm! 1. Nilifuatilia hotuba za viongozi wa CHADEMA katika msiba na maombolezo ya Kibao kule Tanga - nikiona ipo changamoto kati ya taasisi hiyo na Serikali yetu pendwa; 2. Niliona taarifa ya Balozi za US, UK, Canada nk kuhusu malalamiko yanayohusu ustawi wa kijamii nchini; kisha...
  13. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

    Aiyekuwa meya wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai amesomewa mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uwongo kwenye mtandao wake wa X (zamani Twitter), ambayo ameyakana. Serikali imewasilisha maombi mawili, kwanza mahakama imuamuru aruhusu vifaa vyake vya kielektroniki pamoja na akaunti...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa vizuri tofauti kati ya uongozi wa Rais Magufuli na Rais Samia

    Wala sihitaji kuandika thread ndefu juu ya hili, kwa sababu linapaswa kuwa wazi sana kwa mtu yeyote mwenye akili. Kuna tofauti kubwa sana kati ya serikali ya Raisi Magufuli na serikali ya Raisi Samia iliyopo madarakani sasa. Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, alikuwa tayari kufanya lolote lile...
  15. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Natafuta conection ya kununua Magari mabovu either kutoka Serikalini au Mashirika mbalimbali.

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya kama hii kutoka Japan kweli ntaishia kulipia Kodi bandarini na mtaji wangu utaishia Kwa Mjapan pia...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mohamed Issa: Kwenye hili la utekaji sio serikali pekee ya kunyooshewa kidole hata hao wapinzani wanaweza kutekana

    Akizungumza na BBC mchambuzi wa mambo ya kisiasa ndugu Mohamed Issa amesema kuinyooshea Serikali pekee kwenye mambo ya kupotea na kutekwa kwa watu sio sawa kwani hata vyama vya upinzani huwa vinafanya hayo matukio kama matokeo ya kutofautiana wao kwa wao. My take Hivi inawezekana kweli kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itusaidie kupata AVN number wahitimu Diploma UDOM

    Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo kikuu cha dodoma tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi kuomba katika vyuo vingine licha ya kukosa dirisha la mkopo. Tunataka kuendelea na elimu ya juu lakini...
  18. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Ya harufu ya TREASON dhidi ya serikali isiyo ya samaki; ya wapuuzi wanaotaka kuishika serikali kwa kidole kimoja

    Unanisukuma nakuangalia ila ujue nikifika ukutani sitokuwa na sehemu ya kwenda. Umeshanifikisha ukutani kwa "ugobo wako" narudia tena kukurai niache bwana kwani mimi ni mtu mwema lakini bado husikii tu ,unanikwida shati na kutaka kuninin'giniza kwa kidole kimoja 😲😲 Hata huyo chawa tu havunjwi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zitto: Serikali ilipe mabilioni ya Makampuni yanayouza mbolea, yanaishia kula mitaji yao

    Kiongozi wa Chama Mstaafu, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuiwezesha Kampuni ya Taifa ya Mbolea (TFC) kwa mtaji ili kutatua tatizo la ucheleweshaji wa mbolea na uwepo wa mbolea isiyokuwa na ubora na kukabiliana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini. Pia, chama...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Kuwakosa Viongozi Wenye Hekima Ndani ya Vyama Vya Siasa, Kunaleta Hatari ya Kuwapata Viongozi Wasio na Hekima Kwenye Serikali.

    Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
Back
Top Bottom