serikali

  1. JamiiForums Tanzania Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

    Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia...
  2. JamiiForums Tanzania Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  3. JamiiForums Tanzania Starlink yawasilisha maombi ya leseni kwa TCRA. Je, safari hii watatoboa? Ushindani wa gharama na ubora wa internet utakuwaje?

    Bei zitapungua? Au wataambiwa waendane na bei za washindani zilizopo? Najua kwenye ubora jamaa atawapiga chenga, Meanwhile hivi ndivyo voda na wenzake walivyo sasa hivi ===== Baada ya muda mrefu wa Watanzania kuhoji kwanini Tanzania hatujaruhusu uwepo wa Internet ya Starlink kutoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Tutaendelea Kushirikiana na Sekta ya Afya

    WAZIRI MHAGAMA: TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA AFYA Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama Novemba 13, 2024 amekutana na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Afya Duniani (World Health Organization- WHO) Dkt. Charles Sagoe-Moses kwa mara ya kwanza kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais wa Zanzibar kumuapisha kadhi? Kwani serikali inasimamia ibada?

    Nimeona kwenye taarifa ya habari Rais wa Zanzibar anamuapisha kadhi mkuu wa Zanzibar kwani serikali inasimamia ibada za watu!?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Taasisi nyingi za serikali watumishi wake hawapokei simu za Ofisini utapiga mpaka uchoke

    Hivi karibuni serikali ya jamhuri ya muungano Wa Tanzania chini ya Rais Samia suluhu Hassan, karibu kila ofisini ya serikali kuna simu za Ofisi ambazo Mwananchi Akiwa na Jambo Akihitaji ufafanuzi basi hutakiwa kupiga simu nakupewa Majibu yatakayo saidia kutatua changamoto Yake. Matumizi ya simu...
  7. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigezo cha wagombea wa viongozi wa serikali ya mtaa kudhaminiwa na uongozi wa Chama chake Kwa ngazi ya kitongoji, ni ngumu Kwa vyama vichanga

    Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa sababu ni vichanga Bunge lilitungaje hii sheria kandamizi Kwa democrasia yetu Yaani Leo Chauma uikute...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Benson Kigaila: Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi anafanya kazi ya CCM

    "Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au pili; anafanya kazi ya CCM kwa makusudi kabisa." Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu Bara. Kupata...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mwana FA: Serikali Itasaidia Kutafuta Wadhamini Michuano ya Bahati Ndingo CUP

    Naibu Waziri Wa Sanaa Utamaduni na Michezo Mhe. Hamisi Mwinjuma (Mwana FA) amesema serikali kupitia Wizara yao itasaidia kutafuta wadhamini kwenye michuano ya Bahati Ndingo CUP 2024, iliyoanzishwa na Mbunge wa Jimbo la Mbarali, ili kuongeza zawadi Kwa washindi kwakuwa michezo ni ajira. Mhe...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali lazima itambue BAKWATA ni dhehebu moja tu miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu, wala BAKWATA haina haki wala sifa ya chombo cha Waislamu

    Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili... BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY, SHIA... Ndio maana hata namna yao ya kuendesha mambo yao na uteuzi wa watu wao kuanzia Mufti mpaka...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali iondoe kodi kwenye 'Peds' na 'Pampasi'

    Nashauri serikali iondowe kodi kwenye peds na pampasi na zigawiwe bure kwenye shule zote za serikali na binafsi,pia hata kwa wenye mahitaji maalum. Kwa mfano kuna kijana wa kiume jirani yangu anasoma shule ya msingi kila siku mama yake analazimika kununuwa pampasi Mana pasipo hivyo si mkojo...
  13. JamiiForums Tanzania Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko Ataja Jitihada za Serikali Kuboresha Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia magonjwa ya kuambukiza kusambaa kimataifa. Kupitia tathimini ya pamoja...
  15. JamiiForums Tanzania Netanyahu, kachanganyikiwa baada ya kuishindwa Serikali ya Iran, anawaomba raia wafanye mapinduzi Iran

    Wanaukumbi. Benjamin Netanyahu anajaribu kuwashawishi Wairani kufanya mapinduzi nchini Iran: ========================= 🚨🇮🇷🇮🇱 Benjamin Netyanahu is trying to convince the Iranians to stage a COUP in Iran: "The blow to Israel cost you $2.3 billion of your money..."...
  16. JamiiForums Tanzania Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira ya Elon Musk aliyopewa na Trump katika serikali yake je ni funzo katika nchi yetu kuwaajili akina Mo au Bakhresa ?

    Je tunajifunza nini hapa ktk serikali zetu kuajili matajiri ? Ikumbukwe matajiri wa nchi zetu wengi huwa ni indirect involves in political funding japo kuna means of blackmailing n.k na kuna mafungu wanatoa, mana kwa nchi kama zetu raia wa sisemu akiona Mo anasupport CHADEMA kesho humkuti...
  18. K

    JamiiForums Tanzania CCM wanataka kudanganya upinzani na serikali ya kitaifa

    Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi serikalini!. Habari za ndani ni kwamba wameanza kuongea na upinzani eti CCM na upinzani waunde...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kubenea: Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi. Vyama kuendelea kushiriki ni kuhalalisha uhuni, madhara yake yataonekana 2025

    Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…