serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapank

    LGE2024 Changamoto za uendeshaji wa zoezi la Uchaguzi nchini na hasara inayopatikana kwa taifa

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
  2. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Uongozi wa CCM Dodoma wafanya vikao mfululizo Kujiweka sawa Uchaguzi serikali za mitaa

    Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika uchaguzi wa serikali wa mitaa ambapo leo kikao kimefanyika cha Mabalozi kutoka Kata ya Makutupora...
  3. N

    Watu zaidi ya 10,000 kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na Uchaguzi Mkuu

    Zaidi ya watu elfu kumi waliokuwa wanategemea machimbo ya dhahabu katika eneo la Ifugandi, wilayani Nyang'wale mkoani Geita, wanadai kuathirika kutokana na zuio la shughuli zote za uchimbaji katika eneo hilo zuio hilo limesababisha maisha ya wengi kuwa magumu kwani wamekuwa wakitegemea uchimbaji...
  4. MwajabuOmary

    Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  5. J

    LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyanganyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  6. DogoWaNjombe

    LGE2024 Madiwani wasusia Baraza kisa matukio ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Mtwara

    Novemba 8, 2024, madiwani 10 wa vyama vya upinzani wa Halmashauri ya Mtwara wamesusia kikao cha Baraza la Madiwani. Hatua hiyo inatokana na kile wanachoeleza kuwa kutokubaliana na maamuzi ya msimamizi wa uchaguzi wa halmashauri hiyo, ambaye amewaengua baadhi ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti...
  7. MwajabuOmary

    LGE2024 Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na sarakasi zinazoendelea

    Nimekua nikifuatilia taarifa mbalimbali za uchaguzi wa Serikali za mitaa tangu uandikishwaji wa wapiga kura hadi kufikia sasa wakati wa wagombea kuteuliwa. 1. Wakati wa uandikishaji yalikuwepo malalamiko kutoka vyama vya upinzani kwamba kuna wanafunzi wa shule za secondary na msingi...
  8. S

    LGE2024 CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyiro cha serikali za Mitaa

    CHADEMA tumejikaanga wenyewe wagombea wetu kuenguliwa katika Kinyang’anyilo cha serikali za Mitaa Na Amosi Kagilwa, Kanda ya Pwani. Vilio na kwiki vimetawala leo kila kona ya nchi kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo( CHADEMA) na wagombea wao kwa Kuenguliwa katika...
  9. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    TAARIFA KWA UMMA Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali ikiwepo kukutana, kupigiana simu, kutumiana ujumbe na kwa kutumia makundi sogozi, kudhuru watu na...
  10. Yoda

    LGE2024 Wasio na ajira wanabaguliwa uongozi serikali za mitaa?

    Kuwa na ajira au kazi ni kigezo cha kuwa kiongozi wa serikali za mtaa? Pia soma - LGE2024 - Askofu Mwamakula: Mtaa wa Stop Over mgombea wa CHADEMA ameenguliwa kwa kuandika ni mjasiriamali, huku wa CCM akipitishwa kwa kuandika mfanyabiashara -- "Kibamba hapa Dar es Salaam wapo wagombea wetu (wa...
  11. Matulanya Mputa

    LGE2024 Ushauri wangu vyama vya siasa vya upinzani jiondoeni kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

    Sina mengi ya kuandika ushauri wangu vyama vya upinzani vinavyojielewa jiondoeni, hacheni kutoa kauli za safari hii hatukubari wakati mkitishwa tu na migambo mnakimbia ushauri wangu jiondoeni kwenye uchaguzi huu. Msipoteze muda na fedha kwajili ya huu uchaguzi jiondoeni kushiriki.
  12. The Watchman

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, Waandishi wa habari wekeni pembeni mapenzi yenu kwa vyama vya siasa

    Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini, unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, waandishi wa habari nchini wametakiwa kujiweka mbali na mapenzi ya chama chochote cha siasa ili waweze kufanya kazi bila kukutana na changamoto. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF)...
  13. Q

    LGE2024 Media za Tanzania wanafiki sana, zimekesha kuripoti uchaguzi wa Marekani lakini hazina habari na uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu hazina habari wala haziripoti uchaguzi ulio mitaani kwao. Huu ni unafiki wa hali ya juu. Mzee wa...
  14. Poppy Hatonn

    LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita

    Ndio maoni yangu. Uchaguzi huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita. Kama ahueni yoyote itatokea, labda itakuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Lakini mwaka huu unaweza kuleta matatizo. Kwanza wananchi wamekaribishwa kujiandikisha kupiga kura, wamekataa. Ina maana...
  15. Cute Wife

    LGE2024 Msimamizi wa Uchaguzi Karatu: Hakuna wagombea waliolazimishwa kujitoa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Karatu

    Mambo ni moto, mi nawasogezea tu taarifa karibu, muda wa kufanya maamuzi ukifika mnakuwa na taarifa zote muhimu. Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
  16. Yoda

    LGE2024 CHADEMA iachane na uchaguzi wa serikali za mitaa na kutangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi

    Sijawahi kuona umuhimu wa nafasi za wanyeviti wa wa serikali za mitaa katika mabadiliko au maendeleo ya nchi, kikubwa ninachokifahamu kama sehemu ya majukumu yao ni kugongea mihuri watu tu. Maamuzi yote muhimu huwa yanafanywa ngazi ya Halmashauri ya wilaya na kata. Katika huu uchaguzi...
  17. Samia atosha tukutane2030

    LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  18. J

    Bila Taarifa Sahihi hauwezi kufanya Maamuzi Sahihi ikiwemo Kumchagua Kiongozi Sahihi. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unakuja, unamjua Mgombea wako?

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, unaleta nafasi muhimu kwa wananchi kuchagua viongozi watakaoleta maendeleo katika ngazi za karibu zaidi na maisha yao ya kila siku. Uchaguzi huu unahusisha uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vitongoji, vijiji, na wajumbe ambao...
  19. J

    LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa: Matarajio, Uhalisia na Mapendekezo

    Zoezi la Uandikishaji Wananchi watakaoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 limekamilika ambapo kwa mujibu wa TAMISEMI, takriban Watu Milioni 32.9 (94%) wamejiandikisha Kwako Mdau, una mtazamo gani kuhusu zoezi hilo lilivyoendeshwa ikiwa ni takriban mwezi mmoja umesalia...
  20. PendoLyimo

    LGE2024 Freeman Mbowe: Pambaneni hakikisheni hakuna kura inaibiwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro source https://x.com/MwanzoTvPlus/status/1851859898469863604
Back
Top Bottom