Nimewaza sana Jana na Leo, kuhusu mwenendo wa maisha yangu. Jinsi ninavyo lala na wanawake tofauti tofauti.
Mimi Miongoni mwa watu ambao wamepitia changamoto nyingi tokea utotoni. Pamoja na kupitia changamoto zote hizo namshukuru MUNGU Kwa jinsi nilivyo, ameniumba kijana...