sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wenye kumbukumbu yule jamaa anapendaga sana kupiga ama kudaka watu Jumamosi/Jumapili

    Mwamba wa dunia naambiwa yuko middleeast hukooo kumbukumbu zangu jamaa anapenda sana kudaka ama.kupiga wenzie Ijumaa Jmosi Jpili Ijumaa imepita jmosi ndio hii Yetu machoooo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi kufungua biashara ndani ya biashara kunaua biashara nyingi sana, kijana anadai mshahara kila mwezi kumbe anakuibia mamilioni

    Siku hizi baadhi ya wasaidizi hawaji kazini kutafuta mshahara, wanakuja kujifunza mfumo then wanafungua biashara yao ndani ya biashara yako. Unafungua baa kubwa, unaajiri manager unamlipa vizuri kabisa. Kumbe na yeye ana stock zake pembeni. Wateja wakija wanauziwa vinywaji vyake, stock yako...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar mna kazi sana mtafika mmechoka

    Hapo ni nyie ndo mnapajua yani ni heka heka kila siku 😂 hiyo yote kuwavuta kwenye chambo, Kuna mwingine ana mafuta ya nazi yani ni balaa😂 jua kwenu ni Kali sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna mstari mwembamba sana kati ya Serikali na Chama tawala, hiyo inachangia changamoto nyingi za Kidemokrasia Tanzania

    Katika mifumo ya kidemokrasia Duniani, moja ya nguzo kuu za uchaguzi huru na wa haki ni kutenganishwa kwa Serikali kama taasisi ya umma na vyama vya siasa kama washindani wa uchaguzi. Hata hivyo, katika baadhi ya nchi zinazoendesha mfumo wa vyama vingi baada ya historia ndefu ya chama kimoja...
  5. JamiiForums Tanzania Wadada wa JF, tumewamiss, rudini jukwaani, mmepotea sana

    Huu ukimya hadi una unakera na kutupa wasi wasi
  6. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza kwa nini visa vingi vya aliens tunavipata kwa nchi za wazungu sana ila huku africa recently sijawahi kuona watu wanasema wameona UFOs.

  7. JamiiForums Tanzania Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na oil reserve kubwa Samia angeshanyakuliwa mapema sana na US kwa Ukatili.

    GT Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa. Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
  9. JamiiForums Tanzania Putin huwa anawakaribisha vizuri sana wajumbe wa Trump kuliko wa Ulaya

    The United States has been holding parallel discussions with Moscow, Kyiv and European leaders, reviewing multiple draft frameworks aimed at ending the war. Despite repeated assurances from Trump that an agreement was within reach, a final dea
  10. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza Mfumo wa Kusimamia stock, mauzo, manunuzi na kutunza ripoti zote za kifedha kwa bei nafuu sana

    Habari wanaJF, Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biashara👇 Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchi—unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi biashara yako inaendeshwa kwa bahati, sio kwa taarifa. Kuna ukweli mchungu ambao wafanyabiashara wengi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mkoa unaoongoza kwa watu wenye miili mikubwa upo nyuma sana kwenye maendeleo

    Mkoa ulikuwa na Airport ikafa Mkoa ulikuwa na Bandari haipo tena Mkoa ulikuwa na shule nzuri lakini zimebaki stori Mkoa ulikuwa na Viwanda vingi vya nguo, samaki, n.k. vimekufa Ni mkoa ambao hauna hata stendi Mkoa hauna chuo, tunasikiaga tu kipo kinachojengwa miaka mingi sasa Lawama hawawezi...
  12. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu

    Ni sehemu gani watu wanapasifia sana ila ulivyofika ukaona ni pa kawaida tu
  13. JamiiForums Tanzania Aida Kenani: CHADEMA inaonewa sana, kama haumuitaki ifuteni tu

    Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aida Kenan asema kama vya vyama vya upinzani havitakiwi nchini ni bora kuvifuta vyote ili watu wasiendelee kuuawa na kuumizwa na kibaki chama tawala tu.
  14. JamiiForums Tanzania Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔

    Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔
  15. JamiiForums Tanzania Mbona vipepeo wameadimika sana siku hizi? nitumie njia gani kuwavutia au kuwafugia shambani?

    Wakuu, Naomba wataalamu msisaidie,siku hizi imekuwa adimu sana kuwaona vipepeo kirahisi tofauti na hapo zamani. Nataka niwavutie vipepeo shambani au kama kuna uwezekano wa kununua mbegu mahali nikawafuga ili kuongeza idadi yao, Je kuna mahali naweza kupata ili niwafuge au nitumie njia gani...
  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: nampongeza sana kidume aliofanya hiv, unapokuwa unamhudumia mtu mzima mwenye mikono 2 hadi kod kumlipia alafu akutii then kwa nini ung'ang'anie

    Hii kama sio video ya kiki basi ni murua kabisa💯
  17. JamiiForums Tanzania Kwa ubaguzi huu bila Senegal kufanya hivi sisi Wafrika, Sisi Weusi tungepata shida sana. Wametuheshimisha.

    Hawa Morocco huwa wao wapo Kimakosa Afrika. Wanadharau sana na kutuona sisi ndugu zao si wa maana. Jana waliumia sana. Senegal kwa kweli Mungu wetu amewasimamia vyema kabisa. Ile dharau ambayo tungeipata sisi? Mungu tu ndo anajua. Najua sisi Waarabu wa Mchambawimba, Makunduuchi hatujapendezwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kumbe kwa wagogo kila kitu/jambo kina Mungu wake! Kweli hii Afrika bado sana

    Mimi sishabikii ukabila lakini hili la wagogo wa Dodoma limenishangaza. Eti Chatu ni nyoka wa mvua na haupaswi kumuua hata kukimkuta ndani mwako. Kenge, ni kiumbe wa mavuno na ukimuua basi wagogo watakuala sahani moja nawewe. Pimbi, ni kiumbe wa mitishamba hivyo kuharibu kumfhuru ni kutaka...
  19. JamiiForums Tanzania Ile Power Breakfast ya Akina Babra Hassan na Masoud ilikuwa ya moto sana

    Basi ikifika segimenti ya Bonge utasikia ka Brabra Boonji...then wanataniana hapo aah uendaji kazini unakuwa muruua kabisa hata foleni huioni!!! Gone are the good days!
  20. JamiiForums Tanzania Kemebos Sec.School aliyefeli sana ana Division One ya 7

    Nimepata muda wa kuperuse matokeo ya form 2 NECTA latest results, nimeona watoto wote wa Kemebos wakiwa na Division 1 Point 7. Daaah niwape hongera kubwa waalimu wa hii shule kama hakuna janja janja kwenye ufanyaji wa mitihani. Hata matokeo ya form 4 mtoto aliyefeli sana alipata Division One ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…