sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana kwa askari kunyang'anywa silaha yake

    Nilipitia mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria kwa mwaka mmoja miaka hiyo. Baada ya kumaliza ukuruta (pass out) tulipatiwa uwezo wa kulinda vituo mbalimbali kwa kutumia silaha za moto. Onyo kali tulilopewa ni kuhusu ubaya wa askari kunyang'anywa au kupoteza silaha yake, kofia, buti au chochote...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali irahisishe ulipaji wa kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa luku kama kodi ya Jengo

    Habari wadau. Ningependa serikali irahisishe ulipaji wa Kodi ya ardhi ilipwe kwa mfumo wa Luku Kama Kodi ya Jengo. urahisiha Kodi kukusanywa kwa wakati. Kuutua mzigo wa Kodi kwa wananchi wa kulipa Kodi ya ardhi kidogo kidogo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Medard Kalemani anadharaulika sana kuliko Mawaziri wote

    Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote, Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini? Alianza na suala la Wananchi Vijijini waunganishiwe umeme haraka TANESCO wakampuuza, Kafuata suala la...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

    Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie? kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Majaji hawaruhusiwi kujichanganya sana?

    Kwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
  6. JamiiForums Tanzania Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

  7. JamiiForums Tanzania Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  8. JamiiForums Tanzania Kuchumbia kunanipa changamoto sana kwa wakati huu

    Habari wakuu.. Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

    Mzuka wanajamvi! Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market. Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic. Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8. na utitiri wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada, nawezaje kuwapata UDOM? nateseka sana

    Mkuu nahitaji kufanyiwa marekebisho katika Application ya chuo , Hapo udom Napiga Simu zenu hazipokelewi. Email hazijibiwi. Katika kuomba chuo nilikosea kuweka namba yangu ya First sitting, ambayo ndo nimeitumia kuomba mkopo . Namba nilioweka ni ya second sitting MSAADA WENU WAKUU MKUU
  12. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wana uelewa

    1. Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wanauelewa nalo wa hali ya juu 2. Mkanganyiko juu ya chanjo ni muhimu serkali ikatumia busara na kuacha mihemko, Bishop Gwajima na watu wengi pia wana mawazo mchanganyiko juu cha chanjo kwahiyo askofu asionekane ni...
  13. JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  14. JamiiForums Tanzania Mawakili wa CHADEMA kama wangekuwa sio wa kujitolea, wangekuwa tayari wamefukuzwa kazi mapema sana.

    Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana. Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa. Lema...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

    Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?. Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia. Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora. GSM yupo kufanya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle tumekukumbuka sana katika kipindi cha dakika 45 ya Jumatatu tarehe 30.8.2021

    Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho. Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  20. JamiiForums Tanzania Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

    Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa. Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…