sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Majaji hawaruhusiwi kujichanganya sana?

    Kwa anaefahamu atujuze, hivi ni kwanini majaji wa mahakama hapa Tanzania hawaruhisiwi kujichanganya sana? Maana huwezi kuskia Majaji wanahudhuria sherehe, Misiba nk!?
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Picha hii ni somo kubwa kuwa maisha ni safari ndefu sana inayoandikwa ikifika ukomo

  3. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Confirmed: Jezi mpya za Simba SC msimu wa 2021/2022

  4. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Kuchumbia kunanipa changamoto sana kwa wakati huu

    Habari wakuu.. Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mercedes benz yamjibu Tesla vibaya sana

    Mzuka wanajamvi! Mjerumani kaamua kutoa kifaa kipya cha umeme EQS electric car ambayo ni tishio kwa Tesla. Inaaminika is the most luxurious electric car in the market. Gari hili linalotumia umeme tu liko aina mbili EQS 450+ Na EQS 580 4matic. Imeshaingia sokoni toka mwezi wa 8. na utitiri wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Msaada, nawezaje kuwapata UDOM? nateseka sana

    Mkuu nahitaji kufanyiwa marekebisho katika Application ya chuo , Hapo udom Napiga Simu zenu hazipokelewi. Email hazijibiwi. Katika kuomba chuo nilikosea kuweka namba yangu ya First sitting, ambayo ndo nimeitumia kuomba mkopo . Namba nilioweka ni ya second sitting MSAADA WENU WAKUU MKUU
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wana uelewa

    1. Serikali ya CCM tambueni kabisa kuwa kila jambo mnalofanya wananchi kwa sasa wanauelewa nalo wa hali ya juu 2. Mkanganyiko juu ya chanjo ni muhimu serkali ikatumia busara na kuacha mihemko, Bishop Gwajima na watu wengi pia wana mawazo mchanganyiko juu cha chanjo kwahiyo askofu asionekane ni...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa CHADEMA kama wangekuwa sio wa kujitolea, wangekuwa tayari wamefukuzwa kazi mapema sana.

    Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana. Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa. Lema...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Gwajima, kwa hoja umeishinda kamati ila kwa nguvu wamekushinda

    Hii kamati ilikuwa ya kipuuzi na imenisikitisha. Yaani wamepigwa KO nzuri tu. Hamna lolote ambalo wamelitamka kisomi,kisheria ,kisayansi kuwa ndiyo kosa la Gwajima. HAMNA NI BLAH BLAH tu na kumpa Sifa za Kipuuzi Gwajima. Nlitegemea hapa ndipo ambapo wangemwangusha vibaya Bwana Gwajima (huwa...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

    Kwa fedha alivyoipAtA GSM, YAnga tunashindwaje kusajili wachezaji wa maana?. Huku Simba ikichukua wachezaji wenye record kubwa. Yanga tumewekeza kwenye propaganda hakuna uhalisia. Aliyeisaidia yangA kwa Hali na Mali alikuwa mAnji tu. Alisajili na kuifanya timu kuwa Bora. GSM yupo kufanya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle tumekukumbuka sana katika kipindi cha dakika 45 ya Jumatatu tarehe 30.8.2021

    Kwa kawaida kipindi hiki kinasimamiwa na Ndugu Farhia Middle kila siku ya Jumatatu kujadili/kumuuliza maswali mwalika katika kipindi hicho. Mwalikwa wa leo alikuwa ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Kipindi cha leo kimekuwa very boring na hakina ladha. Msimamizi wa leo hana mbinu kabisa...
  14. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa Rais Samia kumpumzisha IGP Sirro

    Kwa tabia, mwenendo na utiifu alio nao Kamanda IGP Sirro kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais wa JMT Mama yetu mpendwa Mama Samia, inabidi ampumzishe huyu Kamanda na aweke mtu mwingine atakaye msaidia. Tangu Rais Samia ashike madaraka inaonekana IGP Sirro hatii kabisa maelekezo ya Rais...
  15. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  16. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

    Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa. Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha...
  17. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi wanalichukulia poa sana Neno ugaidi.. kwa akili yao finyu hawajui km wanaichafua nchi!

    Hivi karibuni jeshi la polisi nchini Tanzania limekuwa na mazoea ya kutumia neno Gaidi na Ugaidi katika nchi yetu inayosemekana kuwa ni kisiwa cha amani! Kwa matukio ya hivi karibuni hususani lile la mbowe la kupewa kesi ya ugaidi na hili la ndugu hamza ambalo IGP Siro amesubutu kumuita Gaidi...
  18. Ze Bulldozer

    JamiiForums Tanzania TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

    NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  20. Mapank

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Alibaba una magari ya bei nafuu sana, Sijajua ushuru wake kuyaingiza nchini

    Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
Back
Top Bottom