sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  2. JamiiForums Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  3. JamiiForums Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  4. JamiiForums Kama nidhamu ya uoga inasaidia mambo yaende vizuri, inafaa sana

    HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity. Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa. Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu...
  5. JamiiForums Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  6. JamiiForums Hawanipendi kisa najua sana mambo ya Kimataifa

    Siandiki kishabiki napima na sikurupuki, PM zimeanza Kujaa kwa kifupi Urusi Nina Mke , Yaan mama yenu ni Mrusi Irina KOMOVA na mpaka jana ndo nimelazimika kumtoa huko ili hali inayoendelea ya ugumu wa maisha, Nimezitembea nchi Zote hizo na nimekaa uzuri nimekaa Urusi Saratov Miaka 3 na Rostov...
  7. F

    JamiiForums Ally Hapi: Kinana ni mtu mwenye uwezo mkubwa, uteuzi wake ni sahihi

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi amesema kuwa Abdulrahman Kinana ambaye jina lake limependelezwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kuwataka kuachana na mambo ya nyuma. Kauli yake hii inakuja kutokanana na swali aliloulizwa na wanahabari nje ya ya...
  8. JamiiForums Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  9. T

    JamiiForums Serikali yoyote inayokopa sana inaongeza ugumu wa maisha kwa wananchi wake na mfumuko wa bei

    Leo napenda kuongelea madhara ya serikali kukopa sana ndani na nje ya nchi. Deni nikitu kizuri ila pia deni laweza kuwa chungu pindi unacho zalisha na kile unatakiwa kulipa vina zidiana. Unaweza chukua mfano wa mtu tu anapo kopa let say 100m na anatakiwa rudisha kila mwezi 3m ila anazalisha...
  10. T

    JamiiForums Britanicca wa JF ni nani? Kwanini leo baada ya mzee Kinana kupitishwa nyuzi zake za nyuma zinafunguliwa sana?

    Sio siri mtu huyu Britanicca ni watu ninaowakubali sana hapa JF. Ni mtu mwenye uwezo wa ajabu sana wa kufikisha taarifa kwa ufupi na akaeleweka lakini zaidi ni mtu anayejua vitu vingi sana kwenye nchi hii na zaidi ya yote ninapenda mtindo wako wa kujifanya kuuliza jambo huku akiwa analijua...
  11. JamiiForums Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  12. M

    JamiiForums Vita ya kiuchumi kati ya Urusi na Mataifa ya Magharibi imefikia Patamu sana

    Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi. Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha kichwa na kumdanganya kuwa aigomee Urusi kuhusu kuruhusu majimbo ya mawili yaliyoko mashariki mwa...
  13. S

    JamiiForums CHADEMA mnatakiwa sana kujifunza na kukubali kuwa kukosoana, kuvumiliana ndo sehemu ya demokrasia

    Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo: I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
  14. JamiiForums Ukweli ulio mchungu: Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha kati ya utajiri wa mali na neno 'ubinafsi'

    Wanabodi heshima kwenu. Naomba nijielekeze moja kwa moja kwenye mada. Kwanza kabisa niwashukuru sana wadau wote waliochangia kwenye uzi wangu huu uliopita, ukipenda unaweza kusoma hapa. Baada ya kusoma comments zote za wadau kwenye uzi huu na kufanya tafakuri ya kina, nimebaini na kujifunza...
  15. JamiiForums Ninatafuta rafiki wa kike Dodoma. Nimekuwa mpweke sana

    Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
  16. K

    JamiiForums Hongera sana Bondia Twaha Kiduku

    Jana usiku nilishuhudia pambano baina ya Twaha Kiduku na Bondia kutoka DRC Congo. Kwa kweli Twaha alipambana kiume na akaweza kumshinda kwa alama(points). Kwa Tanzania ya sasa hakuna bondia anayeweza kupambana na Twaha na kuweza kumshinda. Tunaiomba Serikali yetu sikivu bondia kama Twaha...
  17. S

    JamiiForums Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

    Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri. Hii aiathiri kweli nguvu zao zakiume?
  18. JamiiForums Manaosubiri NATO kuingiza majeshi Ukraine katika mgogoro huu mtasubiri sana.

    Kwanza kabisa tukubali kuwa Urusi ni mwamba. Pia tukubali kuwa ni kweli hii ni operation maalumu kama Wanavyoiita wao Urusi. Ni kweli lengo la Urusi ni kuiodhiofisha kijeshi Ukraine na ni kweli Sasa Ukraine imedhoofika kabisa kijeshi kwa sababu kambi zake zote muhimu zimeharibiwa na miundimbinu...
  19. JamiiForums Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
  20. JamiiForums Kwa mambo kama haya Dada zangu mnajiharibia sana kisha baadaye mnatulaumu

    Huyu dada ni rafiki yangu kiasi flani maana tuliwahi kuwa karibu kipindi cha nyuma. Nmekuja kutana naye this time ana watoto watatu wana baba tofauti. Na hawa baba zao wote wamemwachia yeye watoto. So anahangaika nao sana. Nilipokutana naye tukaongea nilimwonea huruma sana.nikawaza how to help...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…