sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Hussein J Mahenga

    JamiiForums Tanzania Wadau, msaada: Natumia PC Dell Vostro yenye sifa zifuatazo, ila inachemka sana

    Wadau, Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
  2. bahati93

    JamiiForums Tanzania Watanikumbuka sana kwa upendo mkumbwa niliowaonyesha

    WATANIKUMBUKA SANA Hivi nipo njiani narudi zangu jijini Dar es Salaam natoka mjini Mwanza ambako nimekaa kwa kipindi cha mwezi mzima Hotelini. Mwanza nilikuwa kikazi na katika kipindi chote hicho niliunda mazoea kwa Joana na Joel. Hawa ndugu zangu wawili nilikuwa nakutana nao kila nilipokuwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi yule Sabaya tuliyeambiwa majuzi kuwa anaumwa sana anatakiwa kufanyiwa Oparesheni ndiyo wa jana aliyekuwa na Furaha vile?

    Endeleeni tu kutufanya Mangumbaru ( Wajinga ) na Wapumbavu ( Mapopoma ) kwa kila mara kutufanyia Maigizo yenu wakati tunajua kuwa mnataka kumuachia ila kwakuwa mmeshajua kuwa ana Hoja nzito, mlimuonea hivyo sasa mnatafuta Mazingira ya Kumuachia ili yaishe na msionekane kama mlikuwa mnamkomoa tu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Siasa ni mchezo mchafu sana, waachwe wanaoujua Waucheze

    Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :- 1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Hii, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote! Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kuwa Rais yeyote ukimuondoa Nyerere

    Wanabodi, Nchi hubarikiwa kwa viongozi wake kufanya mambo mema. Kwa kauli hii, ya jana ya Rais Samia alioitoa Bukoba, kwa kutoa msamaha wa jumla wa deni la kodi, za nyuma, Rais Samia atabarikiwa sana kuliko Rais mwingine yeyote!. Huu ni wema mkubwa kabisa kuwahi kufanywa na Rais yeyote...
  6. Rabonn

    JamiiForums Tanzania Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  7. Poker

    JamiiForums Tanzania Yanga wanapendelewa sana! Ni uonevu kwa Simba

    Huu ni mgawanyo wa hela kwanzia namba 1 hadi wa 16 ukiangalia vizuri yanga anapata 600m wakati wa mwisho anapata 10m na wapili anapata 300m je haki iko wapi kwa bingwa kupewa hela mingi hivoo? Mi naona mgawanyo ungekua sawa ili ligi iwe na ushindani zaidi
  8. Tango73

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ni mzuri sana, bado tuna nafasi ya kushinda mechi zijazo

    Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika. Kama...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

    Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe. 1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji. 2...
  10. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Ethiopia 2 Vs Egypt 0; Tanzania tuna safari ndefu sana kwenye soka

    Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt. Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania? Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Siasa na Sarakasi za Jiji la Dar es Salaam zina raha na Hadhi yake. Tunawamiss sana Kandoro, Makonda na Yusuph Makamba

    Kwa kweli Jiji la Dar es Salaam ni jiji kubwa na maarufu sana Duniani, lina hadhi ya kipekee, siasa za kipekee, burudani na sarakasi za kipekee hasa kutoka kwa wakazi na Viongozi wa jiji hilo pamoja na Burudani zilizopo. Kuna Muda una hitajika Ubabe, Kuna muda zinahitajika ucheshi . Kuna muda...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo, sitegemei pongezi, makofi au kugongwa meza kwa kiongozi yeyote yule. Watanzania tumechezewa sana

    Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha...
  13. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Nampenda Sana Gigy money

    Gigy kipenzi nicheki kwenye email stefanokiva@gmail.com I need to meet you in private Nicheki in private my email is stefanokiva@gmail.com Just send me contact
  14. Shy land

    JamiiForums Tanzania Masai dada popote ulipo nakutafuta sana SHY LAND

    Ukiona thread hii au mtu wa karibu naye anisaidie sana. Asante.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Naibu Katibu wa chama cha soka Burundi, nimeumia sana kuhusu Tanzania yangu

    Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo. Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
  16. Area 56

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

    Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia. Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi ya Burundi inapenda sana 'Kujibebisha' kwa Tanzania tofauti na Rwanda inayopambana yenyewe Kimafanikio?

    Kwa mfano Burundi ina Uwanja wake wa Mpira tena mzuri tu kilichowafanya waihamishe hiyo Mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2023 Ivory Coast kutoka Bujumbura Kwao kuja Kwetu Tanzania ni nini? Na ni kwanini kila Kitu Burundi ( hasa Serikali yao ) ikifanya au ikiamua tu ni lazima ama Waiige Tanzania au...
  18. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Wimbo huu nautafuta sana, unaitwaje?

    Anaejua jina lake na msanii aliyeimba aniambie unaitwaje?! Maana nimehangaika sana bila mafanikio
  19. N

    JamiiForums Tanzania FUNUNU: CAF kujibiwa leo mchana na RAIS mtarajiwa ,walimtibua sana jana

    Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika mashariki itaanzia round ya awali yaani preliminary round Lawama zote zikaenda kwa msemaji msomi au...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Boda boda ni wambea sana

    Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
Back
Top Bottom