sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mliokulia kijijini poleni sana, mnakula vyakula duni sana

    Ni kudra za mwenyezi Mungu tu kuwa bado mnaishi. Niko kijiji fulani sitataja mkoa. Niko na wenyeji wangu. Asubuhi uji hauna sukari, mchana tumekula michembe. Usiku udaga na dagaa kama saba hivi kwenye bakuli. Maisha haya magumu sana kijijini. Tuwaombee
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano yanatutesa sana wanaume: Najitahidi nitulie nafsi inakataa

    Mahusiano yana mengi kwenye nafsi za wanaume wengi. Najitahidi nitulie nafsi inakataa, inamtaka huyu mrembo. Ndugu zanguni, najua si Mimi tu ninaesumbuliwa na mahusiano ya mwanamke mmoja wa miaka 28. Huyu mrembo hajaolewa bado. Anapenda pesa Sana, kila siku lazima nimpatie 30k uwezo wangu...
  3. JamiiForums Tanzania Nabi afukuzwe haraka Sana

    Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga. Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu. Tuna kundi la wachezaji tu Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

    Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake watangaze kujihudhuru huku wakimlikwa na vyombo vya habari na kuelezea kila kimewasibu! Kwa Africa na Tanzania, hiyo ni dhambi kubwa na adhabu yake yaweza kuwa ni kuuwawa Kwa amri ya viongozi wa juu! Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania...
  5. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Mtoto wa Masikini anapokosa Mkopo wa Elimu ya Juu

    Nimefuatilia kwa ukaribu sana hili suara la board ya Mikopo. Ni kama serikali imeendelea kulifumbia macho, yaani haioni kitu kabisa. Bungeni nako wameamua wanafunzi wapokelewe vyuoni bila kuwa na mikopo. Hapa ni danganya toto, vyuo vitajiendeshaje ? Wanafunzi wataishije huko vyuoni? Serikali...
  6. JamiiForums Tanzania Rial ya Iran yapoteza sana kwa dollar, haijawahi kushuka kiasi hiki

    Iran inapitia hali ngumu sana, Iran's currency dropped to its lowest value against the dollar on Tuesday, after weeks of nationwide unrest roiling the country. A stalemate in negotiations to revive Tehran's nuclear deal with world powers has also weighed heavily on the rial. Traders in Tehran...
  7. JamiiForums Tanzania Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  9. JamiiForums Tanzania INSYUKA ni movie bora sana kuwahi kuigizwa na wasanii wa Tanzania haina mpinzani

    Hi movie ilitakiwa ipewe heshima yake katika ulimwengu wa sanaa kwa namna bora ya uigizaji na namna ilivyoweza kuleta muamko mkubwa ndani na nje ya tasnia ya bongo movies. Nadhani hio ndio ilikuwa turning point ya bongo movies. Sidhani kama itakuja kuwa na mpinzani labda kwa baadae sana. Kudos...
  10. JamiiForums Tanzania Hii tafsiri mbaya sana kwa kiongozi wa nchi

    Hali ngumu Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki Maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa Maduka yake kufanya Biashara Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni Miezi 12 ya kujaribu kuuza Maduka yake kwenye Nchi za Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji...
  11. JamiiForums Tanzania Kutegemea maji ya surface (mito, maziwa na mabwawa) kwa matumizi ya kila siku ni hatari sana

    Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika. Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...
  12. JamiiForums Tanzania Nina tatizo na mwanamke huyu, yaani kama anaingia humu ajue anajisumbua sana

    Wana izengo kama somo hapo juu linajieleza. watu wengine tunakutana na majanga na mitego. Ipo hivi, nilikutanana mwanamama huyu sehemu moja ya kutafutia riziki, ni mfanyakazi kama mie. Ni ofisi yenye pesa na Alhamdullillah tunapata pesa na tuna kila usafiri kila mmoja, tena wa maana. Bahat...
  13. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge Dkt. Tulia amenishangaza sana leo!

    Leo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Msalato Dodoma akisema eti amesikia kwenye mitandao ya kijamii kwamba rais Samia anaenda China. Hivi kweli spika mzima unasema umesikia kwenye mitandao ya kijamii kweli! Spika anaongoza muhimili muhimu Sana wa kuhoji safari za rais lakini ndio huyo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Songwe kuna shida kubwa sana

    Nimeoona bandiko moja la askofu kwamba kuna kijana mmoja fundi bodaboda ametekwa na polisi nikashtuka sana na nikajiuliza maswali mengi sana. Mkuu wa wilaya Mkurugenzi katibu tawala wilaya wote wapo. wawakilishi wa raisi wapo bado watu wanatekwa? Raisi fukuza mkuuu wa wilaya na mkurugenzi...
  15. JamiiForums Tanzania Huduma ya chakula Gronecy Kasulu mnafeli sana.

    Wale watu wa vyombo na Live band kwa mji wa Kasulu basi Gronecy ni fire. Ila kwenye chakula hamna kitu majanga order zinachelewa unaagiza chakula unapata ndani ya masaa mawili mpaka matatu. Kama una njaa na unategemea ule vyombo utapata madonda ya tumbo. Jirekebisheni Restaurant kubwa kama...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

    Yani nikipanda gari, mara nyingi wasambaa ndo wanapenda kuongea , utasikia nzeze nzeze, shiingi ngahi, kwani lazima kuongea kilugha mkiwa mjini? Kwanini msiongee Kiswahili
  17. JamiiForums Tanzania Lema: ACT Wazalendo hawakujenga ofisi. Wamechukua iliyokuwa ya CUF. Hii ni mpya hii ofisi ya Act imewauma sana Chadema

    Sikiliza
  18. JamiiForums Tanzania Marekani ni nchi moja ya raha sana. Wakiishiwa pesa wanachapisha tu

    Ukisikia nchi ni superpower usichukulie jambo dogo. Kuna faida nyingi sana. Mfano Marekani wakiishiwa pesa wanachapisha tu na kununua vitu kokote. Wanasafiri kutalii nk. Anachofanya ni kuhakikisha anaendelea kuwa superpower na kumdunda yoyote anayeleta fyokofyoko. Ukiwa raia wa nchi kama hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania My first date in Dubai, soma hapa inasikitisha sana

    Dah! Leo nimekumbuka mbali sana aisee. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita nikiwa na yule msichana niliyempenda kuliko KITIMOTO ROSTI NA NDIZI MBILI (Pilipili usiweke), tulienda first date pale Dubai. Mida ya saa 5 asbh hivi tukakwea pipa Emirates hadi huko Dubai na kufika kama saa 12 jioni...
  20. JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na siasa kwenye mpira Yanga na Simba

    Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki? Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…