Nimehamia mjini so Sina nyumba ya kuishi so kukodi ni lazima nimmeleta na maza ili asiboreke kijijini nyumba ni self tu nzuri ya kawaida so Kuna zenye room mbili yenye kila kitu wanaishi wenye familia kubwa .
Sokuna huyo dad's kaolewa juzi kapata familia yake meaning kajifungua huyo dada...