sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maisha ya jamii ya JamiiForums yako poa sana kuliko jamii ya Twitter, Facebook na Insta

    JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni. Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
  2. JamiiForums Tanzania Mziki wa CHADEMA bado ni mzito sana kwa CCM

    Hiki chama hakijawahi kuwa na shughuli ndogo kwenye chaguzi. Huwa wanaupiga mwingi sana. Na ukweli tu wananchi wengi bado tuna tumaini na hiki chama kama chama pekee cha upinzani Tanzania. Mwaka 2020 Magufuli na umwamba wake wote alipelekewa moto mkali sana na Tundu Lissu. Sasa kama Magufuli...
  3. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana, sijui wenzangu mna maoni gani

  4. JamiiForums Tanzania Nilikuwa naangalia hapa ndo nimegundua Aiseee... Watu Wabaya wanapukutika sana

    Mnaukumbuka ule wimbo uliwahi pigwa marufuku miaka yetu ile? " Wanawake wazuri wazuri wameolewa, yamebaki manungayembe yanahangaika" " WaTu wema wema wamebaki wanaishi ,wamekufa watu wabaya wamezikwa" Leo nikisikia mtu amekufa nasema "Daaah.... Alikuwa mtu mbaya huyo" kwa mujibu wa Injili ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Ukiona mchumba wako anaumwa sana wakati wa hedhi basi ujue-katumika sana, katumia sana Vidonge vya kuzuia mimba ama amechoropoa sana

    Kibayolojia kuna sababu zifuatazo zinazosababisha maumivu wakati wa hedhi: 1. Endometriosis. 2. Uterine fibroids. 3. Adenomyosis. 4. Pelvic inflammatory disease. 5. Cervical stenosis. (Kajisomee mwenyewe hukunilipia ada) Katika sababu zote hizo ni moja tu (no.5) ndiyo huwezi kumlaumu mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia usidanganywe kuwa unakubalika sana na 2025 utashinda kirahisi kama Mzee Makamba anaepalilia ugali wa mwanae

    Bahati nzuri kila kitu kipo wazi kabisa. Wananchi wanajua kinachoendelea nchini. Hii nchi kwa sasa inavyoendeshwa na akina nani na kundi gani. Kila mtanzania anajua namna hilo kundi lililokuzunguka linawatafuna namna gani watanzania. Watanzania wanayo ya moyoni ila 2025 ikikaribia watafunguka...
  7. JamiiForums Tanzania Kitu chenye thamani sana

    Habari zenu..... Binadamu wanaongezeka sana,ila aridhi haiongezeki,tena inazidi kupungua kila kukicha,kama unauwezo wekeza kwenye kununua aridhi sehemu tofauti tofauti,tena nunua kwa kufuata maendeleo ya mji yanavyokuwa,angalia ramani za mji ndo ununue.. Aridhi ukinunua leo baada ya miaka...
  8. JamiiForums Tanzania Moja ya mashujaa wanoishi

  9. JamiiForums Tanzania Maziwa haya(Lakes) yanaweza kuua watu wengi sana

    Hii inatokea kwenye maziwa yaliyopo kwenye maeneo yenye volkano, hasa crater lakes. Maeneo ya volkano huwa na gesi nyingi sana ikitoka chini, hasa hasa carbondioxide. Gesi hiyo inaweza zama kwenye maji kama ambavyo gesi huzama kwenye soda. Sasa maziwa kama ziwa Ngozi Mbeya, ziwa Nyos huko...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mnaodhani kuwa yote aliyosema Mzee Makamba hakuandaliwa poleni sana

    CCM wanajua kuwa Wakisema Jambo Wao piga Ua litasambaa ( trend ) na Watanzania wote kama Kawaida yet tutalishupalia na haraka mno Kusahau mengine ya Msingi ya Kujadili kuhusu Tanzania yetu. Wenye Akili tunajua kuwa Mzee Yusuf Makamba kwa Kujulikana Kwake kuwa ni Mropokaji, Mpenda Sifa na...
  11. JamiiForums Tanzania Ila waganga mmh, hayaa

    Nilikuwa nimeshaanza xmass uchagani ila nimekaa nikawaza lazima nitoe hii post. 1. Sisi vijana tunapenda hela za haraka. So tunaenda shot cut Kwa waganga, mganga anasema lazima nilale na wewe ili dawa ingiee vizuri. Sio wewe tu, na Maria, Sheila wengi tu waganga unawalipa kukula kila ukienda...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo tunayaona sasa hivi magumu, miaka inayokuja huko mbele yatakuwa ya kawaida sana

    Habari za mda huu ndugu zangu wanajamii forum. Dunia imepita kipindi tofauti tofauti sana, kipindi kile enzi za binadamu wa mwanzo kabisa walitumia dhana za mawe kujipatia chakula,kipindi chuma hakijaja. Kipindi chuma kimekuja kilikuwa kinaonekana ni kitu cha muhimu sana,binadamu wote...
  13. JamiiForums Tanzania Nitawakumbuka sana wana-JF. Mniombee katika safari yangu ya maisha mapya

    Safari iliyojaa kila aina ya vizuizi, safari yenye njia zenye mabonde, milima na miteremko mikali. Safari yenye vikwazo ili kuyasaka maisha mapya niliyoahidiwa. Hakika nitawakumbuka sana. Nimekuwa nanyi kwa kipindi kifupi hiki kama the storyteller wenu, niliyewafurahisha, kuwafunza na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Safi Sana Mzee Makamba!

    Hivyo ndivyo yanavyopaswa kujibiwa maswali ya kipashkuna, Hivyo ndivyo anavyopaswa kujibiwa mwandishi anayesukumwa na wambea wa mitandaoni, a.k.a haters badala ya utaalamu wa taaluma yake. Hivyo ndivyo wanavyapswa kujibiwa haters wa makamba wote waliopo humu mitandaoni ambao masikio...
  15. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ndege raha sana

    Habari zenu wafugaji, mimi ni mfugaji tangu siku nyingi zilizopita, nimejikita sana kwenye kuku wa kienyeji. hivi karibuni nilinunua mayai ya kanga nikayatotolesha pamoja na mayai ya kuku, sasa naona vifaranga vya kanga (sijuwi kama ni jina sahihi) vinakua kwa kasi kubwa kuliko kuku! sasa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga analengwa na nani? Tuhuma dhidi yake za kumpiga mwanafunzi zinatia mashaka sana

    Siamini na nitakuwa wa mwisho kuamini kioja hiki kwamba DC amemnasa kofi mwanafunzi mpk akajeruhiwa. Yaani kofi limejeruhi kiasi kwamba nusu ya uso wa mwanafunzi umebandikwa pamba? Tangu lini kofi likajeruhi kama panga?? Nimeangalia mara 5 clip ya "anayedaiwa kuwa mwanafunzi aliyejeruhiwa"...
  17. JamiiForums Tanzania Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

    Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
  18. JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo ana utoto sana. Huwa namchukia sababu ya kudhani yeye ni bora sana anafaa kuogopwa

    Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana. Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa tutolewe hamna kumbembeleza mtu utadhani yeye Mungu. Fala kabisa.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wanyamwezi wanajisikia sana?

    Salam maria. Hawa wanajamii baadhi Yao wanajiona keki Sana. Sio mmoja au wawili watatu niliofanikiwa kukutana nao, hawana dharau bali hata kama ni kafupi unakuta kana jiamini kupindukia yaani mavimb yanasubiri. Hivi mnajiamini kitu gani. Ni watu poa sana ila kujiona keki yaani kwake wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…