Wanajamvi Mimi ni mkulima mdogo mwenye shauku kubwa ya kumiliki trector Kwa mwaka huu 2023, nmechoshwa na gharama kubwa ya matrector huko Songea, heka Moja mwaka huu tumelima Kwa TSH 90000 had 100000, hapo hujarudia wakati wa kupanda!
Hiki ni kilimo Cha mpunga! Nmeona sio vibaya nijchange...