sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. aka2030

    JamiiForums Tanzania NMB Sinza Mori mna huduma mbovu sana

    Hili tawi nimekuwa nalitumia kutokana na urahisi wa shughuli zangu ila kwa kweli lina huduma mbovu Kuna madirisha ya teller zaidi ya 6 ila kila siku unakuta yupo mmoja wakizidi wawili wakati Upande wa customer care unakuta wamejaa wakutosha Huduma za tawi hili kama za wakala tu
  2. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa mjini wanamaadili kuliko wa kijijini, kijijini hupoteza bikra zao wangali wadogo sana

    Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice. Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa mmeathiriwa na utumwa - mtatumika sana

    Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa. (a). Kwa nini vyama hamuanzishi miradi mipya ya vitegeuchumi ili pasipo kutegemea ruzuku fedha...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni siku mbaya sana kwa Dkt. Slaa na Prof. Safari baada ya kupigwa kibabe na CHADEMA mwenzao

    Kila mahala watu wanalizwa lakini hili la kulizwa kibabe na mtu kukunja mkwanja iliwaumiza sana wanaChadema
  5. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunafurahia sana ndoa yetu, ijue maana ya kumuita mwanadani wako "Baby"

    Watu wengi walio katika mahusiano hutumia sana neno baby (mainly in happy times) lakini ni wachache sana wanajua maana ya kumuita mwanadani wako "baby". ukishaelewa maana ya kumuita mwenza wako baby basi utafurahia maisha ya mahusiano yako, hasa wote mkiwa mnafahamu hilo Sasa je nini maana ya...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Ndege ya gharama sana ya Urusi yapigwa chini Bakhmut

    Ndege aina ya Su-24M bomber imepigwa chini na jeshi la Ukraine kwenye mji ambao Putin ameamua uwe kichinjio cha wanajeshi wake, yaani ameamua kuuteka hata kama atapoteza kila kitu..... Here's everything we know Ukrainian anti-aircraft crews operating near Bakhmut just shot down an expensive...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Nimecheka sana tafsiri ya huu wimbo

  8. W

    JamiiForums Tanzania 'Toa hela' na 'Niko bize' zinavyogusa maisha yangu! Ahsante sana Jaffarai

    Sijui yuko wapi sasa huyu mwamba? Kila alichokisema katika nyimbo zake hizo mbili ninakabiliana navyo kila siku na kuvishuhudia; -masjala file lako litaonekana tu kama utawapoza kidogo wale ps, la sivyo utaona linatafutwa kila siku. -mpe mwalimu pesa uone mtoto anavyofuatiliwa na matokeo yote...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu. Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Rosa Ree ana miguu mizuri sana

    Tazameni hapa miguu ya Rosa Ree inavyovutia , mtoto guuu guuu 😂😂😂😂😂. Sema Rosa Ree naona kaacha kumpost yule bwana wake manywele maana kule insta tulikuwa hatupumui .
  11. F

    JamiiForums Tanzania Huwa Nashangaa sana Muislamu anapohangaika kutafuta Mke/ mume. Mkristo namuelewa kutokana na ndoa ya kikristo ilivyo

    Habari wadau. Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote. Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza.. Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume. Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: DCI Kingai zungumza na watendaji unaowasimamia, hali ya uhalifu imeongezeka sana nchini

    Sijui kama ni Mimi peke yangu ndiye simwelewi DCI Kingai au ni watu wengi? Matukio ya Uhalifu yameongezeka Sana siku za hivi karibuni. Polisi kutunishiana misuli na raia limekuwa Jambo la kawaida lakini kibaya zaidi NI kuongezeka Kwa matukio ya Askari kufanya mauaji Kwa raia kizembe wakati...
  13. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

    Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa mtu mweusi bado sana labda miaka 100 ijayo, ni fujo tu na uporaji

    Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu) Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu. Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇 Waporaji na wezi...
  15. Awiaman ooza

    JamiiForums Tanzania Sex ni mazoezi mazuri sana

    Za usiku huuu wanangu Jioni ya leo nimefukia msomi wa maana sana Hii ni kutokana na njjaa kali niliyokuwa nayo Sasa after menu nikawa najisikia kutapatapa na kama mwili mzito Inshort nilijidikia kama kuna unnecessary energy in me Basi kuona hivyo nikasema isiwe shida nikamvuta mama G wangu...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Anakuwa mpole sana mwanzoni, baadae anabadilika na kuwa mkali kama chui

    Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili. Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

    Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi. Mwanga utajadiliana na giza, na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  19. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

    Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
  20. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Startup za Tanzania wajitahidi kuwa na maajabu, wanafanya mambo ya kawaida sana

    Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Haris amekuja Tanzania, na moja ya sehemu atakazo tembelea ni Tanzania startup assocciation, binafsi yangu nilisubiria kwa hamu kuona hao watu atakao kutana nao nione idea zao To be honest nimekua dissapoint sana kwa watu ambao wamepewa nafas ya kukutana na...
Back
Top Bottom