sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake, Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
  2. JamiiForums Tanzania Hili swali lina nitafakarisha sana?

    Wadau salaam. Naamua mpo safii kabisa, kwa wenye changamoto basi ni dua zangu Mungu akufanyie wepesi. Kabla sijaingia katika mahusiano swali langu kichwani lilikua " hivi hawa watu wanaitana wapenzi, nini wanaenjoy na vipi wana feel kufuatana fuatana....!?!?!" Sikupata jawabu zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC03 Wafu walio hai

    Uhai unasiri kubwa sana ambayo kila mwanadamu anatamani kuupata angalau ufunguo wa siri hii ili kuchungulia hata akiba ya pumzi yake japo jambo hili laweza lisimsaidie chochote. ~~~ ###### Ilikuwa ni usiku wa giza totoro sanaa, giza ambalo weusi wake uliyapiga kibao macho yangu na kuyafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Taifa la washangilia Misiba na Visasi

    Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume mbarikiwe sana

    Jamani wanaume mnatakiwa kupewa maua yenu mnajitoaga sana baadhi yenu na mkiamua kujitoa mnajitoa mpaka familia zenu amuwasikilizi kisa mapenzi asanteni kwa upendo wenu
  6. JamiiForums Tanzania Namuomba Rais Samia amsaidie huyu dada aliyekuwa muigizaji

    Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna vitu huwa vinakera sana na kushangaza kwa baadhi ya wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao

    Habari wakuu, Bila shaka umekuwa na siku njema na unatafakari namna mipango ya siku inavyokwenda. Pole sana kwa wenye changamoto ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote, lengo la kuanzisha...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani

    Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
  9. K

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Wameniconferm jana, niende kituo cha kazi huko Geita ,mwezi ujao, hapa nilipo nahisi kama naota vile. Naona siku kama haziendi niende nikalipoti, nahisi kama jamaa wanaweza ahirisha vile, nawaza namna gani maisha yangu yanaenda kubadilika, nawaza namna gani naenda kuitoa familia yangu kwenye...
  10. J

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI wanachangia sana kushuka kwa elimu nchini

    Ifike mahali sasa OR-TAMISEMI wapunguziwe majukumu. Kwa kiasi fulani nadhani nao ni sehemu ya kuharibu ubora wa elimu nchini. Najua TAMISEMI wanahusika na TSC, TARURA, DART, Afya, Elimu, etc yani kwa ufupi ni kama wapo kila kona, pamoja na hayo eneo ambalo unaweza kuona wamejikita na wanasikika...
  11. JamiiForums Tanzania Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

    Wakuuu za mida, Aseee mimi mwanenu katika vitu ninavyojuta maishani mwangu ni kuchelewa kujiunga humu ndani asee. JF imekuwa zaidi ya kijiwe kwangu. Namshukuru sana Maxence Melo kwa kutengeneza huu mtandao pendwa. Yaani kwanzia 2016 nilikuwa namiliki smartphone ila niliishia FB tu 😭😭😭na IG...
  12. M

    JamiiForums Tanzania FIFA irudishe sheria ya kuchomekea, vijana kwenye mpira wamekuwa wahudi sana

    Kuchomekea shati au tu kochomekea tu ni ishara ya udhanifu na heshima duniani kote. Hilo linafahamika wazi. Ukiangalia wachezaji wa mpira kabla 2005 kurudi chini walikuwa na heshima, dhanifu sana kwasababu walikuwa wanachomekea jezi. Lakini baada ya 2005 FIFA walipoivunja sheria ya...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

    Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
  14. JamiiForums Tanzania Kilichotokea usiku huu kimenisikitisha sana, life is not fair

    Nilifika sehemu kwa ajili ya kujipumzisha na kupata moja moto moja baridi baada ya mizunguko ya siku nzima. Moja kwa moja nilifika counter nikachukua castle lite baridi, nikalipa elfu mbili tu safi, nikazungusha macho huku na kule nione wapi nitakaa, sehemu ilikuwa imejaa kidogo, ila nikaona...
  15. JamiiForums Tanzania Asanteni sana Kwa Upendo na faraja

    .
  16. JamiiForums Tanzania Mke wa Mpangaji mwezangu anasema baba Umut unaringa sana

    Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka kumlazia damu kwasababu hapo awali sikua na mazoea na mpangaji yeye hapa nilipopanga zaidi ya salamu tu...
  17. JamiiForums Tanzania Mpina unanipa Raha sana

    Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo. Hadi raha.
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo Asisitiza Kilimo ni Biashara Kubwa sana Duniani

    MBUNGE PROF. SOSPETER MUHONGO ASISITIZA KILIMO NI BIASHARA KUBWA DUNIANI Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mhe. Prof Sospeter Muhongo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyosomwa Bungeni na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema Wizara ya Kilimo inalo jukumu kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Leo nimelia sana. Kweli Cha Mtu.... Sidhani kama nitaweza kula

    Jamaa yangu aka yake KIMBU. Huyu jamaa kauli mbiu yake siku zote ni kuwa "kama huna pesa usioe mke mzuri baadaye uje wavika watu ubaya" Jamaa alikuwa na operation ya kuchakata sana wake za watu.allahmdulilah si haba kazini tunapata vijisenti vya kununua magari na kujenga. Kwa sasa anakula...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

    Wakuuu za sahizi, Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…