sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii tafsiri ya cheti cha ndoa, ikusaidie kujitafakari sana kabla hujakisaini

    Ndoa kiroho ni agano. Unaposaini cheti cha ndoa au unapoingia agano hilo kwa makubaliano mengine yoyote unatakiwa ujue unachokiingia. Siku hiyo unasaini hati ya Kufanikiwa kwako au kufeli kwako maishani Furaha yako au huzuni yako hadi unaingia kabrini. Maisha ya migogoro au amani Nini...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kipre Jr na Ndala ndani ya Msimbazi itapendeza sana

    Endapo Simba itamsajiri kipre Jr na Ndala kutoka Azam itapendeza sana. Kumbuka Kipre Jr ni winga ya kushoto huku Sakho nae akikimbiza winga ya kulia itakuwa balaa. Ndala yeye anakaa pale katikati akiongeza nguvu kwa Mzamiru au Kanoute. Simba itakuwa untouchable. Viongozi najua mko humu JF...
  3. JamiiForums Tanzania Alikiba sio wa kufa kimziki leo, bado sana

    Wakuu, Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea. Nimesikiliza hizi nyimbo mbili latest; Mahaba na On fire, niseme tu huyu mtu bado sana kupotea, sio leo wala kesho, hii on fire...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

    Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana. Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
  5. M

    JamiiForums Tanzania NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Habari, Ngoja nianzia mbali kidogo mpate kuelewa mke wangu ni mtu wa aina gani. Na ilikuwaje mpaka nikazaa nje. Mimi na mke wangu tulikutana kwenye kongamano la injiri kipindi namaliza chuo yeye alikuwa anasoma chuo kingine tofauti na chetu. Ni mtu mpole sana niseme ukweli, na anavaa mavazi ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Habari za leo wakuu. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi. Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker. Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine. Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu si alishamtema Mwamba? Mbona anajipigisha U-Turn?

    Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia. Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
  10. JamiiForums Tanzania UTATA: Ufanye Kazi ambayo huipendi ila inakulipa sana au ufanye kazi unayopenda ila inakulipa wastani?

    (Eneo la salamu na utangulizi ) Mfano, ufanye kazi ya ukonda, kwa siku uweke mfukoni 30-50k kwa mwezi hio ni 900-1.5M ila huipend wala haikupi amani ya moyo (Yan kwa kifupi unaichukia kazi) Au ufanye kazi yenye mshahara wa wastani ila inakupa amani na unaipenda, eg Ualimu hapo unachukua zako...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe yupo sahihi sana. Je, muungano si unaweza kuvunjika wakati wowote tukabaki na mikataba ovyo iliyosainiwa na wageni?

    Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano. Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mwema sana ila amezungukwa na watu waroho na wenye roho mbaya

    Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake. Suala...
  13. JamiiForums Tanzania Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

    (ANGALIZO: NAONGELEA WACHESHI NA SIO MALAYA..ucheshi hauna uhusiano na tabia mbaya) Habari za leo wana chit-chat wenzangu. Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata. Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine. Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya-...
  14. JamiiForums Tanzania Mpaka Putin mwenyewe anakiri kapoteza sana kwenye hivi vita

    Sio kawaida kwa Putin kukiri mapigo anayopokea, siku zote huwa mbabe. ========= In a rare admission, Russian President Vladimir Putin acknowledged Friday that Russia is sustaining “significant losses” in the war on Ukraine. “In recent days, we have seen significant losses in Ukraine, they...
  15. JamiiForums Tanzania Hosting ni expensive sana

    Aise kama unataka kuanza ku code kitu kabla hauja chagua frameworks hakikisha unapitia cost za deployment kwanza, bila hivyo utajikuta system yako unatumia mwenyewe kwenye localhost Ipo hivi ulitumua python kama backend cost hazishikiki Web App - Tumetumia Azure web app ($55/mo) Postgresql -...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

    Kwa uchunguzi wangu binafsi nimeona ndoa nyingi sana zinapata changamoto ya kupata mtoto. Hapa mjini wadada karibu wote wameharibika. Ndiyo maana wengi hata wakibahatika kuolewa kupata mtoto inakuwa tabu sana. Na wengi wao hawazai kabisa. Wanawake wengi wa mjini Mjini wanatumia vizuia mimba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Nimefanya kilimo cha parachichi kwa miaka nane sasa, nilichokiona ni haya; 1. Kilimo kina mzunguko wake ni mdogo parachichi huzaa kidogo kidogo kadri miaka inavyoenda, unatumia million 10 unapata million mbili...
  18. JamiiForums Tanzania Ninampenda sana ila kwa hili sifikirii kama nitaendelea kuwa nae

    WAKUU POLENI NA PILIKA PILIKA ZA TETESI ZA BANDARI YETU KUUZWA....... Twende direct kwenye mada tajwa hapo juu, Nipo kwenye mahusiano na binti fulani hivi kutoka kanda ya kaskazini........tulifahamiana toka nikiwa advanced level. yeye alikuwa anasoma shule ya girls halafu mimi nipo...
  19. JamiiForums Tanzania Tutakwama sana kwa elimu hii, naihurumia nchi yangu

    Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na wengi ni vijana kuona wanafunzi takribani 188,000 tuu ndiyo waliochaguliwa kidato cha Tano na vyuo...
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge wetu mnasikitisha sana

    Wabunge wetu mnawawakilisha wananchi wapi? Mbona mmeshindwa kuwawakilisha dukuduku lao la bandari? Je, mlichaguliwa kwenda kumsifu chifu tu? Hivi walioeleza dosari za mkataba ule wote walikuwa na nia ovu kweli? Kwanini katika bunge la kujadili mkataba/makubaliano hayo hamkujadili issues badala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…