sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo mpya wa Meja Kuta aisee ni moto wa kuotea mbali jamaa anajua sana

    Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu. Wimbo ni mzuri sana ,mashairi mazuri melody Kali Yani kwa kifupi hauchoshi kuusikiliza. Huyu kijana kwa kweli tumpe...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa tafiti hizi tutafika Mbinguni tumechoka sana

    Utafiti kutoka Chuo kimoja Kikuu huko London unasema kwamba, unapojikwaa au kupata maumivu, kiwango cha uchungu unachopata kinategemea na kiwango chako cha maisha. Iwapo wewe ni maskini basi utahisi uchungu mwingi zaidi kuliko yule ambaye ni tajiri. Una maoni gani kuhusiana na utafiti huu?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu aliyopewa Kocha wa Makipa wa Mashujaa ni utani mkubwa sana

    Nimeona taarifa ya TFF kuwa Kocha wa Makipa wa Timu ya Mashujaa aliyempiga ngumi ya usoni Kocha wa Mbeya City kuwa amefungiwa mwaka Mmoja na Faini ya Milioni 2. Niseme tu kuwa, natamani siku karia au kiongozi yeyote wa TFF apigwe ngumi ya pua na mchezaji au kiongozi wa timu. Kama tu Haji...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa kwanza akamatwa baada ya tukio la Wagner

    Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais atayekuja 2030, atakuwa na raha sana, Samia kasafisha njia

    Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme- Nyerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Royal Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028. Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka...
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Hizi tabia kwenye daladala ziliniumizaga sana

    Mwanaume amesimama nyuma yako anakuelekezea mtalimbo Ingawa hali hii huwapata sana Watoto wa 17-30 years
  8. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Wimbo flan umetend Sana TikTok naomba msaada kuupata

    Nimejarib Kila namna kuupata lkn wahsika wanaoucheza n hawa Sina hakika kama wanaonekana sawasawa
  9. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Wanawake waliotuzunguka ni puto na sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume

    80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go.... Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kuona Wabunge waliokuwa wa Kwanza Kukimbia 'King'ora' jana Bungeni ni wa Kiume

    Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje. Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni. Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
  11. polokwane

    JamiiForums Tanzania TBS na TFDA wapewe waarabu tu, Bidhaa bandia madukani ni nyingi sana na zingine ni vyakula, magonjwa yasiyo ambukiza hayata isha

    Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo , Wao wanakaa maofisini kusubiri mtu awape mchongo ndio wajifanye kuita waandishi kujifanya wapo...
  12. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

    Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari. JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
  13. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Mambo ya hii nchi yamenichosha sana, ni kama ku-deal na watoto watukutu

    Nchi hii inachosha sana ukiangalia mambo inayofanya, vurugu kila kona na wala huoni mambo ya maana yakifanyika. Ni kama kuwa na watoto watundu, unamkataza hiki anafanya kile, ukimkataza kile anarudi kwenye hiki. Ni kama vile wakubwa wanafanya "Trolling" ili kuwaudhi tu wananchi. Nimechoshwa...
  14. Gamal Sankara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana

    kwa ufupi, hii ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raia wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
  15. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Jioni ya leo nilikuwa DP World hapa kigali Mnyarwadwa kanicheka sana

    " Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!" " Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"...
  16. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali. Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
Back
Top Bottom