Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.
Na nilivyo peke yangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui...