The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Asharose Migiro tumemzoea na nywele zake nyeusi cha kuchana(Mchicha) Tangu akiwa binti.
Lakini Mzanzibar alipompa chao cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Asharose Migiro kaanza Kuvalishwa mahijabu. Na siku akivaa Mihijabu hata tabasamu lake hulioni.
Tanzania tunahitaji Uhuru wa watu. Tumechoka kuwa...
Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka .
Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba.
Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli.
Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA .
Leo hiii...
Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni.
Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi wa Naibu Gavana Anayeshughulikia Utawala, Dkt. Rahma Salim Mahfoudh.
Dkt. Rahma, sisi tuna madeni...
Anonymous
Thread
akaunti
b.o.t
bot
file
gavana
huzuni
kuandika
miezi
sana
siku
utawala
Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda.
Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
Unangangania Derby kuchezewa kmc ukijua kabisa uwanja sio mzuri kwa sababu tu unataka tu kumkomoa timu fulani cha ajabu unapewa baraka na TFF
kabla ya week haijaisha unarudi tena TFF unalalamika uwanja ni mbovu wanakukubalia kumbuka week iliyopita walikukingia kifua kwamba uwanja ni mzuri swali...
nini siri ya hali hiyo ya kipekee muwapo faragha na mwenzi wako hasa wa mara ya kwanza?
Eti wanaume,
kulikoni unaingia faragha na mwenzi wako huku ukimuharakisha achojoe nguo zake na wewe ukikimbilia zaidi kuvua pichu? ni nini huchochea hali hiyo?
Na ni kitu gani kinakufanya usimvalishe baada...
Nimeangalia interview ya Mex Cortez kwa Rick Media na kwa kweli ni best interview wasanii wajifunze
Kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na interview nyingi za kawaida. Mazungumzo yameonekana natural, yenye mafunzo, na yameonyesha upande mwingine wa maisha/experience zake.
Sometimes interview...
Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine.
Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi wa nyumba na kila kitu.
Na nilivyo peke yangu leo basi tu najikuta mwenye furaha hata sijui...
Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii
wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta
Pia kirikuu...
Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo .
Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi.
Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika
Orderly Coplo Wa week 😎.
Leo bhana, katika pitapita zangu za hapa na pale, nikaangukia shule fulani, Basi bana, nikakutana na mwanafunzi kapendeza zake, lakini shingoni kavaa bango kubwa limeandikwa “Swahili Speaker”.
Aisee! Hapo hapo akili ikafanya flashback kali moja kwa moja nikarudi enzi za 2003 hadi 2009...
Mtindo wa Uongozi wa Maridhiano na Kusikiliza
Kwa list fupi:
1. Kufungua nafasi ya siasa – Aliwaruhusu mikutano ya vyama, akaachia wanasiasa waliokuwa jela/uhamishoni
2. Kusamehe na kusikiliza – Kauli “msiniite mama” ilionyesha unyenyekevu, anakutana na makundi yote
3. Kupunguza uhasama –...
kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
Tanafanya finishing za nyumba kwa gjarama nafuu sana , moulding decorations, ceiling disign na skimming .tupo dar es salaam na tunafika mikoani bila shida kabisa. 0765069058 WhatsApp.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.