sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

    Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
  2. JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  3. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Wanawake wa Kipare wanajiona wao ndio wana Soko kubwa sana kwenye Mahusiano tofauti na Wanawake wa Kichagga?

    Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu? Hii nazungumzia kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda kasi sana sio kwa madhaa haya

    Jf
  5. JamiiForums Tanzania Sipendezwi sana na mashambulizi ya matusi kutoka Kwa viongozi wa Chadema kwenda kwa police

    Pamoja na uchadema wangu na kuwa siwapendi sana police Kwa kuwa mara kadhaa wamekuwa wakitumika visivyo, Hii haimaanishi kuwa hawa Watanganyika wenzetu police hawana jema hata 1 Ila viongozi wangu makini wa Chadema, hebu wahurumieni hawa Watanganyika wenzetu police Kuwaita masikini, kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Heche: Lissu anaumwa sana Tumbo, nimeongea na mdogo wake

    "Leo wakati nakuja hapa nimepigiwa simu na mdogo wake Lissu, anaitwa Vicent, amenambia tangu jana Jioni, mwenyekiti wetu anaumwa sana Tumbo, linamkaba ila aharishi, tumesema tena na tena na tena Lissu akipata Shida haitaeleweka nchi hii, Hatutakubali, kiongozi wetu alichukuliwa akiwa mzima...
  7. JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro kwenye hili umefeli sana bro

    Katika mazingira ambayo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kutafuta ajira baada ya kuhitimu vyuo vikuu, mjadala kuhusu elimu ya ufundi na elimu ya juu ni muhimu. Lakini kilichofanywa na mwanasiasa Julius Mtatiro si mjadala wa kujenga taifa — ni propaganda ya kisiasa iliyovuka mipaka ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana:

    Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana: 1. Mahusiano na Familia Ukiwa na pesa zote duniani lakini familia yako imevunjika, nyumba yako ni tupu. Weka muda kwa mke/mume, watoto, wazazi sasa. Baadaye watoto wanakua na wanasahau wewe. 2. Afya Kula hovyo, kulala kidogo, kufanya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Maamuzi mengi kuhusu uongozi wa Tanzania yanafanywa na watu wenye IQ ndogo sana, au kwa ajili tu ya kujipendekeza

    Hili ni jambo ambalo hatimae nimetambua ndilo tatizo kubwa linaloikabili Tanzania. Ni kwamba maamuzi mengi kuhusu Tanzania yanafanywa na viongozi wenye IQ (akili ya kufanya maamuzi sahihi) ndogo sana, na hata wale wenye IQ ya kutosha hawatumii akili yao bali wanafanya mambo kwa njia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Bado business partnership ni ngumu sana kufanikiwa hapa Tanzania

    Sisi kuungana kuanzisha biashara pamoja kisha kuikuza na kufanya idumu ni ngumu sana. Partnership nyingi huishia kwenye uadui wa kudumu. Nilishawahi kuungana na jamaa zangu in my early 20s lakini haikudumu ila kwa bahati nzuri tuliachana kwa amani kabisa kupitia mwanasheria wetu. Mimi naona...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kobaz wengi wa JF wanachagua sana dini kuliko au dhidi ya utu na mantiki.

    Firstly, nakumbuka walivyofurahia vijana wa tanzania kuuliwa na hamas kipindi kile, walivua utanzania kabisa na kushabikia hamas kisa tu ni kobaz wenzao. Pia mnajua upande gani waliokuwa juzi hapa. Then, fuatilia nyuzi zao, wako tayari kusimama na muuaji haijalishi ni ukatili wa namna gani...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, unafanya kazi nzuri sana. Kaza buti

    Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa. Naomba usikatishwe tamaa na viongozi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania nini kilikufanya uanzishe ile ID yako nyingine ?

    Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili na saikolojia kwa ujumla ambayo dalili hiyo inakutaka kuwahi katika...
  16. JamiiForums Tanzania Nape adai Januari Makamba ana akili sana

    Akihojiwa kwenye podcast ya Omari Kashera/Salma Dakota amedai hivyo. "Ukimpima nyani kwa kigezo cha kupanda miti, utadhani kobe ni mzembe na nyani ni genius."
  17. JamiiForums Tanzania Nimelipia hostel Dar kwa wanaojiita manabii, nimesomewa vifungu na shehe, nimechanjwa sana usukumani, nimefanya online remedies. Yote haya batili

    NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako. PESA HUZAA PESA. BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI. Hakuna cha nyota wala aura, hakuna cha mikosi wala nuksi. Kama umefulia umefulia tu, patabadilika pale utakapo chukua na panaweza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu alietoboa vilivyo kwenye biashara hapa Bongo utasubiri sana hadi uote sugu, Game lipo zigzaga tofauti na unachokiona

    Ukitaka kuiga Mafanikio ya mtu haa bongo hasa kwenye biashara utakesha Makanisani, Misikitini, mpaka uote sugu Utamaliza rapa kwa kubuni Biashara na kuwekeza ukiamini utakuwa kama fulani. kumbe Siri Yao ya Mafanikio ni Short Cut Halali inawezekana ila huchukua muda mrefu sana na ubaya ni...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa TANESCO Kazi Maalumu – Katavi tunacheleweshewa sana mshahara

    Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya kucheleweshewa mishahara. Tunapaswa kulipwa kila baada ya siku 10 lakini inapita hata mwezi bila...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini sana na vitu tunavyoandika humu

    Hapa google wame suggest maoni binafsi ya bwashehe, pia wame suggest kichwa cha habari cha mada niliyoiandika professa Fikiria kwamba ukiandika ujinga humu Jukwaani, je baadae mtoto akienda google ku search au mtu mzima anaeamini google kwa 100% akienda akakutana na ujinga fulani ulioandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…