sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwina Kaduguda: Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya njia zinazotumiwa kudukua mitandano ya kijamii

    Siku za karibuni kumekuwa na tabia ya badhi ya watu ku-hack, kudukua akaunti za facebook. na instagram kwenye mitandao ya kijamii. Watu hao wakishadukua hutuma picha za ngono na ukifuata link ili uone vizuri nawe wanakudukua. Watu hao pia hutumia watu promosheni tofauti tofauti ili washiriki na...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanafeli sana, hawala anakula vyakula vya nyota 5 nyumbani wanaishia kuviangalia kwenye TV

    Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida: Ugali dagaa tembelee, Chai na vitumbua vya mama salma mtaani, Wali...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia awe makini sana na viongozi wa EAC

    Nitaandika Kwa kifupi Tu. Hiv Karibun Rais wa Kenya William Somoe Ruto na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museven wameonekana kuwa Chanda na Pete. Kwa history ya nchi zao kuna kila dalili wameona huu ndio wakat wanaweza kuiingia Tanzania kuliko wakati mwingine wowote. Ikumbukwe awali Rais wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naichukia sana report ya C.A.G

    Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha. Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili...
  6. JamiiForums Tanzania Kanikubalia lakini yuko busy sana

    Mapenzi ni upuuzi tu ngoja nifocus na maisha, kiukweli nimefunga nimeomba kwa Mungu mke wangu siku akifika nitamuona tu, yaani sitatumia nguvu nyingi kama ninayotumia kwa huyu binti. Kiukweli binti ni mzuri binti wa Manyovu huko mnanira asili yake ni kama mtusi fulani kutoka rwanda, black...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

    Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling" Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu. "Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

    Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024) Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua: From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Habari wadau. Ukweli mchungu najiona nina tatizo la kisaikolojia. Binafsi chuo nilisoma Mzumbe enzi zile za division one tupu ndio wanapata admission. Nikiwa chuo nilipata marafiki wengi sana ila hawa watatu wameniathiri kisaikolojia. Mmoja aliitwa Nelson mwingine Frank na mwingine Abdul...
  10. JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kucheza na akili ya mswahili kutokana na kuamini sana ushirikina

    Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina. Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake 😃 Akija kuona atachanganyikiwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Azam mmenikera sana jana kwenye mechi ya Simba vs Singida Fountain

    Mm ni mmoja wa wadau wakubwa wa Azam, iwe media, iwe tigopesa, iwe sports, iwe ice cream ali mradi tu imeitwa Azam. Jana, kabla ya mchezo haujaanza kipa wa Singida Benedict Haule alionekana kwenye luninga akiwa amesimama langoni ameshika taulo lake na maji, akaweka chupa zake za maji vzr, ndani...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini sijaonekana kwenye picha za Iftar ya Ikulu siku ya Jana. Nimechukia sana

    Kwema Wakuu! Sisi wengine ni Watu wa misifa, Watu wa mitandaoni, Watu wa kujionyesha, Watu wa kujimwambafai tukio kama la jana kwangu lingeniongezea Credit muhimu sana. Kutokuonekana inamaamisha sikuwepo ama? Kutokuonekana kwenye picha yoyote au video yoyote ya tukio inamaanisha sikuhudhuria...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ana sonona. Msaada wakuu

    Anawatoto watano sasa. Mume wake aliondoka miaka 5 iliyopita, akaacha watoto watano: wamwisho (miezi 9), wakati huo mtoto wa pili (3) kutoka mwisho anaumwa (Athma). Mwanaume akaondoka kachukua mke wa watu kijiji jirani wakaenda Katavi. Hakuwasiliana na familia yake muda wote akiwa Katavi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Usipojitoa utumwani basi huyu mtu atakutesa sana

    Kuna watu kwa nje wanafurahia mahusiano ila ki uhalisia wanateseka sana na anayewatesa sio mwingine bali ni huyu mtu ambaye SIKU UKISEMA HUNA TU BASI HAKUNA MAHUSIANO 😔 Je, upo kwenye mahusiano na mtu huyo? VIASHIRIA KUWA UPO KWENYE HUO UTUMWA. 1. Uko radhi ulale njaa ila yeye ashibe 2. Uko...
  16. JamiiForums Tanzania NMB ni bank inayopata faida sana kwa sasa, ila huduma zake kwa wateja ni za hovyo sana!

    Unaingia bank ina madirisha matano kwa mfano, ila linalotoa huduma ni moja na wateja ni wengi, basi mnasimamaaa mpaka miguu inauma Unatumia masaa sita kuhudumiwa, hii hapana, tunafanya uchumi wa wengine kuharibika kupitia huduma hizi mbovu NMB rekebisheni hii kitu bhana, mnaumiza watu
  17. JamiiForums Tanzania Mchawi mtu mbaya sana, anaweza kumuonea wivu muuza genge huku yeye ana hardware anawapanga foleni wateja

    Mchawi ni mtu mshenzi, hapaswi kuwepo kwenye jamii ya watu wastaarabu. Uchawi dhima yake kuu ni wivu. Anaweza akawa na duka kubwa la vifaa vya ujenzi akapanga wateja kutwakutwa lakini akapandwa na pepo la wivu (uchawi) juu ya mtu anayeuza mihogo ya kukaangwa pembeni yake eti kisa Jamaa anauza...
  18. M

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za Airtel Tanzania ni mbovu sana

    Habarin wadau, Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin haikufika kwenda ilikotumwa. Nimejaribu kutafuta msaada mara kadhaa katika ofisi za Airtel bila...
  19. JamiiForums Tanzania Wazungu ni watu wa upendo sana

    Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo U.S.A Malaysia China Japan India Singapore Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho. Tuache unafiki mfano. Mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Naanza na boss mwenyewe kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…