sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu ni mbaya Sana Kwa Sisi wanaume

    Hii ni Kweli kabisa ukizingua wee ni boya kabisa. Kwa Sisi wanaume tusipokula mzigo Kwa Muda mrefu akili inakuwa kama imeganda hivi.Unaweza kuidanganya akili kwamba huwazi Tena kuhusu papuchi lakini pale unapoenda kuoga alafu Mzee wa kazi ukiupaka sabuni ndio utajua Kula mzigo ni Tiba Kwasisi...
  2. JamiiForums Tanzania Humu watu wanahamu sana ya kunfasex

    Watu wa humu mpo .? Humu wengi sana mnaonekana mnahamu ya mapenzi na wapenzi wenyewe hamna wanaoeleweka . Kama huna je upo tayari kulea au kuishi maisha ya kawaida upewe watoto wa elfu mbili wakuoe wakupige mashine mpaka uache kuja huku kujiabisha . Au tukupe mchongo wa kwenda kwa siri nyumba...
  3. JamiiForums Tanzania Mpemba aliwahi kuniuliza "unajua kwanini Uislam umeshikilia sana Uarabuni na Africa" akasema "kwa sababu waafrika na waarabu wanaongozwa na mihemuko"

    This was 2019, Tariq aliniambia kiuhalisia yote aliyofundishwa na yote aliojifunza mwenyewe haya hitaji uwe na fikra pevu na yenye mantiki ili yakukae utaishia kuyakimbia na malipo yake kutengwa kwa hio itakubidi uwe umejazwa hisia na muziki wa mambo ya kufikirika ndio uendane nayo.
  4. J

    JamiiForums Tanzania vidude muhimu sana kwa akina baba

    Napatikana kibaha ila ulipo unapata tu huduma namba 0712583157 kupiga au whatsapp pia
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

    Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi. Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  7. JamiiForums Tanzania Israel inawapenda sana wapalestina Tatizo dini yao inawapotosha sana!!!!

    Mwimbaji wa Israeli Idan Raichel alishiriki katika mahojiano jinsi alivyopokea picha yake hivi karibuni kutoka Gaza. Askari wa Israeli alimtumia picha ya zamani ya Idan akiwa na baba kutoka Gaza na mtoto mchanga kwenye kitanda cha mtoto. Raichel alielezea kwamba hii ilipigwa wakati wa kazi...
  8. JamiiForums Tanzania Chunga sana mtu asilie kwa ajili yako

    Sio mapenzi, sio pesa sio Nini, jitahidi sana chozi la mtu lisidondoke wewe ukiwa chanzo. Una umiza hisia za mtu au watu, unajitapa we bingwa wa kuumiza watu kwenye mapenzi, una dhutumu una ibia watu una ua watu wanao tegemewa na familia zao, kisa pesa au kisa uonekane mzuri sana. Una kutana...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Sikujua kama Watu walikuwa wamekasirishwa sana, mimi kuhama kutoka CHADEMA kwenda CCM

    Mchungaji Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chadema kwa miaka 10 (2010/20), alijiunga na CCM Juni 30, 2024 kabla ya kutangaza kurejea rasmi Chadema Mei 23, 2026 amesema; "Mimi sikujua kwamba watu walikuwa wamekasirishwa sana na kitendo cha mimi kuhama kutoka Chadema kwenda CCM...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

    Imeuzwa
  13. JamiiForums Tanzania Japo Nilikuwa Simkubali Baba Levo Kwa Uchawa Compared to ZZK, Leo Nimemsikia Bungeni, Kumbe ni Bonge la Kichwa, ni Akili Kubwa!, Nimememkubali Sana!.

    Wanabodi, Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
  14. JamiiForums Tanzania Katika historia ya mwafrika hii part naichukia sana na inaumiza

  15. JamiiForums Tanzania Utawala wa kifalme ni bora sana. Jordan vs Tanzania

    Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

    Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna. Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi? Ndio...
  17. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bar ya Camp Edward (Tabora) wanapiga muziki mkubwa sana na IPO katikati ya makazi

    Bar ya CAMP EDWARD iliyoko kwenye makazi ya watu MKOANI TABORA, wanapiga mziki mkubwa sana na mbaya zaidi ni kila siku hawana jumatatu wala weekend, mbaya kuliko zote wanapiga mziki hadi saa mbili asubuhi kwa sauti kubwa. Mamlaka zituambie ni kibali cha aina gani wanapewa kupiga mziki hadi...
  18. JamiiForums Tanzania Hekaya za Idu: ziara za Waziri Mwigulu Nchemba zinatafakarisha sana. Ni kama taifa halina waziri mkuu na limepotea.

    Waziri mkuu kwa mujibu wa katiba JMT ndio msimamizi wa shuguli zote za serikali. Sasa Msimamizi wa shughuli za serikali anapokuwa namna hii taifa letu linaenda wapi? Limepotea na shughuli za serikali zimekwama. Huwezi kuwa waziri mkuu alafu unatatua kero za wanancho kisanii namna hii. Mfano...
  19. JamiiForums Tanzania Magari ya Toyota generation mpya mpya zinafanana sana kimuonekano. Unaweza usijue ni model gani ukiona picha kwa mbele

    Kama umefuatilia, generations mpya za Toyota kuanzia 2023 kuja mbele zimekua kama zinashare design language moja kwa mbele. Mfano: Toyota Crown 2025 Lexus ES 350h 2025 Camry 2025 Prius 2025 Ata ukicheki baadhi ya crossovers/SUV kama nazo kwa mbele zinafanana design. Angalia mifano...
  20. JamiiForums Tanzania Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

    Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…