sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

    Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

    Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa. Hiki kitu...
  3. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania We Dada Perfume Yako Nzuri Sana

    Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha. Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana wakili msomi Mwabukusi

    Nimefuatilia sana mdahalo wa wagombea wa Urais wa Tanganyika Law Society (TLS). Kati ya wagombea wa kiti hicho ninachukua nafasi hii kumpongeza Wakili msomi Mwabukusi kutokana na maswali aliyoulizwa kwa kujibu maswali yote kwa ufasaha. Naona upepo umebadilika licha ya kupigwa vita Wakili...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

    Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri, Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako. Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako. Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani. Ubarikiwe...
  6. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Mwema sana

    Tunapaswa Kumshukuru Mungu kwa Wema anaotundea wakati wote. Nasema hivi kwa sababu kuna wakati unaweza kukutana na Jambo gumu sana.Lakini Mungu akafungua njia. Mungu ni wa yale yaliyoshindikana kibinadamu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile za nchi nzima kukutana uwanjani kupokea na kushangilia ndege mpya, huwa nacheka sana

    Nchi hii tumetoka mbali sana na it is as if tulikuwa washamba nchi nzima mpaka Kenya walikuwa wanatucheka. Nchi imetoka mbali hii. Ingekuwa hata mama kila anachonunua au kujenga anapiga promo zile hii nchi ingekuwa ya masela.
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mbona Olympics kimya sana, Ushiriki wetu ukoje kwenye jukwaa kubwa la kidunia ?

    Kuanzia wiki hii hadi katikati ya mwezi wa nane kuna mashindano makubwa sana ya Olympics yanayoendelea huko Paris, Olympics ni mashindano makubwa zaidi baada ya kombe la dunia. Mashindano ya nwaka ya Olympics yana thamani ya karibia dola bilioni 10 za Kimarekani, haya ndio mashindano...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Msaada: Njia za kupunguza uume

    Uume wangu ni mkubwa sana hali hii inanikera kutokana nakimbiwa sana na wanawake wenye umri kama wa kwangu au niliowazidi. Nikitoka kwenye shoo huwa hawarudi hata kutembea hawatembei vizuri naombeni msaada wenu njia ya kupunguza uume.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Chadema n2n (nyumba kwa nyumba) itasaidia sana uchaguzi 2025

    Chadema apange safu ya kuzunguka kijiji kwa kijiji kama ifuatavyo 1. Singida na Dodoma- Tundu Kisu 2. Tanga, Pwani na DAR es salaam- Freeman Mbowe 3. Mwanza na Mara -John Heche 4. Lindi na Mtwara Dr. Slaa 5. Arusha na Kilimanjaro Godbles Lena 6. Morogoro na Iringa John Mnyika na Mwabukusi 7...
  11. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania Kwenye hii picha bado sana

    Atcl Zetu zimeshapaki. Zimechoka. Hazipendi kuzurura usiku.
  12. Afrolink-Tz Consult Ltd

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Habari zenu Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya) Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kupendwa raha sana

    Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko). Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:- Mimi: halo Yeye: mambo vipi bebii Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko? Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watu wameishi zaidi ya miaka 30 eti wanafunga ndoa Kesho? Wakristo naomba mnieleweshe

    Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini. Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Designer wa Jezi za yanga chali . Kila design mbovu Ameludia sana . Investors weren’t happy

    All in all Sheri ngowi kazini kwake kuna kazi . Baada ya simba kuchukua designers wake wa jezi . Jamaa kila design mpya ni mbovu . Amerudia sana Jezi mpya . Inshort sio talent yake anatafuta pakutokea . New Jersey is late because investors weren't impressed with Jersey's design. Sheria Ngowi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwani urais Tanzania unatokea kama zari? Kwa nini mtu akijiandaa nao anaonekana amekosea sana! Which is which, zai ka la jpm au kuniandaa?

    Hii tamadani inayojijenga tanzania siyo nzuri kabisa. Mtu akijiandaa kwa mda mrefu kwa ajiri ya urais ataundiwa zengwe mpaka ataonekana ni jambazi. Ninachofahamu mimi kila position huwa ina maamdalizi kwa anayetaka siyo kumlazimisha kama alivyolazimishwa jpm. Na ndo mana uongozi wake kulikuwa...
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kwanini Toyota IST huwa zinawahi sana kuchoka

    mKWA NINI TOYOTA IST HUWA ZINA CHOKA MAPEMA Toyota IST zina injin ambayo ina uvumilivu kwakipindi kifupi 1) INJIN KUA NA MLIO WA TOFAUT Hapa tatizo ni kutumia oil ambayo sio sahihi hivyo injin hizi zitakuvumilia kwa kipind kifupi baada ya hapo Utashangaa gari ni IST ila ina mngurumo wa...
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Crown Media ni kama wamepania sana

    Team ya Crown Media ni kama wapo serious na kazi kama watakuwa na consistency kwa muda mrefu basi ni wazi kuwa atachange tasnia ya media bongo Tz(game changer). King Kiba anastahili kupewa pongezi kuanzisha project kama hii sio jambo dogo licha ya uhitaji wa rasilimali muhimu kama fedha pia...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana Bingwa na Makamu wao wala hawana Mbwembwe, ila wa Nyuma yao ndiyo wana Mbwembwe zinazotia Shaka mbeleni

    Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Soma kwa Umakini: Katika jezi mpya, ni ama Simba imepatia sana au imekosea sana

    Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada hii. Kuna mawili, ni ama Simba imepatia sana katika hili jambo au imekosea mno. Simba imepatia sana...
Back
Top Bottom