sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni kilimo kipi hicho ambacho Raisi anatamba sana kukikuza? Sikioni mimi, wewe unakiona?

    Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa. Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na...
  2. JamiiForums Tanzania Utendaji wa CCM hii chini ya mwenyekiti Samia suluhu hassan, ni wa kisayansi sana kisiasa, hamasa ni kubwa mno mioyoni mwa wananchi kujiunga nayo

    Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitashangaa sana tukishindwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 dhidi ya Orca Energy

    Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ukiambiwa ishi, kimbia sana utakufa maskini tena mshamba

    Kuna msemo wanasema ukitaka kuwa maskini kaishi na maskini, nzi wote watakuja nyumbani kwako kwa sababu wewe kwako ndiko vitu vinatupwa, then utajikuta unapata magonjwa na utakufa. Nimeipita Tanzania kwa asilimia kubwa sasa, ila safari za Tunduru zimenichanganya, nimepata Dili za kupeleka...
  5. JamiiForums Tanzania Kiswahili kinatufichia sana ujinga na ujima wetu wabongo kwa watu wa nje, sio kwa mada petty kama hizi mitandaoni!

    Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani! Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu dada ananichanganya sana.

    Leo nimekuja kuangalia maendeleo ya binti yangu anayesoma katika huu mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kutoka hapo imebidi niingie kiwanja kimoja hapa angalau kujiliwaza na kupunguza uchovu wa safari. Imebidi niagize altar wine na maji, angalau iniliwaze kwa mazingira haya niliopo kwa sasa. Kwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana nchi ya Rwanda inakua sana kiuchumi

    Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa roho mtakatifu kwa kutembelewa na Maria kitoto kichanga kikaruka tumboni kwa furaha. Nawasihi hawa...
  8. JamiiForums Tanzania Kitu gani cha ovyo unakipenda sana

    Mimi napenda Sana maandazi ya Moto, Yaani hata baby wangu akiniuliza unataka nini swetie huwa natamani anikaangie maandazi ya Nazi ya Moto sema ndo hivo ni kauzu balaa labda anichemshie mawe. Yaani hata mtu akiniambia miss njoo home napika maandazi naweza kumfata.hii kitu inaweza nifanya...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume tunazingua sana

    Habari za muda wadau. Kuna kitu nime note. Kama mwanaume usipopenda ndugu zako na kuwathamini pindi uwapo ndoani usidhani mkeo atawathamini. Ukiwatupa naye atawatupa akiwauwa kiheahiniwa tai shingoni huku yeye akiwathamini ndugu zake. Unaweza mtembelea kaka Yako usithaminiwe Wala kiheshimiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Napata Ukakasi wa Kumuita Magufuli kwa kibwagizo cha SHUJAA alipatwa na Umauti Kizembe sana

    Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma. Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga ni timu iliyoimarika sana kimbinu na kiufundi, michuano mikubwa na uzoefu vimewasaidia sana

    Kuna baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanasema Jana yanga kacheza kawaida sana lakini awajui gamond alikuwa na mbinu Gani kwenye Ile mchezo, zifuatazo ni mbinu za gamond na sababu ya kucheza kwa akili kubwa; 1) Gamond aliitaji kumsoma mpinzani wake kwakuwa alikuwa ajawaona Simba na wachezaji...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  13. JamiiForums Tanzania Hili jibu la TABOA hakika nimelipenda sana kwani hata na 'Mwenyewe Mwenyewe 2025 Tena' nae anachukua kweli kweli Rushwa bila ya Huruma

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni Jeshi la Polisi pekee kwa sababu wanavaa nguo nyeupe lakini ipo kwa wakaguzi wote. John amesema hayo...
  14. JamiiForums Tanzania Kila nyumba, mtaa, ofisini, marafiki kuna watu wana tabia zinazonikera sana

    Kuna vitabia japo sio wote ila ni upande wa majukumu ila vinazidi pale uchukulia kama ndio nafasi yao kujipatia pesa. Vijitabia vyenyewe: Kila msiba anakuwa ndio muongozaji wa kuendesha misiba. Kila harusi yeye hupenda kamati tena ya chakula au vinywaji. Kuna wale upande wa majumbani...
  15. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka sana mama leo

    Kiukweli leo nimemkumbuka sana mama yangu,nampigia simu lakini bado nahisi sijafanya kitu. I LOVE YOU MAMA,I wish ningekuwa na mahela nikupe kila utakacho. Mungu akubariki hapo ulipo.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ni raha sana

    Ujue mtu ukiendekeza sana maisha ya kazi unaweza ukachizika japo ndo maisha yanayotuweka mjini hapa. Kwa jinsi nilvyochoka na haya maisha jana nilihisi hiki kichwa kama sio changu nilihisi kama nimepandikizwa kichwa. Nilivyorudi nyumbani nikaweka flight mode nikalala. Nikasema potelea mbali...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hayana gharama lakini haya yanatugharimu sana kama taifa la vipofu

    Kuna baadhi ya mambo ya kiutendaji tu hayana gharama kabisa lakini yamegeuzwa kama utamaduni na sheria! Nitatoa mifano michache inayotugharimu na inaonekana ni sawa tu. Mfano 1.! Kuna umhimu gani kesi za ardhi kuendeshwa zaidi ya miezi 6? Yaani kielelezo cha mgogoro ambacho ni kipande cha...
  18. JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaosafiri wana raha sana kuliko shopping

    Utafiti mpya umeonesha kwamba Watu ambao wanatumia pesa zao kwa mambo kama vile kusafiri na kuhudhuria matukio ya burudani wana furaha zaidi kuliko wale wanaozingatia kuwekeza kwenye mavazi, kununua simu kali na vitu vingine kama hivyo ‘material goods’. Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida...
  20. JamiiForums Tanzania Kupendwa sana na mtu ambaye humpendi ni moja ya kero ambayo haisemwi

    Mahusiano yana mengi sana. Kuna nyakati unakuwa na mtu anayekuonesha mapenzi ya dhati, anakufanyia kila kitu lakini haum'feel kabisa. Unajaribu kumkasirisha ili labda akasirike akuache lakini wapi, kila kosa lako analisamehe na mara nyingine yeye ndo anakuwa anaomba msamaha kwa makosa yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…