sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania nikipiga simu kwa mpenzi wangu akawa anatumika nakuwa na mwazo sana

    twajibiii mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana anaongea na nani? wanaongea nini? inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje? na asipo jibu sms ndio kuzidi nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
  2. Selwa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana

    Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani. Wizi ilikuwa kiasi kidogo ila mkinga kapambana mwizi kapatikana kisha karudi darasani. me nilimuacha...
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hispania wameniangusha sana

    Nipo zangu saluni napunguza nywele zangu na low cut ndo staili yangu,mara anaingia mwamba mmoja,ile kuingia lawama zote kwa hispania. Alisikika akisema "Hispania jana wameniangusha kweli yani sina hata raha" awali sikumuelewa huyu mwamba,nikajiuliza huyu mtu wa namtumbo na kuangushwa na...
  4. trojan92

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu wa miaka 5 anafunga ndoa kesho inaniuma sana, nifanyaje?

    Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu. Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi kumridhisha katika mahitaji yake ya kimwili, kihisia na kiroho. Kwa bahati isiyo yangu binti katamka...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahouse girl wanaongea sana na simu kama call centre/phone operator

    Toka hii dunia naifahamu nimeweza kujionea watu wanaoongea na simu mara nyingi sana, kwanza ni Hawa watu wa call centre /phone operators wa makampuni makubwa kama TANESCO na mitandao ya Simu, Hawa masaa ishirini na nne ni simu tu , hakuna kingine shift Kwa shift ni simu tu. Ukiachilia watu hao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Pesa ya China kwa Africa $50B kwa miaka 3 ni ndogo sana

    Mradi mmoja tu wa Tanzania wa reli ni zaidi ya $10B sasa China kusema watawekeza $16.6B kwa mwaka kwa miaka 3 kwa Africa nzima ni kichekesho kwa nchi kubwa vile na haita badilisha chochote. China wanaimarisha vitu tu ambavyo vinawasaidia wenyewe kama kusafirisha shabba ya Zambia lakini hawajali...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania HILI JUKWAA ZURI SANA NALIHESHIMU TUPUNGUZE MIZAA MA DK WAZIDI KUTUSAIDIA WAPENDWA M HUWA NASOMA HATA KAMA SINASHIDA KUJIFUNZA ZAIDI

    KWA ALIELIANZISHA NAOMBA KUJUA TUMWEKEE SANAMU WAPI HAPA UNAWEZA KUSAIDIA FAMILIA YAKO KUISHI MIAKA MINGI WAPO WALE WAZEE WA KAVU UKIONAA MAGONJWA YAKE NA MAPICHA PICHA NAKWAMBIA UNAKOMA HAKO KAMCHEZO KWA WATOTO NAONA PIA WANASAIDIKA SANA SANA NA AMUNGU AZIDI KUWABARIKI WOTE KILA LA KHERI
  8. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba hawa watu ni wanafiki sana, na wanapenda attention za kijinga

    May all souls find enlightnment, Kamwe hauwezi kuwatenganisha hawa ndugu zetu na : Ujuaji Uchonganishi Chuki Unafiki Kupenda upendeleo Unaweza kuwaita "proffessional prevelege seekers" Kuna mmoja mwezi wa February 2024 alizuia ndege isiruke Viena kwa kua muda wake wa kufanya sala umefika...
  9. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Jambo lililopotoshwa sana, kuliko mengine

    CHUKIZO LA UHARIBIFU NI UTENDAJI WA MAMLAKA YA KIBINADAMU KUPINGA AMRI NA MAMLAKA YA MUNGU Unabii wa utendaji wa Chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Danieli umeandikwa katika Danieli 7, 8 na 9. Ni vipindi vitabu tofauti tofauti vya kihistoria ambavyo kanisa la Mungu lingelikabiliwa ma...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za ndani, bei rahisi sana

    Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu; Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/= Friji ndogo - 100,000/= Feni kubwa - 30,000/= Viti vya plastic (3) - 15000/= Meza ya kioo ndogo - 50,000/= Kochi la watu wawili - 80,000/= Meza ya kuwekea jiko, mtungi mkubwa oryx na jiko la plate2...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

    Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
  12. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Poleni sana watanzania kwa matokeo mliyoyapa jana zidi ya ETHIOPIA

    Sio kitu rahisi kuamini ili ilikuwa ni dua zangu kwenye mkeka wangu. Ambaye mpaka sasa hivi kabakia Algeria naombeni ushauri wa mikeka je ni cashout?
  13. Ziro Buyu

    JamiiForums Tanzania Bei ya kadi ya mwendokasi (DART) ni kubwa kama ni muhimu sana itolewe bure au huduma iunganishwe kwenye N card

    Nipende kuipongeza serikali katika jitihada zake za kuboresha huduma za Usafifi wa Mabasi ya Mwendokasi Dar (DART). Hivi karibuni DART wamefanya ukarabati wa vituo vya mwendo kasi kwa kuweka mifumo ya ukataji tiketi kwa kutumia Kadi ambapo kadi hiyo ni Kwaajili ya DART Tuu inauzwa Tsh 5000...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mjusi kafiri akidondokea kwenye chakula ukaila ni sumu kali inayoua mtu

    Wakuu salaam, Kuna mdudu anaitwa Mjusi kafiri, kumekuwa na hoja mbalimbali kwamba mdudu huyo ni hatari na ana sumu kali ikiwa atadondokea kwenye chakula na ukakila. Je kuna ukweli kuhusu hoja hii?
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya mawasiliao imevuruga husianao za mapenzi na kuvunja ndoa nyingi sana za watu humu nchini na duniani kwa ujumla

    Unakuta watu wengi walioko kwenye mahusiano ya kimapenzi, uchumba na ndoa, mathalani walikutana masomoni, kanisani, safarini, kwenye sherehe, semina, kongamano au hata makazini tena bila hata kutumia teknolojia ya mawasiliano ya simu za mkononi kukutana mwanzoni, ispokua technolojia hiyo imekuja...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  18. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

    Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi. Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena? Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?
  19. P

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ndiyo iliyoiharibia uchumi na amani Zanzibar

    Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma. Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao...
  20. Ivan Stepanov

    JamiiForums Tanzania Nasikitishwa sana na kuhisi ninahujumiwa na hawa watoa huduma za ku "host" wavuti (website) wa hapa Tanzania

    Sina uhakika kama haya mambo wanafanya wakiwa wanajua uzito wa madhara wanayoweza au wamekua wakusababisha kwetu sisi wateja wao. Kwakweli leo hii nimehisi kukosa kabisa uvumilivu. Sijui hata niandike nini, niache nini lakini ninyi wajasiriamali wazalendo ambao kwa nia njema kabisa tunaamua...
Back
Top Bottom