The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida.
Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k.
Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena
Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi...
Jamani kwema?
Nisiwachoshe.
Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo.
Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee.
Sasa wiki...
Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku haukuingia hadi vita ilipoisha. Mungu alisimamisha dunia kwa muda ili kutimiza ahadi yake.
Hii ni nguvu ya...

Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka mm niko kenya sasa bada ya mm kumtosa akanidharau ooooh sijuii kwanza huna mbele wala nyuma sikujuu...

Yeeerrreeehhh!
May 2021 Hamaswalianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel.
Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi vinalipuka na wanaosalia kubaki kulialia hovyohovyo ooh wateule wanaua wanawake na watoto.
Baadaye watu...
Goli Bora huwa na mambo yafuatayo.
1. Umuhimu wa goli
2. Limefungwaje
3. Juhudi na weledi wa mfungaji
4. Ubora na defensi ya waliofungwa.
Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
Nilipochoka zaidi ni pale yule binti aliepata skendo ya kujiingiizia chupa kuanza kupata marketing deals kwenye vikampuni fulani hivi🤣
Anyway maisha yaendelee.
Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.