sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama kuna wanaotaman kesho iwe April wenye lodge na wauza kitimoto kwa sasa wanateseka SANA sana

    YAAN Huu mwezi imekuwa mchungu sana kwa wenye lodge na wauza kitimoto bila kusahau madada poa huu mwezi wameamua hadi kushusha bei hii na Baraka KUBWA SANA Jana nilienda kumchukua kijana MMOJA alikuwa lodge sinza na Gen z MMOJA GAFLA akaniambia nimsubiri SEHEMU ya vinywaji nikajiagizia wine...
  2. JamiiForums Tanzania Tumeanza kukataana mapema sana! Je msamaha wa madhambi yasiyojulikana umechangia?

    Hatumtaki Januari Makamba sisi wananchi wa jimbo la bumbuli kwa umoja wetu kutoka kata zote za jimbo hili hatutamchagua tena. Imetosha kwa miaka kumi na tano sasa bila huduma za kijamii, hatumtaki mbunge wa msimu kama mtalii. Tunaomba apumzike. Kwa kauli moja wananchi wa kata zifuatazo...
  3. JamiiForums Tanzania Hongereni sana CCM kwa kuliangamiza Taifa letu!

    Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi? Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

    Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana
  5. JamiiForums Tanzania Hii haina madhara kwenye sehemu za huyu Dada? Nimeshangaa sana

    Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa alfajiri. Baadaye nikaona nikapoze mwili. Likaja lishangazi limefunga kitambaa laini kiunoni. Lina mipaja...
  6. JamiiForums Tanzania Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

    Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki. Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora. Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
  7. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  9. JamiiForums Tanzania Vitu vingine vinafikirisha sana

    Ulishawahi kukutana na dawa ya ugonjwa lakini ukashindwa hata kuamini imewezekana vipi? Miezi kadhaa hapa nyuma niliamka tu mguu unaumwa kama vile umetenguka. Wakati huo sijakutana na hali yoyote yenye uwezo wa kusababisha majeraha. Muda ulivyokuwa ukizidi kwenda hali ikazidi kuwa mbaya kiasi...
  10. JamiiForums Tanzania Dhana ya PPP inapotoshwa sana na kina kafulila na serikali haiwezi kwepa majukumu yake kwa kivuli cha PPP

    Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna miradi kweli unahitaji PPP kuitekeleza sababu utekelezaji wake unahitaji fedha kubwa mfano Mradi wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania No reforms No election ni project nzuri lakini ngumu mno. Plan B & C ni ipi?

    Wana madai ya Msingi sana. UHALISIA ULIVYO Kiukweli mazingira yaliyopo kwasasa katika chaguzi zetu hayatoi nafasi kwa upinzani kushinda nafasi yeyote ile isipokuwa kwa hisani, huruma au utashi wa CCM yenyewe.... Hili lilishasemwa sana sitaki nirudie. Kukubali Uchaguzi katika...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Aluminium furnitures ni ghali sana?

    Nimejiuliza swali hilo kila mara. Nini kinasababisha Aluminium furnitures kuwa ghali sana. My observation ni kuwa they are not labour intensive...ni kata unganisha kirahisi and all is done! Au. Material yanyewe ndiyo ghali?
  13. JamiiForums Tanzania Ziara za Rais Samia ni za kuonesha ukwasi wa Serikali kwenye anasa? Hana habari na Trump kukata pesa? Full anasa

    Jana nilikuwa Tanga na ile Ziara ya Raisi Samia Tanga ina sio chini ya V8 300, Bado hujazungumzia Nisan Patroo, bado Toyoto landcruser hardtop na magari mengine. Hapo jirani tu Hospitali ya Bombo ukifikankuna wagonjwa walisha jijatia tamaa make ndugu hawana uwezo wa pesa za vipimo. Hii ni nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Mix by Yas mnatutesa sana kuanzia huduma zenu mpaka hao huduma kwa wateja yenu

    Hizi siku tatiu NImEKUWA na shida sana na mtandao WA max yas Imefika wakati UNANUNUA luku token za. Tanesco huzion Unapiga OFISIN mfanyakazi anawaza kupokea simu 10 mins kama ANAPOKEA condom Sio hayo tu HATA kununua bundle imekuwa shida Na Hilo bundle ukinunua kulifanyia kazi shida una gb 1...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kusemwa kuwa ni Tawi lao na Wanawadhamini pia wameamua Kuzuga kwa kuwafunga Goli Moja na wakiongeza sana basi Mawili tu leo

    Na huu Mpira nautizama YouTube naona kabisa Pamba SC wako tayari hata Kufungwa Goli 10 ila Jamaa wanaona Aibu.
  16. JamiiForums Tanzania Inakuwaje imani fulani zika shikilia sana kuhusu pombe ni haramu sio vilevi vingine pamoja na ngono

    Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu. Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar. Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
  17. JamiiForums Tanzania Trump Asema Anamheshimu Sana Zelensky, ni Kiongozi Jasiri. Haamini Alimwita Dikteta

    Rais Trump wa Marekani anatarajiwa kukutana na Rais Zelensky wa Ukraine, siku ya leo, ikulu ya Marekani White House. Jana, Rais Trump akisubiria ujio wa Rais Zelensky, alimsifia kiongozi huyo kuwa ni kiongozi jasiri, na kwamba anamheshimu sana. Rais Trump, alipoulizwa kama yupo tayari kumwomba...
  18. JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwanini wanaranda randa katika kumbi za hoteli za kifahari, wakati wanasema hawana hela?ufisadi?

    Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga? Chadema, tumieni...
  19. JamiiForums Tanzania Siku hizi matukio yananipita sana

    Kwema wandugu? Yani unakuta kuna tukio la kitaifa nakuja kuona matokeo tu mitandaoni. Juzi palikuwa na suala la tuzo za wachekeshaji. Nakuja kuona tu watu wanalalamika yule jamaa hajustahili. Mara yule jamaa aliupiga mwingi (yule wa kuachwa) ndio katika kupita huko X nimakutana na clip. Hapa...
  20. JamiiForums Tanzania Vodacom 4G inasababisha simu kupata joto sana

    Mtandao wa vodacom 4G unapotumia intaneti inasababisha simu kupata joto kali sana lisilokuwa la kawaida Hii hali nimegundua muda nikajua tatizo ni simu yangu kumbe sio Tatizo ni mtandao wa 4G wa Vodacom Itakuwa vizuri wakirekebisha hili tatizo. Halotel natumia ila ipo vizuri 4G yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…