sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  2. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi Kainerugaba; ni mjinga sana mwenye confidence au ana dharau sana

    Angalia tamko lake la jana kuhusu sintofahamu ya M23 na DRC Huyu ni mtoto wa Yower Museveni na ndiye CDF wa Uganda People Defence Force na Rais ajaye wa Uganda
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini waarabu ni walalamishi sana?

    Wafuga Midevu watu wa ajabu sana Oct 07,2023 walikuwa wanasherehekea sana kwa kuua watu wasio na hatia, Juzi tena alionekana Sheikh huyu akicheza mbele za maiti za watoto Ariel na Kfir familia ya Bibas sasa hivi analalamika kuwa Israel inawaua wakiwa kwenye mahema wamelala. Walichokoza wenyewe...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wahouthi wataarifiwa wakae mkao wa kupigwa sana

    Majeshi ya Marekani yamewaambia askari wa Israel wasijishughulishe na Magaidi wa Houthi badala yake wao Marekani wako tayari kuwanyoosha magaidi hao. Hayo yamejiri baada ya Wahouthi kuzidi kurusha makombola ya huko Israel pamoja na kwamba hakuna korbola lolote kutoka Yemen limeleta uharibifu...
  5. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania SITAPELIKI asanten hizo msg zinatosha sasa na mimi nawaahidi sitatapeliwa. Asanten sana mumetosha sasa

    Amani iwe kwenu wakuu Huyu kiumbe aliyepewa tenda ya kusambazaa msg za SITAPELIKI kanishinda tabia Kwa siku ana weza tuma msg hata kumi kwenye lain moja bado lain nyingine Leo nimekuja mbele ya kadamnasi kuomba atosheke sasa na mimi naahidi kuwa sitatapelika kamwe Asante sana Kwaresma...
  6. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza

    Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  9. Navigator Paul

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka Sana vitu vya nyuma

    Wakuu Habari Mimi Bhnaaa Ni Kijana Nipo Tu Kwenye Harakati Za Maisha Sasa Hivi Karibuni Nakuwa Nawaza Sana Maisha Yangu Ya Nyuma, Yaaani Udogoni, Sometimes Hata Nilivyokuwa Napitua Baadhi Ya Changamoto Zangu Za Maisha, Yaaani Kila Siku Lazima Niwaze Mambo Yangu Ya Nyuma Hii Kitu Imenipelekea...
  10. haszu

    JamiiForums Tanzania Usidharau vitu wanavyopenda wanawake(wadada), huwa ni vitamu sana

    We jaribu kununua ice cream za bakhresa kula. Nunua chips yai na kuku na milinda nyeusi onja. Nunua mishkaki Yani ni vingi tu, nimengundua ni vitamu sana, hakuna haja ya kujinyima raha.
  11. Hharyson

    JamiiForums Tanzania GOROFA SIMPLE DESIGN 4BEDROOMS WALE WENYE PLOT NDOGO INAWAFAA SANA

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  12. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Ghorofa simple design 3 bedrooms, wale wenye plot ndogo inawafaa sana

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Ghorofa simple design 4 bedrooms, wale wenye plot ndogo inawafaa sana

    WE OFFER GOOD BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION REACH US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kuwa na mahusiano mwanamke askari mwenye cheo

    Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha. Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu. Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa. Kila kukicha naletewa...
  15. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ila wanaume kwa wanaume tunanafikiana sana likija swala la namna ya kuwatreat wanawake

    Oya mie ngoja leo niwape za uso mabaharia wenzangu. Watu tunakaa kwenye kikao, tunaweka ajenda mezani na points kabambe zinatolewa. Mara utasikia "Hamna kumnyonya mwanamke K utakua unalamba lolo la jamaa zake wengine" Mara "Usimpigie magoti demu wako ukimvisha pete" Mara "Mwanamke...
  16. Isenye

    JamiiForums Tanzania Wakuu,napenda sana kupiga chabo.

    Habari za jumapili watu wa humu? Wakuu,ktk maisha kila mtu huwa ana hobby yake. Sasa mimi mwenzenu huwa ninapenda sana kupiga chabo watu wakiwa wanakulana. Yani imefikia stage kuna jamaa angu anasimamia Lodge flani huwa naenda pale ofisini kwake kuzuga kumbe huwa navizia watu wanaoingia mle...
  17. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa nimeamini CHADEMA wapo serious sana na sera ya "No reforms No election". Watanzania tuwaunge mkono

    CHADEMA chini ya mh Tundu Lissu, wameamua na wamejipanga sana na "No reform No election" Nimeona hatua wanazo zichukua ni peaceful means, well organized, and the best plans ever seen in Tanzania to uproot the ruling political party( ccm) Wameanza na tone kampeni, Wamewaita wahalili wa vyombo...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo ngumu sana, wengine wanasubiri mshahara, wengine wasubiri PDF ya TRA

    Ni mwendo wa kuangalia notifications, Email na SMS tu, kila ukisikia mlio unashtuka
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

    Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
  20. Yofav

    JamiiForums Tanzania Usipite: Hapa unajipatia bidhaa mbalimbali za majumbani na maofisini kwa bei nafuu sana

    Je, unatafuta bidhaa bora za nyumbani kwa bei nafuu sana? Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya households na furniture! Tunauza bidhaa mbalimbali kama meza, viti, kabati, mapambo ya nyumbani, vifaa vya jikoni, na vingine vingi – vyote kwa bei rafiki unayoweza kumudu. Kwa nini...
Back
Top Bottom