sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. X

    JamiiForums Tanzania Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

    Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni. Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa...
  2. JamiiForums Tanzania Anguko la Samia litakuwa na mshindo mkubwa sana

    Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli What goes around comes around Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu Kila aina ya kashifa itafukuliwa Kuanzia Kizimkazi scandal, Dp world, Bagamoyo, IPTL, Ngorongoro, na madudu yote ya CAG Kiufupi Samia atakuwa na mwisho...
  3. JamiiForums Tanzania Mnaoendesha Tanesco mjitafakari sana

    Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta hali ni hii hii!. Leo sababu ni hii miaka 100 ijayo kutakuwa na sababu nyingine mbalimbali, ni kama...
  4. JamiiForums Tanzania Nadhani watu wanaopenda kula kula sana Huwa wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiria

    Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua. Yaani kitu kile kile cha protein ila...
  5. JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Tumekabidhi chama kwa watu wasiojua kuponya majeraha Bali kuongeza majeraha ! Mpasuko huu ni mkubwa sana ! Siasa za kitoto zimetufikisha hapa !!

    Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !! Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
  7. JamiiForums Tanzania 'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

    Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora. Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa. Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum. RPC Tabora amethibitisha “Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ni huzuni sana

    Habari wakuu Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua. Muhimu: Tusiweke mawazo yasiyofaa au ya kubeza tukiona hizi nyuzi, wenzetu wanahitaji faraja na mawazo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ana korodani kubwa sana

    Habari wapendwa Naomba ushauri mwanangu ametimiza wiki tatu tangu kuzaliwa. Kinachonitisha korodani zake ni kubwa kulinganisha na udogo wake. je atakuwa sawa au kuna tatizo? Naomba msaada wa mawazo sijawahi kulea mtoto wa kiume
  10. JamiiForums Tanzania Masaji ni starehe ambayo watu wanaichukulia poa sana

    Kushikwa shikwa mgongoni, hata kama bila mafuta, yani mikono mikavu tu, kuna relaxation unaipata. Yani kama ni usingizi unakuja bila ya wewe kujua, kwa maoni yangu hii ndio starehe kubwa, na pia inafaida nyingi sana kiafya.
  11. JamiiForums Tanzania Dhambi ya kupuuza ushauri wa Lucas Mwashambwa itawatafuna sana CHADEMA.

    Kwa mnyukano unaoendelea ndani ya chama kinachoongozwa na adui wa demokrasia Tundu Lissu ni wazi kuwa laana mbalimbali za kupuuza ushauri uliwahi kutolewa na wabobezi wa siasa za nchi hii nikiwemo mimi, Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah zinawatafuna kwa sasa. Mwaka 2021 nilitahadharisha kuwa bado...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana kukutana na timu inayocheza 9-1 ambayo haina cha kupoteza.

    Narudia tena ni shughuli ngumu mno kufungua code za timu iliyoamua kupaki. Ni timu chache sana duniani zinazoweza shughuli hii. Na hata ukiweza kushinda basi ni kwa margin ya goli moja unless refa awe upande wako. Wapo makocha ulaya waliwahi kulalamikia mfumo huu ambao hauna umri mrefu katika...
  13. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini ni muhimu sana kufanya Meditation.!

    Shalom Wapendwa. Katika kutafuta utulivu wowote wa kile ambacho unacho na kile ambacho hauna unashauriwa kufanya kitu inaitwa Meditation. Binadamu wengi wanasumbuliwa na Attachment katika mambo mbali mbali , hivyo kupelekea kuumia ndani kwa ndani . Attachment - ni kushikiria Vitu au WATU...
  14. JamiiForums Tanzania Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana nimegundua haya

    Nimefanya kazi za freelancing na agencies nyingi sana. Nimejifunza Jinsi wanavyofanya kazi, Jinsi wanavyotafuta Clients Wanavotangaza huduma zao wanavyowasilisha offer zao. Meetings zao nyingi sana Wanavyofanya project management wakiwa na team na hawajuani. Wanafanya hivi 👇👇 1. Cold...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  16. JamiiForums Tanzania Ahoua na Mpanzu wanatuchelewesha sana huko Suez Stadium Misri

    Wanacheza anao anao sana huku wakicheza zaidi Kibinafsi na siyo Kitimu hadi Wanaboa. Najua wanajua Mpira, ila lazima wajifunze Kucheza Kimkakati kutokana na Malengo ya Timu (SSC) Kuna mpira mmoja wa Mpanzu alishawaacha Wachezaji wa mwisho wa Al Masri na ilikuwa aachie tu kwa Atabe au Kibu...
  17. JamiiForums Tanzania Safari za mabasi kwenda mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya ni za hovyo sana

    Mtu unatoka Dar hadi Iringa hamna hotel ya maana yenye chakula cha maana shida ni nini wakuu au ni ubahili wa watu wa hii mikoa? Mbona wenzetu njia ya Kaskazini kuna hotel na vyakula vya maana, nyama choma kila mahali sie wa nyanda za juu tunafeli wapi?
  18. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea hivi sasa ni huzuni sana kwa viongozi wetu..

    Kiukweli tumekubwikwa na viongozi wa aina moja nkiwa na maana ya kwamba hutambua majukumu yao mpaka Wananchi wakionyesha kuriakti... Mfano wimbi la ufungaji barabara linaenda kasi sana na linafanikiwa kwa viongozi kujitokeza na kuzikarabati ...Swali ni kwamba wamejisahau au tatizo ni nini...
  19. JamiiForums Tanzania Hongera sana majeshi ya Israel kwa kuwabana magaidi wa Hamas mpaka wamekubali kuwaachia mateka wote

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema "Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya. Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

    Ilikuwa hivi. Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba. Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa. Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…