sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Kila mdada mwenye makalio makubwa ana huyo rafiki yake mwembamba mwenye mdomo sana

    Ukimuita tu huyo mdada utakasikia kanasema "aziza ebu twende tunacheleewa"
  2. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kwa nini maziwa ya Jersey ni ghali sana? 🐄✨

    Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao wanaweza kufikia lita 30–40 kwa siku), maziwa ya Jersey yana ubora mkubwa kwa mafuta – jambo...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana, nani wa kulaumiwa?

    Jamaa amemtembelea mwanae ambae Mamake amezaa na wanaume watano tofauti, kamnunulia vitamu yeye peke yake huku wengine wakila kwa macho. Binafsi kama mwanaume/Baba naona jamaa hajafanya sahihi, ni heri angewanunulia wote au angemchukua mwanae akakae nae sehemu afanye yote anayojisikia...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana kama nchi. Enzi zile hata ndege moja ikinunuliwa basi nchi nzima inahamia uwanjani kuishangilia!! Duh

    Kwa kweli hii nchi tulikuwa tunaongoWa na mshamba kweli kweli. Maendeleo kidogo tu tena almost negligible kelele wiki nzima na kuita vyombo vya habari ili kusifu Mbona jk alikuwa anaajiri almost walimu na madaktari wote nchima lakini hatukusikia mayowe na mapambo Mbona samia anafanya mambo...
  5. Malkia wangu

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na ndugu wa karibu wanawaharibu sana watoto

    ( Nilikua na miaka kati ya 4-6) Ila kabla sijaanza SHULE ya msingi. Tumelelewa na singo Maza kwahiyo alikua bize sana kupambania ugali wanae tusilale njaa. Alikua mjasiriamali kwahiyo muda mwingi yupo minadani Leo WILAYA hii kesho nyingine . Kuna wakati dada wa kazi alikua haeleweki...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Y2K ilikuwa na vituko sana

    Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo. Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita ndugu zake wote na kuchinjwa kuku wa kutosha tukisubiri labda yesu anakuja ndio mwisho wa dunia. Mwisho...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nitazishtaki shule za miaka hii ya 90 kwa Unyanyasaji huu mkubwa waliotufanyia

    Miaka ile ya 90 shuleni ilikuwa walimu wakiona tunasimamisha sana minara usiku gizani wala hawahangaiki nasi. Kesho yake utakuta chakula cha mchana kinanuka mafuta ya taa. Jioni kinanuka mafuta ya taa. Wapishi wanafanya uzembe wanamwagia mafuta ya taa kwenye maharage. Utaenda kushtaki hakuna...
  8. shuka chini

    JamiiForums Tanzania JAMII INA WATU WENYE STRESS SANA

    Habari wadau .Moja kwa moja kwenye mada miaka ya hivi karibuni tumeona kundi kubwa la wachekeshaji wa mitandaoni inaonekana Watanzania wengi wanastres sana hadi kufikia hatua ya kununua furaha. Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana...
  9. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi visuruali vinawapendeza sana wanawake.

    Ukute ni pisi kali,afu ikupigie kisuruali kama hicho,lazima utoe udenda asee.
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

    Katoto tu kwa 2005, aiseeh
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumbo ni kitu kibaya sana

    Agenda ya CHADEMA ya No reform No Election imepelekea baadhi ya wanachama wa CHADEMA kuelekea kuasi kwa sababu ya tumbo. Wengi wao wako pale kwa kutafuta masilahi na siyo vinginevyo. Agenda hii ilianzishwa na Mbowe mwenyewe leo hii mnamlaumu Lissu. Kumbe wengi hawapo pale kwa ajili ya Chama...
  12. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Shule za Baobab mnatukosea sana Wazazi, tumewavumilia sasa mmevuka mipaka komesheni huu uhuni.

    Jana jumamosi tarehe 5 ilikuwa ni graduation kwa wanafunzi wa form Six Baobab high school Bagamoyo. Kuna tatizo Sugu kuhusu huduma ya vyakula siku ya visiting day au mahafali huruhusiwi kwenda na chakula chako au bites zozote kutoka nje, ili swala tumelijadili muda mrefu kwenye vikao rasmi...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania CCM ina muhitaji Mbowe sana CHADEMA kama ilivyofanya kwa lipumba kwa CUF

    Kila kukicha au dakika hapa JF ni mada ambazo utolewa na wanaccm wakijua undani wa Mbowe kuliko wa wasira,nchimbi wala yule CPA makala. Lengo lao ni lipi na kwa nini wasijadili kuhusu watu wao CCM ambao wamefikia hata kukosa mvuto ndani ya chama na kukomalia swala CHADEMA zaidi.
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Chatgpt ni the best Deepseek bado cha mtoto sana.

    Nimejaribu kukaa kupiga stories na hawa jamaa kwa kuuliza swali lile lile kwa kila mtu. Chatgpt Ana taarifa nyingi sana Ana kiswahili kimenyooka sana Ana kupa nafasi ya kutaka kujua zaidi Deepseek Taarifa yake haiwi imeshiba sana Kiswahili si kizuri makosa mengi hata kwenye kuandika tu spelling...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kila nikiikumbuka hii United huwa naumia sana.

  16. X

    JamiiForums Tanzania Usafi wa mikono baada ya kutoka haja

    Huwezi kusema wote hujisafisha mikono vizuri na maji ya kutosha na sabuni au ikiwa wote hunawa na sabuni. Na wengine hujisafisha na maji ya ndoo ya chooni au kopo la chooni linalotumiwa na wengi. Tena utakuta ni maji kidogo sekunde 2 tu mtu kashamaliza kunawa anarudi jikoni au kwenye mgahawa...
  17. technically

    JamiiForums Tanzania Anguko la Samia litakuwa na mshindo mkubwa sana

    Ataangua anguko kubwa kuliko hata walivyomuhujumu Magufuli What goes around comes around Atakataliwa kila upande na atapingwa na kila mtu Kila aina ya kashifa itafukuliwa Kuanzia Kizimkazi scandal, Dp world, Bagamoyo, IPTL, Ngorongoro, na madudu yote ya CAG Kiufupi Samia atakuwa na mwisho...
  18. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Mnaoendesha Tanesco mjitafakari sana

    Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta hali ni hii hii!. Leo sababu ni hii miaka 100 ijayo kutakuwa na sababu nyingine mbalimbali, ni kama...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nadhani watu wanaopenda kula kula sana Huwa wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiria

    Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua. Yaani kitu kile kile cha protein ila...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
Back
Top Bottom