-Wikendi inakaribia tamati
-Nimeshinda humu tangu jioni hadi vidole vinauma kisa kutype
-huu mfumo ulioanza leo wa kutembeza ban umenichosha sana maana muda si mrefu yatanikuta pia
-mijadala ya leo imenifurahisha sana hadi nimechoka 🤣🤣🤣
-kila mara camera inapomuonesha Thomas tuchel...