sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

    Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Katika kila jambo tunalofanya, utu na ubinadamu viwe mbele kabla ya kile tunachotaka kufaidika nacho

    Inasikitisha sana Katika miaka ya 1990, kulikuwa na picha iliyosambaa sana ya tai aliyekuwa akisubiri msichana mdogo aliyekuwa na njaa kufa ili aweze kula maiti yake. Picha hiyo ilipigwa wakati wa njaa ya mwaka 1993/94 nchini Sudan, na mpiga picha kutoka Afrika Kusini aitwaye Kevin Carter...
  3. JamiiForums Tanzania Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  4. JamiiForums Tanzania The Greatest Of All Time

    UKIPATA Chance ya kuwatandika Tandika haswaa. Ukiona Mwanaume anazungumza peke yake bila kuomba ushauri jua anaangusha mazoe chini.
  5. JamiiForums Tanzania Watekaji na wauaji nawashauri mbadili njia ya kufanya Ukatili, mnajiexpose sana

    Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion . Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy. Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni. hamtoweza ku...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi ni mdau mkubwa sana wa movies zilizotafsiriwa lakini kuna maDJ wanaharibu sana hizo muvi

    Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato kwahiyo ile kauli ya kuwaita wezi siyo vizuri Tatu, siyo watu wote wanaweza kuangalia movie huku...
  9. JamiiForums Tanzania Muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani

    In this life muheshimu sana mtu aliyekuletea mshumaa ukiwa gizani. Usiwe msahulifu kwa watu waliowahi kukusaidia . Kumbuka kile kipindi umekwama hauwezi , hauoni pakushika lakini alitokea fulani akakushika mkono , unapopata nafasi ya kulipa fadhila do it more
  10. JamiiForums Tanzania Tanga wanaume wengi kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao kiufupi wanaume wanapigiwa sana,wanaume wapo weak na wavivu sana

    Sijawahi kuona wanawake wa ajabu kama mkoa wa Tanga japo wanawake hawatofauti ila wanawake wa Tanga wamezidi huu mkoa bwana aisee unakera sana na una wanaume weak sana aisee wananikera na kunichukiza aisee na wanaume Wengi sana kwenye ndoa wanalea watoto sio wa kwao Yaani unaweza kati ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nyamhokya: Kwa kuwa rais Samia umetusaidia sana, "sisi watumishi tutasimama nawe ktk jambo lako mwaka huu".

    Nyamhokya apuuzwe. Nyamhokya ni kada. Nyamhokya ni chawa.. Nyamhokya anafanyakazi ya Makalla kwenye Mei Mosi.
  12. JamiiForums Tanzania Manara kapigilia pale pale kwenye Msumari wa Master Jay kuwa Alikiba ni mbana pua

    Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu. Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake ni watu makini sana

    Ingawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning. Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja. Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting. Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika...
  14. JamiiForums Tanzania Poleni sana Familia ya Qorro, Wasomi na Walumbi wa Kiswahili kwa kumpoteza Profesa Martha Qorro

    Pole sana Dada Lucy, Dada Germana, Dada Dokta Grace, David (Pandi) na Kibibi (Tausi) bila Kumsahau Mpwa Mwandishi wa Habari Edward Qorro (wa Daily News) kwa kumpoteza Mama na Shangazi baada ya pia kumpoteza Baba Mzee Patrick Qorro miaka kadhaa iliyopita. Mwenyezi Mungu ailaze Roho yake Profesa...
  15. JamiiForums Tanzania Movie kali sana unatengeneza roboti kumbe

    Unatengeneza Roboti kwa ajili ya kusaidia kwenye kulinda nchi na ulimwengu, kisha anakusaliti na kutaka kuitawala Dunia je atafanikiwa movie yenye ukatili kinoma 🔥🔥🔥 https://youtu.be/DgxBGtYo1mI
  16. JamiiForums Tanzania Kinajimu tarehe ya fainali 25-05-2025 imekaa vizuri sana kwa Simba

    Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025. Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255. Utabiri wangu wa...
  17. JamiiForums Tanzania 30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

    Mbona sijajenga? Mbona sijapata kipato cha uhakika? Mbona sina gari? Mbona sitengenezi faida ya uhakika? Mbona sijaoa/sijaolewa? Mbona sina mtoto? Mbona sina akiba? Mbona nachelewa? Mbona classmates wana nipita? Mbona sii-provide familia vya kutosha?
  18. JamiiForums Tanzania Just for fun: Namna wanaume hudeal na michepuko, akili mingi sana hutumika

    Kuna familia hapa jirani Mara nyingi ilikua Ikimhisi Sana father house wao kuwa alikua na nyumba ndogo huko mtaani. na daima familia kiujumla ililalama kuwa mzee wao alifuja kipato chake kikubwa kwakuhudumia nyumba ndogo (ambayo walikuwa wanaihisi tu kua itakuepo) Mziki ni pale Jama amekuja...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga wanapitia maumivu makubwa sana juu ya fainali si kwa furaha hii ya muungano cup

    Jamaa hawasemi mdomoni ila moyoni wanaumia...si wachezaji..viongozi mpaka mashabiki wao...Angalia walivyoshangilia baada ya kuitoa zimamoto kwa mikwaju ya penati ni ushangiliaji wa maumivu na msongo kwa kutaka kuikoga Simba ambayo ipo kimataifa. Ushauri yanga wekezeni kwenye ubora wa kiufundi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…