sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana baada ya kuiona Dar kwa mbali: Nashauri Pwani yote iwe DSM

    Katika harakati za hapa na pale nilifanikiwa kuiona DSM kwa mbali aisee ni kajiji kadogo sana. Yaan magorofa vya posta kwanza yanayoonekana ni kama matatu tu, mengine kama ya kkoo yanaonekana ni mrundikano mdogo sana tena kwenye kaeneo kadogo sana. Badala ya kufuga mapori nashauri jiji hili...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watu wenye tamaa za madaraka ni watu dhaifu sana kuliko wanavyo chukuliwa na kuogopwa hawana hekima yoyote na hawana akili

    siasa za kimagharibi ni wazi bado haziwezi kufanya kazi hasa anapotokea kiongozi mwenye tamaa za madaraka huku africa. Watu wenye tamaa za madaraka wanatumia kivuri cha demokrasia kufanya mauwaji, utekaji na ukandamizaji wakijificha kwenye kichaka cha demokrasia na amani ili kusalia madarakani...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

    Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Nakerwa sana na wanaomuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika

    Salam kwenu Wajenga nchi na Wabomoa Nchi, wajinga kwa wenye hekima.Nchi hii ni yetu sote, tuvumiliane. Nakerwa sana na tabia iliyoibuka ya kumuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika. Huo ni utumwa wa kifikra,na ni jitihada za makusudi kuidogosha Afrika na Mashujaa wake.Kwanini Che...
  6. bulajunior

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania ungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo

    Kama Watanzania tungekuwa tunajua kufuatilia mambo ya maana tungeendelea hata kwa kiwango kidogo ajabu ni kwamba watu wanaangalia vichekesho tu vya kina side na Leonardo jamani crip za Simba na Yanga ndo zinapotezea muda watu.
  7. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania China ni mshirika wa Tanzania na CCM ni taifa linaloendelea kwa kasi sana

    China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
  8. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa sana na baadhi ya nchi zinazoadhibu mitandao ya kijamii kwa kisingizio cha kuvunja Sheria, madhumuni ya nchi hizi ni kudhoofisha teknolojia

    Meta inatishia kufunga Facebook nchini Nigeria kutokana na kutozwa faini kubwa Watu nchini Nigeria wanaweza kupoteza ufikiaji wa Facebook na Instagram baada ya kampuni mama ya Meta kusema ilikabiliwa na faini kubwa na matakwa ya udhibiti "yasiyo halisi" kutoka kwa mamlaka ya Nigeria. Mwaka...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho sana na Lissu na "Watu wake"

    Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS). Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
  10. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 5BEDROOMS MANSION YA CHINI KALI SANA PLOT SIZE 40X40M CALL US FOR DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650

  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: Hapa sisi Mashujaa tulichemka sana. Sina cha Kumlaumu Referee

    Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya. Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa kuwa wasomi wa shahada na stashahada wameongezeka sana mtaani, kwanini wasiajiriwe kuwa Polisi?

    Salaam, Najua zamani, failure wa kidato Cha nne walikubaliwa kuingia upolisi na majeshi sababu ya uchache wa wasomi. Sasa mambo yamebadilika. Yaani vigezo vya kuajiriwa upolisi kama, mbio, urefu, afya timamu viongezwe na kuweka kigezo Cha Elimu ya diploma au Degree Ili kupunguza tatizo la...
  13. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mbunge huyu aliongea point sana (Tujikumbushe)

  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

    Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Katika kila jambo tunalofanya, utu na ubinadamu viwe mbele kabla ya kile tunachotaka kufaidika nacho

    Inasikitisha sana Katika miaka ya 1990, kulikuwa na picha iliyosambaa sana ya tai aliyekuwa akisubiri msichana mdogo aliyekuwa na njaa kufa ili aweze kula maiti yake. Picha hiyo ilipigwa wakati wa njaa ya mwaka 1993/94 nchini Sudan, na mpiga picha kutoka Afrika Kusini aitwaye Kevin Carter...
  16. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  17. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania The Greatest Of All Time

    UKIPATA Chance ya kuwatandika Tandika haswaa. Ukiona Mwanaume anazungumza peke yake bila kuomba ushauri jua anaangusha mazoe chini.
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Watekaji na wauaji nawashauri mbadili njia ya kufanya Ukatili, mnajiexpose sana

    Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion . Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy. Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni. hamtoweza ku...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Kwa namna ambavyo inaelezwa tukio la kukamatwa Mdude, ni vigumu sana kupatikana tena!

    Inaweza kuwa ni Polisi kama inavyoelezwa lakini hakuna jipya kwao kuhusu usalama wa watu wanaokamatwa siku za karibuni. Siku hizi Polisi wanakuchukua hadharani na unarudi maiti au hupatikani tena na hakuna jambo lolote linalofanyika. Hawaambiwi chochote ndiyo maana nasema kwao hakuna tena jipya...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
Back
Top Bottom