sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati JPM kama tungekuwa naye ukabira ulikuwa umefika wazi sana ndio leo tunaona kwa mshika kijiti wake

    Ukabira wa JPM yani leo ukiwa usukumani huwezi kuwaeleza kitu kuhusu huyu mtu. Ili sasa naliona muhusika mwenzake kuona hana hapa lake tanganyika katumia udini wake. Naeleza ili kila watu 10 wa imani yake no wawili tu unaoweza kusikia wakisema ila nao wawili ni kama wanaogopa imani zao kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  4. JamiiForums Tanzania Uislamu unakua kwa kasi sana mkoani Iringa

    Takbiiir! Sikutegemea hata kidogo kukuta wimbi la waislamu huku Iringa aisee uislamu unakua kwa kasi sana na kila mtaa ni msikiti na watu wanaswali na wanajaza sana msikitini Tofauti nilivyokuwa nafikiria aisee na hiii inaonesha kwamba uislamu ni dini ya haki aisee.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je ni zipi sababu za msingi zinazowafanya Wasabato duniani kote wachukie na kukereka sana unapoambua au kuwaeleza habari za Msalaba?

    Moderator naomba Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali lengo ni kuelimishana Sio kama natunga hadithi au naleta uzushi ila nachokuambia ndiyo ukweli halisi kuwa hao Ndugu zetu ukitaja tu msalabani ambao aliangikwa Yesu Kristo Huwa wanakosa Raha Naam baadhi yao hufilia hatua ya kusema kuwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania CCM Imewekeza Sana Kwenye Uovu, Huku Kila Siku Ikiwafukuza Wananchi.

    Sijui ndani ya CCM ameingia shetani gani!! Maana kwa mwenye akili, hata ile akili ya kawaida sana, hawezi kufanya yale ambayo CCM inayafanya kwa sasa. Kiuhalisia, CCM ya sasa imewekeza sana kwenye uovu huku ikiwafukuza wananchi wote wema na wanaotaka haki ndani ya nchi. Fikiria chama ambacho...
  7. JamiiForums Tanzania Mna siri sana huko nje

  8. JamiiForums Tanzania Gas ni nzuri sana, ni usasa wa kisasa, lakini tusiziache kanuni za ukubwa wa madirisha yetu majikoni

    Gas hutusaidia kutunza mazingira yetu, misitu yetu, pia ni salama endapo kanuni za kiusalama zitafuatwa ikiwapo, kuweka madirisha makubwa katika majiko yetu! ========== Your Gas Stove Might Be Emitting Cancer-Causing Chemicals—Even When You’re Not Cooking. And Children’s Are At Double The...
  9. JamiiForums Tanzania Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

    Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia, #Pole sana bw. FAM.
  10. JamiiForums Tanzania Ukiona kwenye mkutano wamejaa wanaume!! Ogopa sana

    Kwenye mikutano mingi ya kisiasa wanawake na watoto hususani wanafunzi huwa ndo wengi zaidi huku ni nadra kukuta kundi kubwa namna hii la wanaume CCM na serikali yake wana la kujifunza hapa, watu wanatembea kwa miguu wengine umbali wa zaidi ya kilometa mbili, Hawajasombwa kwa magari au maroli...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Harufu Ina nafasi Sana kwenye mahusiano,ni vile huwa tunachukulia poa!

    Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda kabla hujaona hata paja!?na Kuna baadhi yetu ililalala na hatukutaka kuendelea Tena kisa harufu...
  12. JamiiForums Tanzania Mhimili wa CHADEMA katika sanaa wakatika, Ney wa Mitego akana kuwahi kuwa MwanaCHADEMA, Jumatatu ijayo atafyatua santuri matata sana

    Ney wa Mitego sasa ni rasmi kaamua kuachana na chadema. Kila binadamu ana wakati wa kung'amua mambo ya hovyo halafu akatae kutumika vibaya. Ney amewahi kuimba nyimbo nyingi lakini chadema hawajawahi kumualika hata mara moja atumbuize
  13. JamiiForums Tanzania Nafundisha kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu wengi sana kwa wafanyabiashara

    Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669 Nichek whatsapp
  14. JamiiForums Tanzania Safari za kwenda India zitasitishwa na complex medical procedure zitakuwa zinafanyikia hapa Tanzania kwa bei nafuu sana

    Katika jitihada za medical tourism hizi ni baadhi ya complex medical procedure zitakuwa nafuu Tanzania kuliko sehemu yeyote duniani Bone marrow transplant Liver resection Pancreas resection lung resection Coronary Revascularization Surgical Ventricular Restoration Septal Myectomy Thoracic...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

    Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno...
  16. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hezbollah sasa hivi wanapigika sana huko Lebanon

    Majeshi ya israel sasa hivi yanawashughulikia magaidi wa Hezbollah kwa kuzishambulia kambi zao zilizoko huko Lebanon kusini.
  17. JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizambia ni watamu sana jamani.

    Niko zangu huku mbeya kujitafutia riziki,katika mishe zangu nikakutana na pisi kutoka zambia,nikaiimbisha ikanielewa,sasa jana ikabidi initunuku tunda,wakuu demu ni mtamu sio poa,afu kuna raha flani hivi unaipata ukiwa unamchapa manzi ambae hajui kiswahili,yule demu alikua analia kiinglish hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kwa siku, week au mwezi April 2025 kuna Matamshi Mabaya ambayo Mdude aliyasema?Labda tuanzie hapo inaumiza sana

    Ndugu wadau wote wapenda amani naomba msaada wa post yoyote iwe maandishi au video ya mdude ambayo ilipelekea kutafutwa ama kuuliziwa na Afande Shabani na Afande Veda. Tafadhari itusaidie kujua chagizo la kupelekea hadi kuvunjiwa mageti na milango ili wampate. Tafadhari ndugu zangu si kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana mume wangu tajiri wa kusini

    Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…